Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kupanda kwa gharama za maisha, ufisadi na mgawo wa umeme ni kero kubwa Hivi sasa, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kipo kwenye ziara ndefu inayowakusanya maelfu ya wananchi kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati huu siyo waziri Mkuu pekee bali hata Rais amelidanganya Taifa (na wana-CCM wenzake) Hii ni kwasababu zifuatazo:- 1) Rais alimjua mmiliki wa DOWANs ila akwambia wana-CCM wenzake huko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KONA YA MCHOCHEZI: Naomba Watanzania wahifadhi maneno ya uchochezi huu! Mohamed Bouazizi ni chanzo cha serikali ya Tunisia kuangushwa. Ukitaka kumjua zaidi kijana huyu ni kwamba alikuwa ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
"Transparency and even more importantly accountability in the use of natural resources is what you need for people living in those countries to get the benefit of those national resources...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
....wanaJF, nimekaa nikatafakari kuhusu kile chama cha CCJ kilichoibuka from no where wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu mwaka jana, kiliibuka ibuka tu na ikasemekana ni watu waliojimega kutoka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia nchi zenye machafuko (unrest) na maandamano huko Mashariki ya Kati na Afrika nikakutana na article hii ya CNN ambayo imezitaja nchi na vyanzo vya machafuko hayo. Nimepata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Waislamu nchini wameonywa kutokushiriki katika maandamano ya CHADEMA kwani yanahatarisha amani ya nchi. Source: Radio Imani My take: Wana JF ktk nchi yetu huwa siwaelewi waislamu (baadhi) kwa...
0 Reactions
81 Replies
7K Views
  • Closed
Zitto: Kuna njama na Mwandishi Wetu Tanzania daima Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, amesema chama hicho kimegundua kuwapo kwa njama mahususi...
0 Reactions
1K Replies
89K Views
kwa sababu CCM watafanya lolote wawezalo ili kulinda maslahi yao kwenye katiba, na hata CHADEMA ikiingia madarakani, kama wao wataongoza mchakato wa kutengeneza katiba mpya, basi watalazimisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nimekuwa nikifuatilia habari na hasa kwenye magazeti ya hapa nchini!kwa bahati nzuri kuna Gazeti la RAI nguvu ya hoja nimekuwa nikishindwa kulielewa hasa kwa kipindi hiki cha takribani miezi...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Ni muda mrefu sasa sijasikia Clouds wakiperuuuuuuuuuzzzzzzzzzz na kudadisi gazeti la Mwananchi au ni masikio yangu mabovu???
0 Reactions
26 Replies
3K Views
kama serikali kila tatizo (mikutano na maandamano ya CHADEMA, wamachinga etc) lita suluhisha kwa kutumia polisi (FFU etc), kuna umuhimu gani wa mahakama? kwa nini kama kweli wanakiuka utaratibu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kufuatia hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu, JK, ya 28/02/2011, kuhusiana na maandamano ya cdm kanda ya ziwa chini ya viongozi wake wakuu, ni dhahiri kuwa polisi wamefyata mkia na kuacha maandamano hayo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau kumekua na tatizo la usafiri na watu wameteseka sana. Wanye daladala wanadai kupandisha nauli. Ndg zanguni kila kukicha afadhali ya jana. Sasa cjui tuende kwa nani. Huko Paris nako wakuu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba sana, bila ushabiki, hasira, tuichambue kwa kina Hotuba ya Raisi ya mwisho wa Mwezi wa pili. Mimi nitaanza halafu wengine kufuatia. Kwa ujumla hotuba ilikua ina mapungufu mengi sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
serikali inapoteza muda wake kutishia UMMA/CHADEMA. Wassira amesema "Ibara ya 20 ya kifungu cha Katiba inampa nafasi na haki kila mtu kukutana na yeyote na kutoa mawazo lakini si kutumia nguvu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi wengi walopata mafanikio katika uongozi wao sehemu mbalimbali Duniani hawakuacha kusema maneno haya kwenye hotuba zao:- "......for the future Generation/...... kwa vizazi vijavyo"...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana JF tumekua tukijadili masuala ya kitaifa ya muda mfupi, matatizo ya kitaifa ya kiuchumi na kijamii, lakini kwa wakati huu hatujui nchi yetu itakadi gani au ni ipi political style itakayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Madai yangu makubwa ni kupata expenditure za Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa mwezi. Naweza kupata wapi hizi data? Na je, Bajeti zao kwa mwezi ni kiasi gani? Ninataka expenditure zao za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Juzi nilipokuwa namsikiliza mh. rais ktk hotuba yake alikuwa akisikitika na kulalamika sana kuhusu kupotea kwa silaha nyingi ktk kambi ya Gongo la mboto, na akasema pia kambi hiyo ndiyo sehemu kuu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom