Mwendesha mashitaka wa mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (International court of criminal- ICC, the Hagu, Netherlands) bwana Luis Moreno-Ocampo, amesema kiongozi wa Libya Gaddafi pamoja na...
Siku za sasa kuna upoteshaji mkubwa sana wa hali halisi ya uongozi katika Taifa wetu unafanywa na makada wa CCM na/au watu fulani wenye imani ya dini ya Kiislamu kwamba Watanzania tunapoelezea...
Kuna tetesi nimezipata kutokea kule Butiama nyumbani kwa muasisi wa taifa hili la bongo marehemu baba wa taifa Mwalimu Nyerere kua ile siku viongozi waandamizi wa chama cha demokrasi na maendeleo...
Baada ya watanzania kuelekea kukombolewa na CHADEMA basi wapambe na wapambanaji wenye tambala jeusi machoni, wameanza kusema eti CHADEMA inataka kuleta vita na kuvunji amani. Kuna kosa gani...
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo...
Najua wapo watakao shtushwa na kichwa cha habari na kudhani mm ni kilaza kwa kuuliza swali ambalo lipo wazi. Nimeuliza maana nimeshindwa kumuelewa John Shibuda aliyekuwa kada wa CCM na baada ya...
Ndiyo hivyo jamani! Wenzetu huduma zote hizo ni bure na bwerere lakini bado wanaingia mitaani kwa maandamano. Kwa upande wetu pamoja na kutokuwepo kwa uhakika wa upatikanaji wake, huduma hizo...
Mji mzima wa Omurushaka na Kayanga shughuli zimesimama kabisa. Watu wametoka vijiji vya mbali kuja kuwaona wakombozi wao.
Naenda kwenye maandamano, nikirudi nitaweka picha. Natumia pc ya rafiki...
Mshahara wangu umepanda kwa asilimia 12 kuanzia mwezi January mwaka huu, bei za bidhaa mbali mbali ni kama ifuatavyo:
Jul-10 Feb-11 Ongezeko %
Mchele 1,100 1,750 650 59%
Mafuta ya kupikia (Korie...
Tafuteni muislam vocal hata wakununua. I smell trouble. Nina ndugu yangu ustaadh ni mstaarab na mpole sana ila mambo aliyoniambia yaliyoko kichwani kwa waislam wengi ni hatari kwa taifa. Uongozi...
Sakata la Dowans, nani alaumiwe ?
Sakata la Dowans, nani alaumiwe ?
Rais Jakaya Kikwete 9222 (77.2%)
Baraza la mawaziri 803 (6.7%)
Wanasheria na Mawakili 770 (6.4%)
Shirika la Umeme...
Tumeshuhudia kama mara mbili tatu hivi baadhi ya mawaziri wakiikosoa serikali hadharani au kupitia media. Tuliona katika sakata la Dowans jinsi ambavyo Mh Mwakyembe na Sitta walivyotoa opinions...
Hii ni mitambo ya nini hapa getini kwa Songas muda huu saa tisa mchana iko mitatu kwenye gari tatu kubwa....au mgao karibu kimbia zake!!!???
Source;Kibonde
Siyo sawa hata kidogo kuchochea ghasia ati kwa nia ya kuiondoa Serikali madarakani. Ni kinyume cha Katiba na ni kuiingiza nchi katika mgogoro usiokuwa wa lazima. Tutasababisha umwagaji wa damu...
Na Dr.Harith Ghassany
Wanaotamani kuivunja Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar ni sawa na wale wenye kutaka kuendesha gari kwa kutumia kioo cha kutizamia nyuma kila wakati.
Watu wa namna...
soko la mahakama ya ndizi lililopo Manzese DSm hivi sasa linavunjwa.
Risasi na mabomu yatumika kutawanya wafanyabiashara, barabara yafungwa.
Chanzo: Radio One
Ndugu wanaJF naomba kuuliza swali " kwa nini siku hizi watangazaji wa STAR TV na Redio Free Africa hawalisomi gazeti la TANZANIA DAIMA katika kipindi cha watanzani tuzungumze magezeti cha saa...
http://www.worldmapper.org/posters/worldmapper_map150_ver5.pdf
Wana Jf Ebu pitien Hapo muone hali ya nchi ilivyokuwa. Ni data za 2006 na nadhani hali ni mbaya zaidi sasa hivi!
Kila kifo Gongo la Mboto fidia Sh.8.5m
Na Muhibu Said
3rd March 2011
Kila aliyekufa kutokana na milipuko ya mabomu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Serikali italipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.