Mimi nawashangaa sana wamarekani kila kitu wao wanakiweza na wanakijua lakini hawa sio watu wazuri na kamwe hawa hawawezi kupenda Afrika iwe na hali nzuri. sasa hivi hawa wanafiki na majizi ya...
Kwa mtu mwenye maono ya mbali na busara aliyefuatilia kwa makini uongozi wa JK tangu mwaka 2005 hata kama mtu huyo ni mkereketwa wa kutupwa wa CCM kama mzee Msekwa,Kingunge nk. atakuwa...
Inasikitisha kuona mkuu wa nchi anaanza kuhangaika na Katibu mkuu wa chama cha siasa CDM ambaye yuko katika kutekeleza majukumu alipangiwa na boss wake(chama chake)
Huyu ni mtendaji wa kila siku...
Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mkuu Mizengo Pinda kuwa "pamoja na matatizo ya umeme nchini lakini uchumi wa Tanzania haujatetereka hata kidogo...na ndio maana hata viongozi hawatetemeki kuelezea...
Nashindwa kuelewa kwamba ni uzembe au ulevi wa madaraka au ndio uwezo wake wachambua mabo ulipofikia. Pinda anawezaje kuwambia watu haohao, siku hiyo hiyo, wakati huohuo na sehemu hiyo hiyo, kauli...
Jamani muheshimiwa kasema si lazima serikali inunue mitambo ya DOWANS hata mtu binafsi anaweza kufanya hivyo na kukodisha! jamani hii sio janja kweliiii?
Kukosekana kwa umeme kwa muda wa siku kadhaa hilo ni janga la kitaifa.
1. Huduma nyingi za muhimu zinakuwa zimesimama k,m, theater hata kama kuna mgonjwa mahututi atakufa mnaangalia kwa kukosa...
IPC Acquisition of Dowans Power Plant in Tanzania
IPC today announces that its Cyprus based affiliate, IPC Independent Power Corporation (Cyprus) Limited has entered into an agreement to acquire...
Ndugu wanaJF
nimeiona ile post kwamba mr Sugu atapokea maandamano ya mbeya ya wana tucta...this is a nyce movie!
kuanzia sasa napendekeza kuwa katika shughuli zetu zote za kitaifa na za...
WAFANYAKAZI wa sekta za taasisi na mashirika mbalimbali ya umma na binafsi mkoani hapa wamemkataa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, John Mwakipesile, kupokea maandamano yao ya amani ya kupinga ongezeko la...
Nimesikia kwamba mtoto wa kiranja mkuu a.k.a "mtoto wa mkulima" anasoma shule ya 17,000,000/= kwa mwaka (St Consta iliyopo Arusha), wakati akaunti yake alisema ina 20,000,000/=
Naomba...
Ni wakati muafaka sasa kwa wanachama,wapenzi na viongozi wa CCM kutambuaa hatari ya kuwa na Mkiti/mwanachama wa aina ya Kikwete ndani ya chama chao.
Hali ya kisiasa nchini inaonyeshaa...
Kwa kuwa rais wetu ni mtu wa kusafiri safiri sana, nilikuwa na wazo la kujengwa uwanja wa ndege mdogo,ambao ungetusaidai hata na sisi watumiaji wa barabara kuepukana na msongamano mkubwa wa...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kutoa mada juu ya umuhimu wa shughuli za uziduaji na uwazi katika mapato ya madini katika mkutano wa Kimataifa wa Tasnia ya Uziduaji, (Global Extractive...
Wale wakazi wa A-town na wapenzi wa kujua ukweli wa maandamano ya Arusha tarehe 5- Januari wanitafute.
Hii ni kwa manufaa yao na ya kizazi kijacho kuthibitusha kuwa enzi ya uchakachuaji haina...
Source: Raia Mwema page 3.
"taarifa zaidi zinaeleza kuwa vikao kadhaa rasmi vya chama hicho, vikiwamo vilivyohusisha baadhi ya makatibu makini wa mikoa na wilaya vimebainisha kuwa uongozi wa...
Habari zenu wana jamvi?binafsi natatizwa sana na tafsiri nzima ya neno Mwanaharakati kwahiyo nilikuwa naomba msaada wenu
1.Nini maana ya mwanaharakati?
2.Ni sifa/elimu gani anatakiwa awe nazo...
WanaJF.
CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.