Raisi wa misri aliyepinduliwa madarakani kwa nguvu ya umma alikuwa na nguvu sana kuliko chama cha mapinduzi(sijajua mapinduzi yanayozungumzwa hapa) lakini pamoja na nguvu zake zote hizo(absolute...
Mwendeshaji: Mheshimiwa rais watanzania wakukumbuke kwa lipi baada ya kipindi chako cha uongozi?
Rais jk: Wanikumbuke nimewatoa hapa mpaka pale, eeh hapa mpaka pale.
Lol duniani kuna maajabu!
Wana JF, Nimeangalia hivi sasa serikali yetu imesahau jukumu la kulinda maisha ya watanzania hasa tatizo la madawa ya kulevya. Tatizo limekuwa kubwa kiasi kwamba siku hizi huhitaji nguvu kuyapata...
Waandamanaji katika uwanja wa Tahrir, Cairo
Mkasa wa waandamanaji waliopo hivi sasa kwenye viwanja vya Tahrir, mjini Cairo, Misri, umesadifiana na mambo mawili, kwa kiwango ambacho mimi binafsi...
Kumekuwa na mkakati maalumu wa Clouds FM kuwatetea mafisadi, kujipendekeza kwa watawala serikalini na kuwatukana viongozi wa upinzani, haswa Chadema. Huu mkakati wa ku "brainwash" Watanzania...
eti watu wa kagera walitegemea hoja za namna ya kuboresha maisha yao (kutoka kwa maandamano ya CDM), badala yake wakaambulia matusi na kejeli tu.
je, hii ni kweli?
chanzo: chanel 10
ni muda mrefu sana toka hayati bob marley afariki dunia...lakini ideas zake za ukombozi wa afrika na mtu mweusi kwa ujumla zinaendelea kuishi na kujidhihirisha sana hasa kwa jinsi serikali dharimu...
seem oddly slow to start choosing a presidential candidate
WASHINGTON, DC
elongated standards of American politics, next years presidential election is not that far away. It is less than...
Na. B.OLE,
Ni muda mfupi tokea kuundwa kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar huku Maalim Seif akiwa anaandika tena historia mpya ya kuwa Makamu wa kwanza wa Serikali ya umoja wa kitaifa hapa...
"Rais ni baba wa familia ya Tanzania lakini kumpa siku tisa atekeleze matakwa yote haiwezekani, maana yeye si Mungu, bali ni binadamu na ana mipango endelevu kwa taifa letu. Hebu CHADEMA wawe...
Nimekuwa nikifatilia mijadala ju ya vyama vya siasa,nimeona kuwa chadema kimekuwa na upinzani mkubwa nchini tanzania,kitendo cha chadema kupita katika majimbo na kuwaelewesha wananchi jinsi ya...
Shikamoo Mkuu! (Sijui hata kama una kawaida ya kusoma JF au la! Naomba walau Tiss wakufikishie ujumbe wangu) maana inadaiwa JF ni ya Chadema lakini na sie tunaitumia.
Nimesikitika sana kutokana...
Ndugu Zangu,
Ni mabomu ya kutoa machozi, jana na leo.
Tafsiri yangu; hali bado si shwari Mbarali. Hata mchana huu nimeongea na walio Mbarali, wameniambia, kuwa jana FFU waliingia Ubaruku...
· Ombea mchakato wa katiba mpya ya nchi yetu ili kuondoa vigezo vilivyo kwenye katiba iliyopo vilivyo na udhalimu kiutendaji kwa manufaa ya kundi dogo,chama au maslahi ya mtu binafsi Zab...
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar
Joyce Mmasi
MWAFAKA wa vyama viwili vya siasa vya CCM na CUF huko Zanzibar ulioiwezesha nchi hiyo kubadili katiba na kuruhusu kuundwa kwa serikali ya Umoja wa...
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Mpanda, Jacob Nkomola, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za uchochezi na kuhamasisha vijana kuandamana hadi nyumbani kwa Askofu wa Kanisa Katoliki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.