Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Kufuatia Kauli chafu ya Vitisho kwa Wananchi iliyotelewa na Raisi Jakaya Kikwete ya Kuwadanganya Wananchi kuwa Chadema wanavuruga Amani ya nchi, mimi kama mwana diplomasia Kauli hiyo nimeiona ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo hapa habari maelezo nimekutana na mh mrema wa TLP anajaza fomu na maelezo yake yanasema kuzungumzia hali ya halisi ya kisiasa nchini... Huku akichaguliwa magazeti ya kuyalipa kaambiwa ila...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Tunaona kila mahali Kikwete anapenda kwenda na kuhudhuria. Kinachoshangaza ni kiasi gani Wizara ya Fedha inampa Kikwete every fisco year funds za kuleta umaskini Tanzania? Tunajua gharama za...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
I just followed the best thread ever since I joined jamii forums ,a member(Alberto) asked some known members of the parliament to disclose their income.The answers were so weird!...are they...
0 Reactions
5 Replies
984 Views
Jamani,mimi ni kijana ambaye nimekulia Ilala na sasa ninaishi hapa kariakoo takribani miaka 10 sasa. So ninamarafiki au washikaji wengi sana kuanzia wa bantu wenzangu,wapemba,waarabu,wahindi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wajameni tukiendelea kuparuana kuhusu ufisadi wa Dowans, ule mradi wa National Id cards umeishia wapi? Au wanangoja mpaka mwenye nchi RA asajili kampuni yake mara hii itatokea Malaysia maana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tafadhali ndugu zangu nina shida ya katiba. Kama kuna mtu anajua link ambayo naweza ku download katiba (english or swahili version) with all amendments so far please help. Amani baraka
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Magari ya yakiwa yamebeba mitambo ya kufua Umeme ya Kampuni ya SonGas yakiwa yamepaki nje ya Kampuni hiyo tayari kwa kuingizwa ndani. Mitambo hiyo iliyobebwa na magari hayo inadaiwa ni moja ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hatimaye uchaguzi wa Uganda umekwisha na Mh. Rais Museveni kutangazwa mshindi kwa 68%, na kumuacha mbali mshindani wake Ndg. Besigye kwa kupata 26%. Ndg. Besigye ni rafiki mkubwa wa CHADEMA na...
0 Reactions
90 Replies
6K Views
Yaani pamoja na kelele zoote za ufisadi na ufujaji mali ndani ya Tanzania bado wanaendelea tu kumwaga mipesa Tanzania? Ndo kusema wanaona raha kulisha mafisadi au wananchi wa nchi zao hawana...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nilikuwa nasoma thread inayomhusu Sophia Simba na vioja vyake ktk C10, hapohapo nikakumbuka Statements za naibu waziri wa kilimo akiongea na waandishi wa habari kwamba serikali haiwezi kudhibiti...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kutokana na kauli yake ya kuwataka wananchi wasiudhurie maandamano ya chadema kwani yanaatarisha amani maelfu ya wananchi wamejitokeza kuhudhuria maandamano hayo na hii inaonyesha wazi kuwa JK...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwaka jana ulikuwa ni mwaka wa uchaguzi na vyama mbalimbali vilitoa sera na ahadi zake kwa wapiga kura... kwa mapenzi ya NEC na TISS, CCM wakarudi Ikulu pamoja na kutumia nguvu ya pesa na mambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Zangu, AFRIKA viongozi ni wengi wanaopatwa na vigugumizi wanapoombwa watoe maoni yao kwa kile anachofanya mwenzao Ghadaffi kwa watu wake. Vigugumizi hivyo vina tafsiri nyingi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kauli,lawama na hofu, vilivyoshehen katika hotuba ya februari 28,ya rais Kikwete ambaye pia ni mwenyekit wa chama tawala CCM na kufuatiwa na kukamatwa kwa kiongozi wa mkuu wa CHADEMA pamoja na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Basi bwana, katika soma soma yangu threads katika jumba hili nikajawa na uchungu sana kuona baadhi ya makada wa Mapinduzi wakilalama CDM wanapandikiza chuki kwa wananchi dhidi ya Siri kali yao...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Frederick Katulanda, Butiama MJANE wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, jana aliwaombea dua njema kwa Mungu, viongozi wakuu wa Chadema huku mtoto wake, Madaraka Nyerere, akikitabiria chama hicho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by Ashakh (Kiongozi) // 03/03/2011 Rajab Mkasaba, Ikulu USWISSI imesema kufanikiwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye muundo wa Umoja wa Kitaifa kunatokana na juhudi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania will save up to $6 billion by 2024 by using its natural gas for electricity generation instead of oil imports, an official with a local gas utility said on Thursday. Songas says natural...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom