Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
J K Wacha utani nisiifuate CMD Kwa lipi nalopata kwako waambie kina EL, RA, Wavuta Unga unaowalinda hotuba yako ya leo kichefuchefu tupu sijui kwa nini nimeiskiliza kha!! eleza ukweri nchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NIONAVYO MIMI KAMA MTANZANIA HOTUBA YA KIKWETE NAWEZA KUISSUMARIZE KAMA IFUATAVYO; 1) KUJIHAMI KWA YALE YALIYOTOKEA KWA MAPRESIDENT WENZAKE WA TUNISIA,EGYPT NA LIBYA YASIZUKE BONGO 2)KUJENGA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana jamvini mu hali gani? Hapa nilipo kibamba dar es salaam,umeme umekatika tangu asubuhi. Nikakumbuka namna kampuni ya kisanii dowans ilivyolipwa mara mbili gharama ya kusafirisha mitambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Daima mtu aliyechoka na maisha ata umwambie nini hata kusikiliza kamwe kwani yupo tayari kufa baada ya kujichokea na kukata tamaa na maisha. JK anatakiwa alitambue hilo na sio kujifananisha na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mwenye taarifa niambieni mbeya tutaandamana lini? halafu kama wenzangu tunakitaka kitengo cha information chadema kiwe kinatoa taarifa mapema. kinatakiwa kiwajulishe wanahabari ratiba mapema watu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF Sisi walimu tunapata shida sana mpaka leo mshahara hakuna. Kweli Serikali ya Tz ipo kweli mbona Wabunge mishahara yao na posho zao ni hapo hapo kweli tutafika. Kwa nini Walimu tusitoroke...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu watano wapya na kuwahamisha wengine wanne kutoka wizara moja kwenda nyingine. Uteuzi na...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
MBUNGE wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Mr.II (CHADEMA) amewataka Watanzania kuwahukumu wasanii wa miziki hapa nchini ambao wamekuwa wakikipigia debe Chama cha Mapinduzi (CCM), kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Taarifa ya Bashe Ktk Ukuta wake ktk Facebook OMBI KWA KATIBU MKUU UVCCM by Hussein Bashe Bashe on Monday, 28 February 2011 at 07:58 OMBI KWA KATIBU MKUU UVCCM Ndg yangu Shigela Umewadia...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wanajamvi na greath thinkers wote Kipimo cha umasikini wa mtanzania ni nini? Kipimo cha utajiri wa mtanzania nini ? Je kuna Uhusiano wa maendeleo ya kuchumi na utajiri au umaskini wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dr slaa kapost facebook anauliza ni dar mpo'sasa nataka kujua itakuwa lini maana navyosubiria kwa hamu'hebu MUHESHIMIWA REGIA MTEMA'tupe habari kamili
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF Naomba tuchekeche hili pengine mimi ndio sijui sheria za TZ(source:mwananchi) Sunday, 27 February 2011 20:49 0diggsdigg Hussein Issa BAADA ya askari wa Jeshi la Wananchi wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mwanzo spika wa bunge letu Tanzania alisema majibu ama maelezo ya mheshimiwa mbunge wa Arusha Godbless Lema hatayatoa hadharani kwa sababu anatakiwa ayalete kwa maandishi ko zitakaa kamati zao...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CHADEMA WAVAA MAGWANDA DARASANI. Wanachama sugu na viongozi wa chadema tawi la Chuo kikuu cha Mt.Augustine(SAUT) Mwanza leo wametinga madarasani kuhudhuria mihadhara(lectures) wakiwa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
• Mama Maria aongoza sala na Sitta Tumma na Janeth Josiah, Musoma FAMILIA ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, imekitabiria Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
“INASHANGAZA, tumepewa shilingi milioni 90 za magari kwa wabunge wote, huku bungeni tunajadili Bajaj kuwa ’ambulance’ (gari ya kubebea wagonjwa)”. Ni kauli ya Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hakuna sehemu nchini humu ambapo wananchi wanafurahia maisha. Leo hii mtu angeangalia channel 10 hadi mda huu zinaoneshwa picha za walioumia kutokana na maji yalichafuliwa na Mgodi wa Mara...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Inashangaa kuona sasa ze orijinal komedi ndio wanaoifagilia serikali. Tembelea hii Youtube video wakati huo ambapo walikua hawako kwenye himaya ya CCM YouTube - Ze Comedy Ajali Za Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumepoteza mali, makazi, wapendwa wetu na wengine tumekuwa na vilema vya maisha. Jana umekuja na mizaha yako badala ya kutafuta suluhisho unauza meno yako. Hizi ni picha zitakazo dumu kwenye kumbu...
0 Reactions
149 Replies
30K Views
Kwa muda sasa watanzania wamekuwa wakimungunya mungunya maneno kuwa wanakandamizwa eti hali yao mbaya, ukienda mtaani vijiweni utakuta wanaongelea dowans, kupanda kwa maisha, IPTL , EPA, kagoda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom