naomba kuuliza wana jamii hivi huyu rais wetu kweli ana mamlaka kamili ya urais? Kama jibu ni ndio kwa nini anashindwa kuwa na maamuzi? Au watu aliowateua kushika nyadhifa mbalimbali...
VIONGOZI na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameomba wanancvhi kutowanyanyapaa na kuwabagua watu wenye ulemavu nchini na badala yake wajenge utamaduni wa kuwasaidia kila...
unajua nimekaa nkajiuliza kama wiki nzima hivi, hivi maandamano ya chadema yangekuwa hayana mwemko wa wananchi kuna mtu angesema wamevunja sheria ya vyama au kutukana?
Wadau hii nimeiona ktk mojawapo ya mikutano ya cdm,polisi wakikunja ngumi kuitikia salam ya nguvu ya umma,nimekubali pipooos pr ni noma na ndo sababu labda ya serkali nzima kuchanganyikiwa wameona...
Kuhusu usalama ... .... Serikali iliyoko madarakani iliyochaguliwa kidemokrasia kwa mabavu ni matumizi mabaya ya fursa ..... ........
JK mwenyewe keshakubali kwamba walitumia mabavu sasa...
Tunaomba Mwongozo!
Endapo Itajulikana kuwa Rais kawadanganya Watanzania je wananchi wafanyaje?
Tulimsikia Mhe. Wassira ( Waziri mwenye Dhamana) Naamini alikuwa akizungumza kwa niaba ya raisi...
Stadium mpya dar umejengwa bila mikakati ya kutumia, sitashangaa baadaye kugeuzwa ghala au kijiji cha wanamichezo au shopping centre kama uwanja huu wa Japan
This stadium is situated in...
Baada ya cdm kutembelea kgr, pm naye alikwenda huko, kukawa na wasiwasi kama angeweza kuvutia umati kama cdm, am curious kujua yaliyojiri huko mbona hakuna taarifa yoyote au taarifa ndio hiyo?
Mwanasiasa gani Tanzania anayeweza kuvutia umati mkubwa namna hii bila watu hao kuhongwa?-pilau, kanga, tshirt, kofia, scarf, usafiri wa bure, wasanii wa bongo flava kutumbuiza? Mimi nakumbuka...
Je Kama Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiamuakubadirika, akaacha safari zisizo na lazima nje ya nchi, akaanza kujishughulisha na matatizo yanayotukabiri kwa dhati kabisa na kujielekeza katika...
WATANZANIA 14 waliotekwa na maharamia wa Kisomalia katika meli ya MV Aly Zoufecar, Novemba Mosi mwaka jana, wameokolewa wakiwa hai nchini Madagascar.
Watanzania hao ni miongoni mwa watu 28...
na Hellen Ngoromera
MNAJIMU Mashuhuri wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein, amemtabiria Rais Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk. Willbrod Slaa...
Kwa mara nyingine tena mafisadi wameibuka na kuendelea kuisogeza mbele ajenda yao ya urais 2015 kwa kuja na ujumbe mfupi wa maandishi ambao kwa sasa unaenea kwa kasi jijini Dar es Salaam. Ujumbe...
Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri...
Nimeshtushwa na kauli za Mh. chiligati kuwa chadema wanahubiri fujo. Chadema wanadai haki za msingi za watanzania na kuomba utekelezaji na haki yake. Na si vinginevyo. Moja ya mambo hayo ni elimu...
Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka wazi ya kuwa chanzo cha mamlaka yote hapa nchini ni wananchi. Hivyo panapojitokeza jambo lolote lenye utata chombo chenye madaraka yamwisho katika kumaliza...
hapo jana trh 4/3/2011 chadema wamehitimisha awamu ya kwanza ya ziara yao ya ukombozi kanda ya ziwa.watanzania tumeshuhudia uungwaji mkono mkubwa kwa chadema kutoka kwa wananchi kiasi kwamba ccm...
Wakati wa Kampleni za uchaguzi mwaka jana, TBC1 walirusha kipindi cha mahojiano na DR. Slaa, moja ya swali la kizushi walilomuuliza ni kwamba, Kama akishindwa katika uchaguzi huo atakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.