Wakuu naomba mwenye naba ya spika wa bunge, mhe. Anna Makinda, na ya waziri Membe, tafadhali anisaidie, nina shidanao muhimu sana leo hii.sitazitumia kinyume cha sheria. asanteni
Ndugu wana JF,
Kutokana na maandano CHADEMA ya wiki iliyopita ktk mikoa ya kanda ya ziwa kuonekana kivutio kwa wananchi wengi,serikali/ccm na baadhi ya wananchi wameamua kuutafsiri baadhi ya hoja...
Nadhani ni muda muafaka kuacha kulalamika na kushambulia kwa vitisho, bali hoja ijibiwe kwa hoja. Naamini ccm,cuf na CHADEMA hawataleta vioja. Hatutaki siasa za visasi na kuviziana, bali...
Juzi ijumaa ni meshangazwa na wanaccm kwa ulitoke msiba wa mmoja wa wanachama ambaye hana cheo chochote ktk chama lakini cha ajabu alizikwa kwa kutumia BENDERA ya chama.
je chama kimechoka hivyo...
kwa kuwa viongozi wa nchi hii hawapenzi kuambiwa madhaifu,kwa mtizamo wangu wanataka kusifiwa .
Kwa jinsi hiyo kwenye maandamano yajayo viongozi wa chadema wasisitize yafuatayo;-
1. Wananchi...
Dr Slaa anasema chama chochote cha upinzani kazi yake sio kukipigia makofi serikali iliyoko madarakani bali ni kuikosoa pindi inapoenda mrama kwa hiyo tangu miaka 50 ya uhuru haijatokea chama...
Yaani nimechoka sana kuwaona JK na Pinda, unajua nikiwaona kwenye TV nabadiri channel. Kwenye magazeti nasoma kwa shida nikiwaona najisikia vibaya. nisaidieni nifanyaje? ebu kama Mungu atawasaidia...
Asema imeshindwa kudhibiti matumizi mabaya ya rasilimali
Asema Chadema kinapaswa kupongezwa kwa kusema ukweli
Amkosoa Tendwa kwa kauli zinazoonyesha anatumiwa na CCM
Operesheni Sangara kuingia...
Dar es Salaam. Hardly a week after local mining officials had disputed the US governments claim that Tanzania was a source of conflict minerals, a huge amount of smuggled gold is reported to...
We need to know if the Union was legit; If the Union was to benefit either part or was just a world political aspects? I mean then Capitalism and Communism fight!!!
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam.
What an embarrassment! Part of President Jakaya Kikwetes recent televised address to the nation about Kiwira Coal Power Limited (KCPL) was based on...
My Take:
sasa sijui serikali hii imekaaje. Picha inayopatikana ni kwamba hufanya sensa kila miaka kumi kuwaridhisha wafadhili wanaotoa misaada. Mwaka jana Kapuya aliliambia Bunge serikali ilikuwa...
Source: The East African: - Comment |Relax, JK, you aren
Just as there are many ways to skin a cat, there are many ways to make a speech.
One was shown some two weeks ago when Muammar...
simaanishi kuwapuuza wanawake,lakini asili ndivyo ilivyo.
CDM wameuwasha moto kwa hoja safi za kisiasa na zenye mashiko kijamii na kiuchumi,anaamka mtu toka kunakojulikana anatoa...
Nimesikitishwa na taarifa niliyoisikia kwenye taarifa ya magazeti ya leo kuwa waziri Mkuu Pinda amesitisha zoezi lililokuwa linaendelea nchi nzima la kuwaondoa wavamizi wa barabara zetu. Kwa...
Kuna umuhimu wa ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ? maana kila report inaonyesha wizi kwenye kila sector lakini sijawahi sikia watu wakishugulikiwa.....labda zita...
Nimekuwa najaribu observe baadhi ya matukio yanayo kihusu CHADEMA kama chama; ukianza na tukio la Mh. Zito kuwa kinyume na wabunge wenzake baada ya hotuba ya JK kufungua Bunge, kisha baadhi ya...
Kuna uwezekano mkubwa vuguguvu la MAPINDUZI linaloendelea katika nchi za kiarabu kuibukia nchini tanzania.
Sijui kama kwa tanzania litafanikiwa au la.
Wachuguzi wa mambo ya siasa wanafikiri kuwa...
Baada ya CHADEMA kumaliza ziara ya harakati za kuwaamsha wananchi kutoka kwenye lindi kali la usingizi juu ya masuala mbalimbali ikiwamo DOWANS,MABOMU YA GONGO LA MBOTO,UGUMU WA MAISHA na MFUMUKO...
Hilo ndio lilikuwa wazo langu la kwanza kisha nikarudi na jibu la kupanga safu kamili ya makada wanaotegemewa kuliokoa jahazi hilo,ndipo nilipoanza kuwataja rasmi na mikoba yao watakabidhiwa baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.