Madam Clare Short, Plenary Chairman;
Mr Peter Eigen, Chairman of EITI;
Excellencies Heads of State and Government present here today;
Distinguished Participants;
Ladies and Gentlemen;
Good...
Mwenye hii kampuni ni nani exactly?
Something is not right about these guys
why?
Tell what's wrong with this picture:
http://www.planepictures.net/netshow.php?id=826481
Mataifa mengi duniani yameendelea kutokana na siasa za kiushindani. Panapokosekana ushindani basi mengi hudumaa na aliyekabidhiwa majukumu huwa hana msukumo wa kujituma kwa vile hakuna khofu ya...
na Ahmed Makongo, Kahama
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, ameonekana kutikiswa na maandamano yaliyofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Shinyanga hivi...
..Waziri Maige amekaririwa akitoa matamshi ya vitisho kwamba yuko tayari kwa lolote akitetea wachimbaji wadogo wadogo dhidi ya mwekezaji.
..Mbunge wa Nzega, Mh.Kigwangalah naye ameandaa...
Nimemsikiliza Waziri Membe akihojiwa ITV na katika mahojiano hayo nimesikia maneno niliyoyasikia kwa waziri wa Mambo ya Nje wa Misri baada ya mapinduzi ya Tunisia. Akijibu hoja ya Katibu Mkuu wa...
Ni ukweli usiopingika kuwa ccm pamoja na kuwa chama tawala walikosea sana kumweka makamba kuwa mtendaji mkuu wa chama.
Yani ukimlinganisha na Dk Slaa ni kama sisimizi na tembo.
Tumeona na kusikia kuwa kumekuwa na maandamano makubwa na yenye kutia simanzi kila mara unapoongalia zile picha kwa jinsi mwananchi anavyoonekana akiwa amechoka na kukata tamaa.Baada ya hapo...
Ninaangalia taarifa ya habari kupitia Channel Ten na naona CCM Dar wakitoa tamko la kulalamikia kupanda kwa bei ya vyakula. Hawa ni wenye serikali ambao wangeweza kuelezena ndani kwa ndani...
Hii hapa chini ni ya 2009
Nakumbushia kwamba leo hii bado tupo gizani. Yale ya Babu wa Loliondo yametawala as if tumeacha mambo ya msingi tukashabikia ya kijinga kwelikweli. Anyway, hebu someni...
Viongozi wengi wa bara la Afrika ni wahuni na waroho wa madaraka ambao wanatumia kila aina ya udhalimu ili wabaki madarakani kwa gharama ya umasikini wa wananchi.Hamna shaka kuwa watu wengi barani...
Siku za hivi karibuni baada ya maandamano ya CDM chama tawala kupitia viongozi wake mbalimbali akiwemo rais wa nchi wametoa kauli ambazo zinaonesha wazi kuwa ni chama cha ubabaishaji kinachotumia...
Kuna kitu kimoja naona kinakosekana katika huu mjadala wa DOWANS. Kamati ya Mwakyembe ilishasema kuwa mkataba na DOWANS ni feki. Sasa hii kamati ya nishati inavyokutana kujadili jinsi ya...
Napenda kuuliza mbona hawa wazee(Makame and Kiravo) wako kimya sana sasa hivi? Au wanaona aibu kwa kuipa CCM ushindi wa kitandani?
Hata kutupa post-election feedback and plans forward?
Last...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.