Pamoja na kuwepo watu kiduchu waliohudhuria mkutano wa waziri mkuu uliofanyika wiki iliyopita kwenye viwanja vya uhuru platform mjini Bukoba, maarufu kama mayunga, Bwana pinda alishindwa kutoa...
Urithi wa Kikwete na haiba iso sababu
Binadamu kwa kawaida hupenda kukumbukwa, hususan kukumbukwa kwa mazuri, au yale wanayotaka yaonekane kuwa mazuri. Nimekuwa nikifikiri kuhusu uongozi wetu...
Jamani ndugu zangu watanzania, naomba sisi wenyewe tuamue, tutoa maamu ya msingi ya namna ya kumfanya huyu raisi kikwete aliyetufikisha hapa tulipo, nyie kama watanzania mnaoona athali za mambo...
Tanzania ni nchi moja duniani imebahatika kua na kilakitu ambacho tunapaswa kujivunia na hapa juzi tu tumepata mkombozi wa kutukomboa na hali za afya za wananchi wa taifa hili ambaye ni BABU yuko...
Pinda ameingia kwenye record ya dunia kwa kulia hadharani bila sababu za msingi akiwa waziri mkuu.
Anaendelea kulalamika hadharani kwa mambo ambayo anatakiwa kuyatolea maamuzi... anataka...
Leo nimeshangaa sana Waziri Mh. Membe kusema kuwa kwa kuwa Egypt imesaidia Tanzania, sisi hatupaswi kusema chochote juu ya utawala usiokubalika kidikteta ulioondolewa na wananchi wa Misri.
Mh...
Naomba mtu yeyote mwenye soft copy wa Water Resources Management Act, 2009 na regulation zake anisaidie. Zikipatikana mapema nitashukuru sana wapendwa.
Nataguliza shukrani na mbarikiwe wote.
Leo nimefuatilia Bunge japo Kidogo kile Kipindi cha Jioni, Nimesikia Michango ya Wabunge wawili John Shibuda ( CHADEMA) John Cheyo ( UDP). Kile Nilichokiona leo katika Nyuso za Wabunge hawa...
Fensi ya bunge mjini Dodoma iko barabarani tena karibu zaidi, kwa nini isivunjwe? Au sheria hapa zina semaje. Namshauri Magufuli aivunje ili hata wananchi wa Dodoma waone kuna ulazima wa kubomoa...
Uchaguzi umeisha lakini kuna kesi mbalimbali zimefunguliwa kupinga matokeo ya baadhi ya majimbo. Moja ya majimbo ambayo CCM ilitumia nguvu za wazi na kunyanganya ushindi (si Kuchakachua) ni jimbo...
katika kile kinachoweza kujulikana kama ni kuzidiwa na madaraka, mbunge wa jimbo la tabora mjini Alhaj Aden Ismail Rage leo ameumbuka katika kikao maalumu cha chama cha mpira wa miguu mkoa wa...
Nakumbuka wakati wa kampeni moja ya matusi ya CCM kwa vyama vya upinzani walisema ni vyama vya msimu wa uchaguzi tu, baada ya hapo vinalala
Sasa Chadema wameamua kuwa chama cha muda wote CCM...
VIONGOZI ACHENI KUMSINGIZIA MUNGU
Mwandishi: Happiness Katabazi Tarehe: 6:54 PM | Kiungo Mahususi
Na Happiness Katabazi
LEO Machi 8 ni Siku ya Wanawake Duniani. Hivyo wanawake...
Chadema kimepanga kuanza kuanza ziara ya Operesheni Sangara katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Bunge la April.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya...
John Shibuda, ameibuka na kutetea maandamano yanayofanywa na chama chake, huku akionya CCM kuacha kufanya kile alichokiita mchezo wa kugeuza polisi kuwa ‘ICU ya kutibu maradhi yake ya siasa...
Nilisoma jana thread ya kilichomtoa Kikwete Monduli,Mwandishi wa thread hiyo alionesha hisia zake kwa kile alichokiita kuwa aliondoka kwa aibu kubwa kutokana na kumchongea bosi wake.
Mimi...
He was a politician of principal,devotion and dedication.He left while we still demanded him to build our nation.
May God rest his soul in eternal peace.
Wandugu,
Nimepokea email kutoka kwa rafiki yangu mmoja inayohusu sababu za Bara la Afrika kuwa nyuma kimaendeleo. Kimsingi, zipo sababu nyingi zinazotufanya waafrika tuwe nyuma kimaendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.