ukweli ni kwamba hakuna uwezekano wa ccm kushinda 2015. inavyoonyesha chadema itaendelea kupata nguvu maana ina uongozi imara. kutokana na uchochezi wa kidini cuf watavuna sana ccm 2015. njia...
Kuna tetesi kuwa kuna watu wanaodahaniwa ni CCM hununua nakala nyingi za Tanzania Daima kwa wasambasaji, ile gazeti hilo lisifike kwa wachuuzi wa reja reja, hence lisifike kwa wananchi.
Nimekosa...
Wana CDM natumaini Tumefanya na tumeona mafanikio ya operesheni SANGARA, operesheni iliyo lenga kupata wanachama katika Miji mikuu na sehemu karibu na miji hii.
Sasa ni wakati wa kuingia ndani...
Katika kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010, baadhi ya wanachama, wapenzi na washabiki wa CHADEMA walionyesha wasiwasi kuhusu matayarisho yaliyokuwa yamefanywa kuhakiksha kuwa wizi wa kura...
HOTEL YA BWAWANI KUGEUZWA KUWA SHOPPING CENTER NA CAR PARKING.
Written by Ashakh (Kiongozi) // 04/03/2011 // Habari // No comments
Waziri wa biashara na viwanga Mh Nossor Mazuruwi ametowa...
Mimi kama mtu mzima huwa nachukua tahadhali kwa kila ninachokifanya ningependa kutoa ushauri kwa Chadema.
Kutokana na malalamiko mengi hasa kutoka baadhi ya vyama vingine vya siasa na serikali...
Viongozi wetu wa Afrika hasa Tanzania wanaichukulia dhama ya kujiudhuru kama matusi
hii nina sikitisha sana mbona mzee wetu mwinyi alijihudhuru na hii ikampa nafsi ya kukaa
pembeni kujijenga upya...
Waziri aitisha Chadema Thursday, 03 March 2011 20:54
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu, Steven Wassira
Na Waandishi Wetu
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Uratibu...
CLICK YOUTUB CHINI UONE UHONDO
YouTube - ‫
Zine El Abidine Ben Ali
زين العابدين بن علي...
Aslaaam,
Nimemkumbuka ndugu yangu JK akijinadi kuwa yeye ndio yeye na CCM ndio chama...
Wengine wooote ni mamluki wa msimu tuu mpaka uchaguzi... Sasa CHADEMA wameamua kumthibitishia uongo...
Mzee Cheyo kumshauri Rostam Aziz aache siasa ni kukwepa kuzungumzia ukweli wa mambo na kuonesha jinsi gani hawa wazee wetu akiwemo Mrema walivyojichokea. Wameishiwa hoja kabisa! Rostam Aziz ni...
Nimefuatilia Matamko mbalimbali ya Viongozi wa Serikali na wale vyama vya Upinzani.
1. Alianza Rais kueleza kwamba CHADEMA kinachochea Vurugu katika Maandamano yake kinachoyafanya nchi nzima...
Ni hapa hapa JF watu mbali mbali walimsifu na kutoa pongezi mbali mbali kwa Meya wa jiji la Mwanza , Ndg. Josephat Manyerere, akiwamo Mh. Zitto ambae alituma salamu rasmi hapa JF kuwa wamempata...
Thursday, 03 March 2011 20:48
Sadick Mtulya
CHAMA cha Mawakili Zanzibar (ZLS) kinatarajia kuishtaki Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), kikipinga Jaji Mkuu Zanzibar, Hamid Mahmoud Hamid...
Mpaka sasa hili ndilo nililiong'amua kama ningeambiwa nani wakum-approve kuongoza Tanzania leo ningesema neither one!
Kuna mengi CHADEMA wanayafanya leo bila kutambua wakiwa madarakani...
Ndugu zangu wanaJF na watanzania kwa ujumla, Naomba nitoe ufafanuzi wa mambo kadhaa ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa mara nchini kwetu.
1. Kumekuwa na hali mbaya sana ya maisha kwa wananchi wa...
Sisi wakazi wa sirari na wilaya ya tarime kwa ujumla tumepatwa na tatizo la bomoa bomoa na zoezi hili limeanza 2march mwaka huu baada ya tangazo la kupewa siku saba tuwe tumebomoa makazi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.