Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
HESHIMA KWENU WADAU WOTE, TABORA; SI VIBAYA UKIITA... 'TAA BORA' Ni mkoa ulio nyuma kimaendeleo, Watu wake wamejikatia tamaa kuutegemea utawala, Mkoa umemezwa na CCM, Ni mkoa uliobeba utaifa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za kuaminika ni kwamba, wanajeshi wa kambi ya Gongo la Mboto walitambua kuwa mabomu hayo yangelipuka hours before the action started, and wat they did ni kuhamisha familia na ndugu zao na...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Wadau, Mi kila siku nikiingia jamvini nakutana na post zinazodai, ooh, usalama wa taifa wako JF, oh usalama wa taifa wapo JF. Nahisi labda hao UWT wamekatazwa hata kufungua page ya JF....kwa...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Ndugu wanajamvi, natumia fursa hii kuwapeni taarifa kwamba ile kesi ya kupinga kusajiliwa kwa tuzo ya Dowans itatajwa mahakama kuu DSM kesho tarehe 2/3/2011 asubuhi saa tatu mbele ya Jaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia masuala ya CCM ni kwanini viongozi wake wengi wanakumbwa na tuhuma za ufisadi??? Nimeingia kwenye website yao nimesoma masharti ya uanachama ndani ya CCM ni pamoja na kuwa...
0 Reactions
58 Replies
7K Views
German defence minister Guttenberg resigns Mr Guttenberg said he had reached the limits of his strength Continue reading the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni miongoni mwa watu ambao wanahimiza amani na kuihubiri. Vilevile ni muumini mzuri wa utawala wa sheria na haki kama njia ya kuidumisha amani hiyo. KATIKA MAMBO YANAYOIFANYA NCHI IWE YA...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
H@ki Ngowi: Matumizi Mabaya ya Jina la Mheshimiwa Rais Kwenye Matangazo na Mialiko Mbalimbali TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
Ni idadi nzuri kupagawisha katika Maandamano ya CHADEMA yaliyoishia kiwanja hiki katika Manispaa ya Shinyanga.Je! hawa ni utatu mtakatifu katika kukamilisha ibada (Wapiga kura wenye kuiunga mkono...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huwa nakaa na kujiuliza ni nani ambaye ana uzalendo na uchungu wa kweli wa hii nchi ili tumkabidhi atuongoze? Wanajamii naomba muongozo wenu bila kuangalia itikadi za kisiasa. Maana mimi kwasasa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The African youth are actively involved in political processes, as illustrated by their role in recent events in Tunisia and Egypt. If young people can shape the future of their countries...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Off Mwananchi RAIS Jakaya Kikwete jana alilihutubia taifa, huku akitumia muda mwingi kujibu mapigo ya kauli za Chadema dhidi yake na kutahadharisha kuwa chama hicho, kina lengo la kuleta...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wenzangu, ndugu wantanzania na wazalendo wa taifa letu, jana tumeskia vizuri na kwaumakini hotuba ya raisi wetu wa tanzania. kiuchambuzi ni kwamba unaweza kujiuliza maswali yafuatayo; 1. kwanini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa yanayojiri Libya, nguvu ya umma inaweza kuturudisha kwenye umaskini zaidi ya huu tulio nao. Uharibifu wa mali, uhalifu na kuuana hovyo ni mambo yanayopewa nafasi ya mbele. Kwa mnaopendekeza...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Naomba kuweka masikitiko yangu kuhusu kitengo cha mawasiliano ya umma cha Chadema hapa janvini. Watu mbali mbali wamekuwa wakilalamika na kutoa ushauri kwa muda sasa, lakini nasikitika kwamba...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
maandamano ya chadema shy yameanza muda mfupi nyomi usipime sina uwezo wa kuwaletea picha ila kwa kifupi ccm kwishney
0 Reactions
7 Replies
2K Views
BBC News - Cuba's Raul Castro admits mass lay-offs behind schedule Cuba's Raul Castro admits mass lay-offs behind schedule Cuba's plans to lay off half a million state workers by the...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
WANAjf. nimeikuta hii katika comments za article katika gazeti la mwananchi. je ni kweli? na ole kisambu ni nani? comments by GILLIARD 2011-02-28 09:07 CHADEMA ni chama cha Watanzania...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Butiku alinukuliwa akisema CCM haina dira wala mwelekeo kutokana na viongozi wake kuzama kwenye vitendo vya rushwa. Katika kujibu hoja hiyo Msekwa amesema: “Kuporomoka kwa maadili dhidi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BBC News - German defence minister Guttenberg resigns German defence minister Guttenberg resign German Defence Minister Karl-Theodor zu Guttenberg has stepped down after he was found to have...
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Back
Top Bottom