Activists Urge Tanzania To Clean Gold Trade, Exclude Conflict Link
DOW JONES NEWSWIRES
Rights activists said Wednesday that Tanzanian, Africa's fourth largest gold producer, must impose...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KWA WANANCHI, 28 FEBRUARI, 2011
Ndugu Wananchi,
Kama ilivyo ada naomba kuanza kwa kumshukuru Mwenyezi...
Jana usiku kulikuwa na kipindi TBC1 KIPINDI MAALUM.KUIJADILI HOTUBA YA KIKWETE Nilipokisikiliza sikuona mjadala juu ya Hotuba badala yake WAZIRI WASIRA alikitumia kipindi chote kuisema vibaya...
Na Agnes Mwaijega
UMOJA wa Wainjilisti wa Kikristo Tanzania (UWAKITA) umesema kutokana na vurugu ambazo waislamu wamekuwa wakiwafanyia katika mikutano yao
watahakikisha wanajibu kila tamko ambalo...
Tanzania's main opposition party Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Democracy and Development Party - DDP) is carrying out what it termed as the "demonstrations and rallies against corruption in...
Wakati huo huo, Chama cha Uzalishaji na Maendeleo Tanzania (TAMADA) kimesema kutokana na serikali kuwadharau wafanyabiashara wadogo wadogo wako tayari kufanya maandamano nchi nzima kuishinikiza...
NAHISI KAMA KUCHANGANYIKIWA KUNA THREAD NYINGINE HUMU INAONYESHA KAFULILA KAIPONDA CHADEMA NA HII JE?
MBUNGE wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi) amemshangaa Rais Jakaya Kikwete...
Kumekuwa na mijadala mingi juu ya katiba mpya tanzania pamoja na zanzibar,lakini mimi nitakosoa kidogo,kukiangalia hapa lazima kutakuwa na matatizo ya muungano,kwanini tanganyika wajadili katiba...
Ninawashauri ccm na wale wanazi wa ccm kuacha kupiga kelele na badala yake na wao waandamane kushawishi wananchi na kuhamasisha katika hoja zao ambazo wao wanaziona kuwa zinafaa kama cdm...
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amesema hasara ambazo taifa limepata kutokana na mikataba mibovu ni matokeo ya kasoro zilizopo katika mfumo wa utoaji wa elimu nchini.Sitta...
Akizungumza na waandishi wa habari jana katika eneo la tukio, maarufu kama Big Brother, Mwenyekiti wa Soko la Urafiki Mitumba, Idd Toatoa, alisema kuwa bomoa bomoa hiyo ilifanyika juzi majira...
Mwenyekiti wa umoja wa wanawake ((UWT) bi Sophia Simba ameweka hadharani upungufu wa chama cha mapinduzi(CCM) na kukisifia chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mfumo walionao wa kisasa...
wanahojiwa na polisi kwa kuendesha mkutano jana. Cha ajabu jeshi la polisi lilikuwepo wakati wa mkutano kutoa ulinzi. Radio one
UPDATE: baada ya kuhojiwa kwa muda na polisi Kahama, Dr Slaa na...
Nadhani tubadilike kidogo na kutomtupia Rais wetu lawama kwa kila jambo. Nchi inaundwa na wizara na taasisi lukuki zenye watu wenye majukumu mbalimbali ya kumsaidia Rais, directly or inderectly...
Ngawaiya, Kaborou, Lamwai, Hizza. Hawa jamaa enzi zile ndio walikuwa vichwa vya upinzani, nahisi wangekuwa bado upinzani tungekuwa mbali sana......sijui nini kiliwabadili mitazamo!
tunataka kusikia viongozi wetu wanasema nini na wananchi wenzetu huku wanakopita kuwaelimisha basi andaeni documentaries halafu mtuuzie sisi tuatanunua kwa mfano hii ya arusha hadi leo...
Kwa yeyote anajua kuangalia siasa na kupima mienendo ya CHADEMA katika siasa ya sasa anaweza gundua mambo mawili
1. Chadema inajenga umaarufu wa kupata watu wengi kwa mtaji wa 2015
2.Chadema...
Amewapa raia uhuru wa kuzungumza. Hii ni tofauti kabisa na Gaddafi wa Libya ambaye hataki kusikia raia au paparazi anasema au kuandika chochote bila 'ruhusa' ya vibaraka wa Gaddafi. Raia wa Libya...
Ndugu wanajamii kwanza tupeane pole kwa tatizo la upungufu wa chakula linalolikabiri taifa letu. Nijambo la kushukuru Mungu kwa kuwa hata JK analitambua na kalipa uzito wa kuliweka kwenye hotuba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.