Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Taifa letu limeanza kupoteza dira baada kuacha misingi alitufundisha Hayati baba wa taifa Mwl.Julius K. Nyerere.Ninasema hivi kwa sababu kama taifa halina vipaumbele vya kuliongoza taifa kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada niweze kujua kama National Insurance Company of Tanzania Limited lipo chini ya consolidated holdings Naomba kuwasilisha
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Kumezuka mchezo wa watu kumkweza Bwana January Makamba ati ni shupavu katika maamuzi yake ya Dowans ya kutuchinjilia mbali na gogoro linaloendelea! Naomba wanaomsifu wajibu yafuatayo Katika...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kila kukicha uwa najiuliza shwali vipi Tanzania nini tunachowez kufanya kwa ufanisi? maana sasa inakuwa kama tunaishi kwa dripu za wahisani, maana hapo juzi rais katika hotuba yake anasema mataifa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I am a lady from the Netherlands and a fourth-year student of The Hague University. I work as an intern for the Netherlands Institute for Multiparty Democracy (NIMD). My assignment is to do...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
waziri mkuu wa Egypt amejiuzulu, source CNN BREAKING NEWS
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salma Said, BENKI ya Dunia imepongeza uendelezaji wa miradi ya maendeleo hapa Zanzibar na kueleza lengo lake la kuunga mkono ili kuhakikisha wajasiriamali wadogo wadogo wanawekewa mazingira mazuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana nilipata nafasi ya kutembelea wenzentu kule goms japo kuwapa pole,ktk pita pita zangu na kukaa vijiweni niliambulia vitu vingi sn mana kuna watu wanadai wameunguliwa na radio,tv,nguo mpk za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Epa
Hivi zile hela zetu za EPA zimesharudishwa kama alivyojinadi Kikwete Bungeni au ndo usanii mtupu?
0 Reactions
1 Replies
935 Views
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta (pichani) amesema hasara ambazo taifa limepata kutokana na mikataba mibovu ni matokeo ya kasoro zilizopo katika mfumo wa utoaji wa elimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Kikwete hasomi alama za nyakati - Slaa Mwandishi Wetu RAIA MWEMA Machi 2, 2011 Asema Katiba inawapa nguvu wananchi Wavuta watu Mwanza, Mara na Shinyanga KATIBU Mkuu wa Chama cha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ningependa kujua Dr Slaa alipangaje baraza lake la mawaziri kama angeingia Magogoni tarehe 31/10/2010? I would be so much interested kujua nani wangekuwa members. Ni vizuri tujue ili tuone kama Mh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari nilizozipata ni kwamba Ps wa MNRT na Director of wildlife Mr Tarimo wamepigwa kibuti. Mzee Tarimo alikwa na kama miezi mitatu astaafu sijui ni kitu gani kilichofanya mpaka akambiwa aondoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je kulipuka kwake inatokana na umeme kugawiwa kama njugu? Leo huyu kapata huyu kakosa? Je ndiyo maana Mwinyi (Dr. Hussein) kagoma kujiuzulu kwa sababu anamjua anayepashwa kujiuzulu (Dr. Ngeleja)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
New revelation: Dowans in huge debt -Controversial turbines named as collateral for massive loans from Barclays, Stanbic banks THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE controversial Dowans Tanzania...
0 Reactions
109 Replies
15K Views
Tanzania ni miongoni mwana nchi tajiri kwa amani na utulivu, lakini kwa sasa hali inaoneka kuwa sio nzuri kutoka na msuguwano wa kisiasa kati ya chama tawala ccm na chama pinzani chadema. ccm...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo ametamka rasmi kuwa TANESCO itaingia mkataba mpya na Dowans wa kuzalisha umeme. Amesema mitambo ya Dowans itawashwa muda wowote kuanzia sasa licha ya kesi iliyopo...
0 Reactions
119 Replies
9K Views
Brethrens, Today is another day when I felt the test of what it takes to be a Lawyer and a Politician. My dilemma came at a point when I least expected. Who do I blame? Which side do I...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
jana jioni lilikuwepo zogo na vijikao pale MANZESE BIG BRAZA, personally nilikuwepo 1.Ushirika wa soko litakiwa kubomoa wenyewe line (mabanda) ya mbele tu kwani vimejengwa chini ya 3 phase...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
....baada ya kuongea pumba za jana ..tuko hapa airport ..tunaona JK Anaondoka kwenda nje ya nchi ...anaagana na viongozi wote wakuu pale...sijui kwa nini safari hii kimya kimya......
0 Reactions
113 Replies
11K Views
Back
Top Bottom