Ndugu zangu nimeshitushwa sana na matangazo ya Redio uhuru siku ya jumatano tarehe 2 mwezi 3 mwaka 2011, muda saa 2 mpaka saa 3 usiku. nikiwa naugulia mgao wa umeme huku nikiwa na kiredio changu...
WAKUU.
kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa nikilinganisha mienendo ya chama kikuu cha upinzani hapa bongo CHADEMA na chama tawala CCM katika nyanja mbalimbali kama vile utawala, fedha ,rasilimali...
Makinda: Bunge halikuwa na agenda nyingine
na Bakari Kimwanga
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, amefafanua juu ya hisia zilizojengeka miongoni mwa makundi ya...
Joto la kisiasa nchini limepanda na kufikia degree za juu sana, nadhani liko between 41 - 50 degree.
Hii imepelekea CCM na Serikali yake kuwa very unstable, yaani ile group organization haipo...
Akiwahutubia maelfu ya waandamanaji katika mji wa Biharamulo leo Mh. Mbowe amesema, wamiliki wa mitambo hewa ya Dowans wamejitokeza wakimshawishi kumpatia fedha kwa njia ya rushwa ili Chadema...
Swali: Mheshimiwa Rais je unawajua wamiliki wa kampuni ya Dowans?
Jibu:
Nasema mimi sijui, ni kina nani sijui,
Wanatoka wapi sijui, walifikaje sijui,
Kama nawafahamu sijui, kama wananijua...
Bandugu katika pita pita yangu ya kujisomea nimeona mada nzuri inayojieleza.
Any similarities?
"Grand corruption is defined as corrupt acts, "committed at a high level of government that distorts...
Mmiliki wa Kagoda akwama kutokea kortini
Ni katika kesi iliyofunguliwa na Manji
Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara wa Dar es Salaam, Yusuf Manji dhidi ya kampuni tata ya Kagoda...
Wadau wapenda maendeleo nipo ktk mji mdogo wa katoro mpakani mwanza na kagera hali ni ya mashamsham utafikiri anakuja cjui nani maana hata rais huwa cio hivi,muda mfupi ujao kutakuwa na maandamano...
Wakuu, Habari!!!
Yale Maandamano ya CHADEMA katika Kanda ya Ziwa yanatarajiwa kuhitimishwa leo kwa maandamano makubwa na ya aina yake Bukoba Mjini. Maandamano hayo yanatarajiwa kuanza saa 7...
Kasi ya chadema imewatisha baadhi ya vyama, wingi wa watu kwenye maandamano na kukubalika hasa na vijana, hali ngumu ya maisha, na machafuko yanayoendelea dunia. Kumeitia hofu serikali na chama...
mimi ningekuwa rais ningejari shida za wananchi na ningetimiza ahadi zangu zote pia nisingetoa ahadi zisizotekerezeka wakati wa kampeni,ili kuwa na kazi rahisi wakati wa urais wangu na pia
wakati...
Mwenyekiti wa UDP amemshauri bwana Rostam kuachana na siasa na kufanya biashara kwani upepo wa kisiasa nchini kwa upande wake ni mbaya mno, amemshangaa kukaa kimya licha ya tuhuma lukuki...
Dozens of people have been killed and many more injured after the army opened fire on protesters in the Libyan city of Zawiyah, according to reports.
source: www.lifeofmshaba.com
Wandugu,
Maandamano ni njia mojawapo ya kuonyesha kutokuridhika na mambo fulani. Kwa muda sasa CDM imeweza kufanya maandamano makubwa kwenye mikoa kanda ya ziwa.
Ni suala la msingi kuangalia...
Wana jf, wananhci wote mawaziri wote, wabunge Raisk JK wananchi wote samahni sijafuate protocol. Leo najiskia kuandika gazeti
Sakata la mtatizo ya Nishati tanzania linaibua mswali mengi kila...
Viongozi wetu wa Afrika hasa Tanzania wanaichukulia dhama ya kujiudhuru kama matusi
hii nina sikitisha sana mbona mzee wetu mwinyi alijihudhuru na hii ikampa nafsi ya kukaa
pembeni kujijenga upya...
Hili nalo neno...
MGAO WA UMEME...
Uchumi wayumba
* Taifa lapoteza sh. trilioni 1 kwa mwezi
* Hofu yatanda maelfu ya vijana kukosa ajira
* Ukali wa maisha wawaacha Watanzania hoi
* Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.