Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanafunzi wa shule ya msingi Jomu wakiwa katika maandamamo ya Chama cha Demokaria na Maendeleo yaliofanyika mjini Shinyanga jana huku wakiwa wameshikana na kuonesha alama ya VIDOLE VIWILI. Wana...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Wana JF, Kuna habari zinaendelea kunong'onwa chini kwa chini kwamba Edward Lowassa, Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa lazima hivi sasa anatoa support kwa pande kuu mbili zinazopingana kisiasa CCM-...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mimi nimeshangazwa na Wenyeviti wa baadhi ya Kamati za bunge letu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na hasa hawa waliochaguliwa majuzi kuongoza kamati za nishati, miundombinu na kamati ya mambo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mara hii tuanze na hesabu.M-i=U. Maana yake ni maandamano kutoa intelijensia ni sawa na utulivu.Ukijibu namna hii umepata. Ukijibu tofauti, umekosea. Usiende kubukua vitabu vingi. Nenda kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Serikali inaanzisha mradi wa mabasi yaendayo kasi kuja katikati ya jiji ili kupunguza msongamano na foleni katikati ya jiji. Barabara ndo hivyo Mh. John P. Magufuli anaendelea nayo ili kufanikisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"Our challenge is not poor policies and intentions. The major challenge is the low level of economic development which has reduced our ability to quickly deal with problems facing us" JK...
0 Reactions
3 Replies
899 Views
Katika uchaguzi ujao, CCM watashindwa Vibaya na watakuwa hawana watu wengi wa kuwasapoti, Utabiri wangu binafsi umeonyesha kwamba. Mwaka 2015 wazee wengi wanaoisapoti CCM huenda either...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, 01 March 2011 21:19 Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Seif Sharif Hamad Joyce Mmasi HAKUNA shaka kwamba Watanzania ni watu wenye uwezo wa kuona na kutambua mbivu na mbichi. Uzuri ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
serikali haina risiti kuthibitisha kupokea zaidi ya Sh 55 bilioni kutoka kwa makampuni ya madini nchini. Source:mwanahalisi ,page 13
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Manji amefungua kesi dhidi ya Kagoda akiidai sh 18.7. Manji aliyedai kuidhamini kampuni tata ya Kagoda kurejesha serikalini bil 40 iliyoibiwa kutoka akaunti ya EPA, sasa anaishitaki Kagoda kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
SHARING IS CARING...... by Alan Morrison from DiakrisisInternational Website I have often spoken about the fact that the United Nations is an organization which has been widely...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
German Defence Minister Karl-Theodor zu Guttenberg has stepped down after he was found to have copied large parts of his university doctorate. Mr Guttenberg, considered until recently a possible...
0 Reactions
5 Replies
970 Views
Katika siku za hivi karibuni, wabunge kwa tiketi ya CCM walikutana chini ya wenyekiti wa JK, katika kile walichoita semina elekezi, ili kuweka mkakati wa kuzima jitihada za CDM za kuhimiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Pongezi ziwaendee wale wote ambao hawakujitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu uliopita. Katika hotuba yake ya mwisho wa mwezi wa february mh rais kikwete ameeleza vizuri sana kwamba marais...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
There is contradicting reports regarding the Healt of Shinyanga RC, i have spoken to a close friend of Balele, he claimed that Mr Balele is still alive
0 Reactions
11 Replies
3K Views
1. ''JK-KIKWETE'' 2. ''UDINI'' 3. ''....TAARIFA ZA KI-INTELIGENSIA'' Haya maneno yakitatajwa haswa na viongozi wa juu wa serikali najisikia vibaya..siku moja nusu nitapike.... Mnaweza ongezea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ccm kama chama wanayo sera nzuri tu ambayo ni kuondoa UMASKINI UJINGA MARADHI. Badala ya kutekeleza sera hizo kwa vitendo wamekuwa WALIMILA DOLE(anaye lima kwa kidole kwamba leo nitalima pale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Zaidi ya polisi mia leo walimshikilia kwa muda rais wetu wa moyoni Dr Slaa katika kituo cha polisi kahama.Polisi wanadai eti Rais wetu slaa alifanya mkutano bila kibali,baada ya kutoa maelezo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jf hapa bukoba barabara zimejaa watu hata magari hayana pa kupita kisa .... Rais wetu slaa na jeshi lake . Watu wamemsubiri uwezi hamini wengi wao. Mwenye simu no. Za pombe ampigie aje apanue...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Masha ndio hivyo tena kaangukia pua sasa nauliza je JK atambemba swahiba wake kwa kumpa cheo gani??
0 Reactions
85 Replies
9K Views
Back
Top Bottom