Binafsi nimekuwa najiuli, hivi kwa nini serikali, na wachambuzi wengi walikuwa kinyume na hatua ya wabunge wa cdm kususia hotuba ya rais pale bungeni. Tena, hata hatua yao ya kutoka wakati wa...
kama ulikua ujapata ona kilichotokea arusha katika
video
inasikitisha kwa kweli polisi anaweza kushambulia
hata gari lililopakiwa bila sababu jionee mwenyewe
www.lifeofmshaba.com...
NCCR MAGEUZI kuanzia kesho wataanza ziara Kigoma ya kueneza elimu ya raia kwa wananchi.
Source TBC1 1600 NEWS
Je ni kweli kueneza elimu ya raia au wametumwa na CCM kuharibu kazi ya CDM?
Nipo Njiani kuandika kitabu cha jinsi gani unaweza kuwa na theory au mitzamamo na jinsi gani hiyo mitazamamo inavyoweza kwenda au kuzuia maendeleao katika Nchi na pengine kwa watu wengine bila ya...
Ni ukweli usipingika kuwa asilimia 100 ya uendeshaji vyuo vikuu vya Serikali inatokana na fedha toka Serikalini kuu. Kwa hali ilivyo sasa na huko tuendako hii ni hali ya hatari na inayofaa...
Ndio mnaweza kuifuta chadema katika madaftari yenu ya usajili,....lakini hamtakuwa mmemaliza matatizo ila mtakuwa mmeleta matatizo makubwa kwa Tanzania!
Yawezekana kabisa vijana wengi wasio na...
KAULI za Rais Jakaya Kikwete, Waziri wake, Steven Wassira na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, John Chiligati, Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, wapambe wake Augustine...
Wakuu,
Leo nimefanikiwa kutazama kwa kifupi DVD ya matukio ya kisiasa na Mauaji ya Arusha, ikiwa imeandaliwa katika mfumo wa Documentary..
Sijafanikiwa kuwajua walioandaa, lakini ni kwamba...
Firs,let me remind dr slaa that CDMs constitution supports free market.Free market is controlled mainly by forces of demand and supply.
Having said that,I find it weird when you criticize the...
Kwa jinsi Bunge letu linavyoendeshwa kibabe i see a scenario of this sort is to happen in the near future! Tumeshuhudia Arusha na kinachofuata ni Dodoma in that high law making chamber that is so...
Wana JF...
Tembelea hii wizara ya miundombinu (Government of Tanzania - Ministry of Infrastructure Development) ujionee uozo wa wataalamu wa IT waliopo wizara hiyo.Taarifa ni zile za zamani enzi...
Wazanzibari watakiwa kutodharau mchakato
Na Juma Khamis
WAKATI asasi za kiraia zilizopo Zanzibar nazo zikiungana na za Tanzania Bara katika mijadala ya katiba mpya, Mhadhiri mstaafu wa Chuo...
People's power movement and our political Barometer
It's obvious the current patriotic maneuvers that have taken CHADEMA to the Lake zone regions have cold feet CCM and found them in an impasse...
Chadema imekuwa ikitumia sana msemo wa nguvu ya umma. Kwa tanzania bado haijatokea umma ukatoa malalamiko kwa serikali kwa njia ya maandamano. Kilichotokea Misri ni nguvu ya umma bila ushawishi wa...
Wapendwa wanaJF tunakumbuka mojawapo ya jambo alilozungumzia mheshimiwa JKikwete katika hotuba yake ya mwisho wa Februari 2011 ni kuwa maandamano ya Chadema yanaleta uvunjivu wa amani Tanzania...
Mgombea wa CCM JM Kikwete jana alitoa ahadi ya kutoa bajaj 400 kwa wajawazito huko Chunya ili ziwasaidie kuwawahisha hospitalini mara tu atakapoingia madarakani. Source: Radio Maria
Sungura
We strongly need to question after revisiting the powers by registrar of political parties to cancel registration of the same political parties. This is far as yesterday political sentiments...
Hawa jamaa wapo kimya kinoma baada ya kupata uwaziri wamefungwa midomo kabisa, afadhali wajiuzulu nyadhifa zao za uwaziriri ili waweze kuhoji vizuri malipo ya kampuni hewa ya kufua umeme ya DOWANS.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.