Nimekuwa nikijiuliza kwamba, kufuatia Dr. Slaa kutopiga kampeni zake za Urais visiwani Zanzibar wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu octoba mwaka jana; Je ni nini mtazamo wa Chadema kuhusu Muungano...
Fr. Baptiste Mapunda - 2011-03-09 03:19 -- Mwananchi -> comments.
Serikali ya CCM ijiulize kwa nini Chadema waandamane na kuwashawishi wananchi? Hili swali ni kubwa sana, si kwa suala la...
Hii Kauli ya Kakobe kuwa ili tatizo la Umeme liishe TZ ni lazima Waziri wa nishati aende kanisani kwa Kakobe kutubu na hakutakuwa na shida ya Umeme tena imekaaje?
Aidha Kakobe huyu kamshambulia...
Natoa ushauri muhimu kwa chama cha chadema kujenga hoja nzuri kwa watanzania kutatua tatizo la mgao wa umeme kwa vile wameonyesha kutokuwa na ubinafsi. Tunataka vitendo si maneno tu na huu ni...
Sitta: Dola isitumike dhidi ya Chadema Send to a friend
Tuesday, 08 March 2011 21:58 0diggsdigg
Sheilla Sezzy, Mwanza
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta ameishauri Serikali...
Nimesikitishwa na na maneno aliyoyasema Pinda tena jana kwenye ziara yake huko chato. Nashawishika kuamini kwamba maneno yale alitumwa na Kikwete pamoja na swahiba wake Lowasa. Na nadhani...
Quote kutoka mwananchi:
"Mimi binafsi nashangaa kiongozi ambaye ni mbunge ni mfanyabiashara mkubwa mwenye biashara kubwa sana anapata wapi muda wa kufanyabiashara hiyo kama siyo kutumia...
Akiwa amewaahidi kukutana nao, alichoweza ni kufika hotelini walipo waandishi wa habari, kulikuwa na waandishi wa habari kama mia hivi, kuona hivyo akawaacha solemba bila kuongea nao hata neno...
AL magrahi alilipua ndege, ikauwa watu. PAN Am Flight 103. December 21, 1988. wengi wao mayahudi. muuwaji alikuwa mlibya. waskoch wakamuachia kwa kisingizio cha compassionate grounds. ati alikuwa...
nataka wazalendo tuijenge nchi yetu tunaotakia mema, watanzania wengi wamekuwa wakitaka mpaka tanzania ife ndo wajenge. Naomba wazalendo tujenge nchi kwa kutoa ushauri unaojenga nchi kwa huduma...
WAKATI leo ni kilele cha siku ya wanawake duniani, baadhi ya wanawake wameonekana kuwa ni mfano wa kuigwa.
Wanawake waliobainishwa kwa mfano ni pamoja Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary...
Mimi namuomba MUNGU Nisife ili niione kwa macho yangu ccm ikifa kifo cha mende.
Siku hiyo itakuwa SIKUKUU kwangu.
Naipangia bajeti kwamba siku hiyo nipate Kidari cha kitimoto rosti kachumbali...
Habari za leo wachambuzi wenzangu, mi napenda kuwauliza swali moja jepesi, hivi wewe unadhani upinzani wa kweli kwa taifa letu kongwe kiumri na changa kimaendeleo ulikuwepo enzi za mwalimu/...
Rais (simtambui) wa Tz: Luteni Kanali Jakaya Mrisho Kikwete
Katibu wa CCM(Uenezi): Kapteni John Chiligati
Katibu wa CCM: Luteni Yusuph Makamba
Wakuu wa Mikoa na Wilaya (Wengi wao): Maluteni...
Wasiwasi na tetesi zilizagaa Visiwani Zanzibar wiki iliopita kuhusu hali ya kiafya ya makamo wa kwanza wa rais wa visiwani humo, Maalim Seif Shariff Hamad, baada ya kujulikana alilazwa hospitalini...
Rais anataka kutimiza utabiri wa kishirikina wa mlinzi wake wa majini, Sheikh Yahya? Anatafuta kukutana na Chadema. Bila kupambana na ufisadi kwanza huko si kutapatapa? Hiyo ni danganya toto kwa...
A doctor from Israel says, "in Israel the medicine is so advanced that we cut off a man's kidney, we put it in another man and in 6 weeks he is looking for work". The German doctor comments...
Nilidhani nchi ingekuwa na viongozi wawajibikaji kwani Mgao wa Umeme sasa imekuwa ni Janga kubwa la Kitaifa,lakini viongozi wetu ndio kwanza wanapoteza muda mwingi nje ya nchi,mfano Kikwete na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.