Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Tangu arejeshwe kwenye wizara yake ya zamani mh. Pombe Magufuliamekuwa akitamba ya kuwa atakuwa akisimamia matakwa ya sheria bila ya kumuonea haya mtu yeyote. Mwishoni mwa wiki iliyopita waziri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sijajua Chadema wanadhaminiwa na nani katika kufanikisha maandamano ya wananchi yanayoendela. Naamini Chadema kinahitaji nguvu ya kutosha kufanikisha hili kwa maendeleo yetu na nchi yetu.nadhani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakati wa hotuba yake mwishoni mwa mwezi wa pili Rais alieleza mtizamo wake juu ya kupanda vitu bei. Nasema ulikuwa ni mtizamo wake kwa sababu aliyosema hadi sasa hayajatekelezwa. Hebu tuangalie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nionavyo mm hv sasa Tanesco wanakata umeme makusud takrban 24hours ili wananchi walalamike sana wapate kisingizio cha kusaign mkataba na hao MATAPELI wa DOWANS. Unawezaje kusaign mkataba na tapel...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kauli ya pinda ya kumzuia magufuli n ya kisiasa na haina msingi wowote, wanataka wapunguze kama c kuondoa munkari unaoweza tokea pale majengo yatakapovunjwa na kuijengea ccm taswira nzuri kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
7th March 2011 Asema imeshindwa kudhibiti matumizi mabaya ya rasilimali Asema Chadema kinapaswa kupongezwa kwa kusema ukweli Amkosoa Tendwa kwa kauli zinazoonyesha anatumiwa na CCM Operesheni...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Katika ziara za waziri mkuu Pinda, mikutano yake katika mkoa wa kagera hakika imefunika mikusanyiko ya CDM. Nimebaki nikiduwaa, huyu ni Pinda, je akija JK itakuwaje?
0 Reactions
80 Replies
9K Views
You are what you are and you are who you are and you cannot change that!! So believe in yourself and you will soar like an eagle!! Fight CCM and its corrupt regime until death. CCM MUST be...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Kulala na kusoma jalida bora lipi hapa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, naomba nivunje ukimya kwa kusema kuwa, Tanzania ni nchi inayokaliwa na watu wenye macho (hivyo wanaona), wenye masikio (wanasikia) lakini pia wenye uelewa (wanaelewa jema na baya)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tangu alipoteuliwa kuwa WM kila mtu alimwona ni mtendaji. Tulimshangilia na wengine wakampa majina lukuki tena mazuri tu, mara Mtoto wa Mkulima, mcha mungu, Msafi nk. Nimekuwa nikimfatilia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
katika kipindi cha television ya INITIATIVE AFRICA leo asubuhi kupitia KBC ya Kenya...............alionekana JK akiwa AU na alihojiwa na waandishi wa habari kama anaona machafuko ya kudai...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakati nikiwa mdogo nilishawahi kuambiwa kuwa, "mchawi wako ni wewe mwenyewe" kamwe sijawahi kuelewa maneno yale, lakini kadiri mambo yalivyokuwa yakibadilika kuna siku nililazimika kuamini usemi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu jana katika pitapita zangu mto wa mbu niliona watu wengi kuuliza nikaambiwa mchungaji aliyepigwa na kikundi cha waislam na kulazwa hospitali hatimaye alikufa na Jana kulikuwa na mazishi yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By Mwinyi Sadallah, IPPMEDIA Zanzibar Director of Public Prosecutions (DPP) Othman Masoud Othman has said the present form of the Union Government whereby President of Zanzibar is no longer...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimeiokoteza mahali... This' a contract that was signed between TANESCO and RICHMOND LLC ambao sasa wameshaamua kuurusha mpira kwenda DOWANS lakini 'kisanii'. Chukua nakala uweze kunielewa...
0 Reactions
122 Replies
20K Views
Mh. Nyimbo kama Mtanzania ana maoni haya kuhusu hotuba ya Rais kikwete- Soma mwenyewe WATANZANIA TUNAMATATIZO JIBU ATOE NANI? NALIKO WAPI? HOTUBA YA MH: RAIS-FEBRUARY 2011. Mimi...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni miezi miwili imepita watanzania lazima mtaanza kumkumbuka DR.Slaa mtu makini na aliyekuwa na nia ya dhali ya kuibalisha tanzania ki uongozi na kuwakomboa ninyi kwenye wimbi la umaskini na...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa CUF ni chama kikongwe cha siasa kilichopitia misukosuko mingi sana ikiwa pamoja na viongozi wake waandamizi kuwekwa ndani kwa takriban zaidi ya miaka miwili kwa...
0 Reactions
126 Replies
9K Views
Back
Top Bottom