Ndugu zangu,
Inavyoonekana hii hali ya maisha kuendelea kuwa mbaya inatukumba watanzania tu. Wenzetu wakenya, waganda na warwanda mambo yao yanaendela vizuri tu. Viongozi wetu wamekuwa...
Baada ya kufanya tathmini,tumebaini member wa Chadema ni wakutosha humu janvini,wana mapenzi bora yaliyotukuka kwa chama na wako tayari kufa ama kuona damu inamwagika ili ukombozi upatikane kwa...
Wandugu naomba mnivumilie lakini nina hoja ya kuijadili. Kwa muda mrefu tumekuwa tukisikia kashfa na tuhuma mbali mbali dhidi ya viongozi wetu na hata wafanya biashara maarufu nchini wakihusishwa...
Alijizolea umaarufu sana. Binafsi hata mimi nilimuunga mkono Dr Slaa pale aalipoamua kupinga mishahara na posho nono za wabunge wetu. Kwa sasa wapiganaji wetu wa CDM hakuna hata mmoja ambaye...
Wazazi wa CCM nao!!! Kazi yao kubwa ni kupigia makofi chochote viongozi wao wakuu wakisema -- na wanaona kabisa serikali ya chama chao inavyokwenda hovyo hovyo!
Angalau basi katika hili suala la...
Kumekuwa na kawaida ya viongozi wakuu wa kitaifa hususan rais na waziri mkuu wake kufanya ziara za mikoani na wilayani kwa lengo la kukagua miradi na wakati mwingine kuwawashukuru wapiga kura...
Mhe Pinda leo amelonga hapa Bukoba mida ya saa 12 na kusema
Pamoja na serkali kuleta maendeleo makubwa Kagera. Pamoja na shule, barabara na mkonga wa mawasiliano.
Bei ya sukari...
Nimefuatilia kwa makini madai ya akina Wasira, Cheyo na Mrema kwamba CDM inawahimiza wananchi kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa nguvu, na kubaini kuwa hayana ukweli wowote. Jambo hilo...
Zimbabwe charges 45 with treason for viewing Egypt footage
That seems to be the message Robert Mugabe's government has sent with the February 19 arrests of 46 activists for attending a...
Wana JF nisaidie, swali langu ni kwamba kuna mtu yeyote humu jamvini anafahamu mahali ilipo ofisi ya CHADEMA katika jiji la Arusha. Kuna vijana wanalalamika kwamba tunataka kupata Kadi za Chama...
Ningependa kuona viongozi wa CCM wakiandaa majukwaa ya siasa waliko wananchi na kuyatumia kuwaambia kuwa Chadema wanachosema ni uongo badala ya kukaa maofisini Dar na kuita waandishi wa habari...
Makamanda wa chadema mnasubiriwa sana hapa Dar,pamoja na hivyo watu wengi wanaulizia kadi za uanachama.Mtueleze mnakuja lini Dar na pia kadi zitapatikana?Wakati wa ukombozi ni sasa.Tatizo la...
Ili tuendelee tunahitaji Ardi, Watu, Uongozi bora na Siasa safi.Tanzania tunakosa kipi kati ya hivyo?Tujadili jamani,Je nini kifanyike?Miaka 50 ya uhuru,matatizo ndio yanazidi tufanyeje?
WajaJF:
Nadhani sasa wengi wetu tumeshaelewa sababu za kuweweseka kwa viongozi wa CCM hadi kutaka kufanya mambo ya ajabu.
Tatizo ni kushindwa kwa viongozi wao kujibu hoja zionazotolewa na...
Vatican City - Pope Benedict XVI on Sunday expressed concern about the ongoing unrest in Libya and also referred to last week's assassination of Pakistan's only Christian minister Shahbaz Bhatti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.