Kwa vile dalilizote zinaonesha kuwa serikali ina lengo la kuwakamata Chadema kwa uhaini, ni vizuri wafanye mkutano mkubwa Dar es Salaam, wahamasishe peoples power ili pindi tu akikamatwa kiongozi...
baba daktari mrema akisema hutekeleza
Wabunge kuwaweka 'kiti moto' watendaji halmashauri
Daniel Mjema, Same
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) leo inaanza ziara ya kikazi...
Hali ya Usalama Nchini
Ndugu Zangu;
Hayo si matatizo ya kumalizika ndani ya siku tisa. Mzee Nyerere aliongoza kwa miaka 23 na hakuyamaliza matatizo ya maendeleo ya nchi hii. Na wale wa umri...
I am a lady from the Netherlands and a fourth-year student of The Hague University. I work as an intern for the Netherlands Institute for Multiparty Democracy (NIMD).
My assignment is to do...
YARABI toba! Eti bado yupo
anayeamini kabisa kwamba
maisha bora kwa kila Mtanzania
yatakuja kama mlivyoahidiwa
kabla ya kura zenu?
Nasema kama yupo poleni sana.
Wote si mmemsikia Mkuu wa...
Baada ya mikutano na maandamano ya CHADEMA, kuwafikishia ujumbe mbalimbali kuhusiana na matatizo yanayowakabili walalahoi yanayosababishwa na utawala wa mbovu CCM.Tumeshuhudia chama tawala na...
WAFANYABIASHARA katika soko la Mabibo, Big Brother, jijini Dar es Salaam, waliovunjiwa mabanda ya biashara ili kupisha upanuzi wa barabara ya magari yaendayo kasi, wametoa wiki mbili kwa Serikali...
I have been thinking of some leadership problems in Africa. There are couple of problems we have but one of them is lack of understanding that being a leader in that sense means you are a musician...
Serikali ya China imeamua kushugulikia ufisadi na kudhibiti mfumuko wa bei kama njia ya kuhakikisha amani. Serikali ya Kikwetwe ikifuata njia hii haitasumbuliwa na maandamano ya CHADEMA
BBC...
Nafikiri kuna watu wenye chuki tu na Lowasa, nimelazimika kusema hivi kwani nimeona kuna watu wanamwangalia Lowasa kama malaika ambaye hakupaswa kukosea. Nafikiri huu ni wivu tu maana tumeshuhudia...
Kuna mwanajf aliwahi kuuliza kati ya Lowassa na Pinda yupi bora? Na mwingine aliuliza kati ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa na JK nani ni bora. Mimi leo naona tujadili kati ya DJ Mbowe na Dr Slaa nani...
Kutokana na Maandamano yanayoendelea sasa inaonekana dhahiri ya kwamba Chadema wanamvuto.Ni chama kinachopendwa na wanachi.Nov 2010 uchaguzi ulifanyika.Kuna malalamiko mengi kuwa CCM wamechakakua...
Wakuu, Salaam!
Jana nilikuwa kwenye maandamano katika Wilaya ya Chato nyumbani kwa Maghufuli ambako kulikuwa na umati mkubwa wa watu. Maandamano yalikuwa ni ya Kilometa nane yaliyoshirikisha...
Kutokana na watz wengi kutoipia CCM kura kwenye uchaguzi wa 2010, wamebuni mbinu ya kuwakomoa watz kwa kutolipa mishahara ya watumishi wa umma, umeme na bidhaa muhimu kupanda bei mara dufu...
Kama watanzania tumeweza kuvumilia taabu zote zinazoletwa na serikali ya ccm kama umeme wa mgao miaka yote,mfumuko wa bei, umaskini uliokithiri, dowans nk,bila kuchukua hatua za msingi kwa kigezo...
Pinda aingilia kati katika mchakato mzima wa Bomoabomoa uliokua unaendelea akisema usimamishwe ili tathimini ya nchi nzima ifanyike kwanza. Pinda alisema hayo jana akiwa Chato Mkoani Kagera...
Mnaojiita wanachama wa ccm sisi kama wananchi tumechoka kugombana na hawa wakina Kikwete, Mkapa, Rostam, Lowasa, Pinda na Mafisadi wenu mjitahidi kuwadhibiti au kuwafukuza. Kama mmeshindwa fungeni...
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbroad Slaa amejibu mapigo ya Chama cha Mapinduzi(CCM) na kusema kuwa Chama chake hakitasitisha maandamano yanayoendelea katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.