KATIKA kile kinachoonekana kama mpango wa Serikali kukabiliana na nguvu za maandamano na mikutano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda leo anatarajiwa kuanza...
Hofu ya serikali kuwa Chadema wana agenda ya kuiondoa madarakani inapaswa kuangaliwa vizuri..Maswali yafuatayo ni muhimu:
· Ni kwa nini wananchi wameaua kuungana na CHADEMA kuandamana...
Nimepigiwa simu na rafiki yangu ambaye yupo Mbeya Wilaya ya Mbarali kuwa vikosi vya FFU vimepiga kambi kule baada ya wananchi kuzuia mwekezaji wa mashamba ya mpunga (NAFCO) kuondoa machine ya...
Huyu Rais jamani na hizi hotuba zake! Ni kama Tz hatuna wataalamu wa hotuba kiasi kwamba Rais hajapata mtu wa kumuandikia hotuba za ki-Rais.
Zile za kila mwisho wa mwezi ni kama summary ya...
Mama Nyerere alivitaka vyama vya siasa kushirikiana katika kulijenga taifa la Tanzania, ambalo bado linahitaji umoja.
Mama Maria alisema kuwa vyama vyote vya siasa vina lengo la kujenga nchi...
Ndugu wana JF, kwa maoni yangu na kwa kuangalia upepo wa kisiasa unavyoenda hapa tanzania, ni kama chama shindani dhidi ya chama kinachoongoza serikali (CCM) kimebaki kimoja tu, yaani, Chadema.
1...
On 28 Feb 2011, we heard HE Hon. Dr. Ustadh President Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete claiming that he cannot solve all our national problems since thare have been a lot of them since independence...
Mimi ni mwanachama wa C.C.M, na kiongozi ndani ya Chama katika ngazi ya Wilaya lakini kwa mara ya kwanza nalazimika kusema ukweli, Malalamiko ya viongozi wetu ngazi ya Taifa kuhusiana na...
Kwa kuwa CDM wanatumia haki yao ya kikatiba kuzunguka nchi nzima kutangaza sera zao na msingi wao juu ya hali mbaya ya umeme, ugumu wa maisha na kadhalika haina budi kwa CCCM na wao kuzunguka nchi...
Jana nilimsikia mchungaji mmoja katika radio moja ya kidini akisema kuwa matatizo ya Tanzania hususan Ufisadi hautakwisha hadi pale kama taifa tutakapotubu na kurejesha mali za watu alizotaifisha...
Leo kuna lori moja liliharibika opposite na kituo cha daladala Mbezi mwisho kutokea usiku. Lori hilo limesababsiha foleni kubwa sana, kutokea Kibamba foleni iifika Makondekona kutokea mjini foleni...
Nimeona kitangazo kidogo sana kwenye gazeti la leo la daily nyuzi.
Jina la kampuni ni ANBEM Limited company, na shareholders wake ni Benjamini william Mkapa na mama Anna Mkapa.
Katika searching...
Maggid Mjengwa na Neno La Leo: Afrika Kuku Hachimbiwi Kaburi!
Ndugu Zangu, AFRIKA viongozi ni wengi wanaopatwa na vigugumizi wanapoombwa watoe maoni yao kwa kile anachofanya mwenzao Ghadaffi...
Polisi wanazunguka na difenda mjini hapa na wakikuta vijana wawili au zaidi wanaongelea siasa wanawakamata na kuwapakia kwenye difenda! Je amani ipo tena tz?
Sidhani kama huu ni wakati wa Rais Kikwete kutaharuki na kuanza kuongelea maswala ya machafuko kama alivyokuwa akisisitiza kwenye hotuba yake. Nadhani suluhisho hapa ni kwa viongozi wote wakuu wa...
Slaa atiwa mbaroni, aachiwa, apokewa kama rais Bukoba
na Sitta Tuma na Janet Josiah, Bukoba
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea kuitikisa nchi kwa maandamano na mikutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.