Kwa wiki kama mbili hivi,naibu waziri wa Tamisemi Mh.Agrey Mwanri alikuwa na ziara kanda ya ziwa.Kwa upande wangu napenda kumpongeza huyu waziri kwa kazi nzuri kidogo aliyoonyesha kule...
Hotuba ya raisi Kikwete imeacha maswali mengi.Anasema chadema wanaandamana kushinikiza mambo yaleyale walioyashupalia kipindi cha kampeni na watanzania hawajaridhika nao nandomana wamewanyima...
President Kikwete was absolutely seething when talked about CHADEMA in his end of month speech to the Nation yesterday. My advice to CDM leaders is this they must be prepared for the worst to...
Wakati katibu wa SiSieM Bw Yusuph akiongea kwa kujitamba kuwa hata kaa meza moja na CDM kwa mazungumzo ya hali ya siasa nchini hivi sasa, Jana Mwenyekiti wa Chama hicho ameomba akutane na viongozi...
The politically - skilled leaders see people not as threats but as assets; strive not to divide but to incorporate; and seek not division but solidarity.
Nimeongea na jamaa yangu ametoka vijijini lalago maswa.Kaniambia umati uliopo haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Maswa, watu ni wengi sana ni bahati mbaya hawezi kupiga hata picha akaturushia...
Kauli ya kizalendo ya waandamanaji libya nimeipenda sana. Ikifika siku TZ tukatoa kauli kama hii tutakuwa tumefikia stage ya 'real freedom'.
"We're not here for power, authority or money," they...
Kwa hali isiyoyakawaida Mh.Hamis Kagasheki ameitisha kikao tarehe 1.03. 2011 hapa Bukoba mjini leo saa nne asubuhi ili akutane na Vijana wote wanaoendesha Taxi na Pikipiki akidanganya kuwa ni...
WAZIRI MKUU AMESEMA MKATABA MPYA AMBAO SERIKALI INAINGIA NA DOWANS ILI KUWASHA MITAMBO YAKE KABLA YA MWISHO WA MWEZI HUU UTAWEKWA HADHARANI NA KILA MTANZANIA ATAKUWA NA NAFASI YA KUUONA NA...
Leo katika kikao kati ya Rc wa Arusha,madiwani,watendaji wa kata,na wenyeviti wa mitaa,kumetokea malumbano makubwa kati ya Rc na madiwani wa chadema,hali hiyo ni baada ya RC kusisitiza kuwa...
kama unaakili timamu nadhani utakualiana nami kwamba haitotokea kamwe katika historia ya nchi hii kuongozwa na mtu anayeitwa freeman mbowe ! Mbowe amedhihirisha wazi tabia yake ya ubabe dhidi ya...
Kwa mtazamo wangu,naona kikwete hata hajui matatizo ya wananchi anaowaongoza tofauti na kuanza kuzungumzia yale yanayoonwa na wapinzani wao {CHADEMA}. Kumbe bila chadema serikali yetu ya kikwete...
Dar`s Makongo area lined up for major facelift
By Joseph Mchekadona
1st March 2011
Email
Print
Comments
The government will soon begin demolishing all illegally constructed buildings in...
After ellection i saw a talking head on TV da head belonged to slaa saying he had evidence,mind you CÖNCRETE EVIDENCE to show dat usalama wa taifa walichakachua.
I thought gud here is da man...
Siku si nyingi nili post thread iliyohusu Arusha Development Fund - ADF. Nikashauri waangile muundo wa watendaji pamoja na kuweka trustees ambao wanakubalika kwenye macho ya jamii. Sina maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.