Kuna taarifa za uhakika kwa 100% kuwa serikali imeshindwa kukidhi kulipa madai ya malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.Malimbikizo hayo yametokana na...
Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge lililopita na kukutana na kauli sa spika akitaka mawaziri wajibu maswali kwa kifupi sana na hata kuzuia maswali ya nyongeza kwa kisingizio cha muda hautoshi...
Ukisoma gazeti la Tazama utacheka. Gazeti zima linaitetea Dowas na Lowassa. Mtanzania na mengine ya Rostam yanaitetea Dowans na Lowassa pia. Hii inaondoa mashaka kuwa Lowassa na Rostam ndio wenye...
Jk wakati Nec imekutangaza rais,ulitwambia kuwa chadema na wapinzani ni vyama vya msimu. Uliwaagiza baada ya kampeni na baada ya kura wawe na utamaduni wa kutembelea taifa zima,ulienda mbali...
Kitendo cha Kikwete kuishambulia Chadema kinaonesha ni kwa jinsi gani rais alivyozidiwa kisera/ujanja na Chadema, hivyo kubakia kujihami (defensive mechanism) kwa kile ambacho kinaweza kumtokea...
Chademas Defence
By Frederick Katulanda, The Citizen Reporter, Dar es Slaam, Tanzania, Tuesday, 01 March 2011
Kahama - The Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) came out fighting...
Kijana wangu kikwete unanipiga mabomu?
Nina kadi ya TANU ,tulidai uhuru kwa mkoloni hatukupigwa mabomu!
Moto huu wa Chadema huuwezi!!
This Sad Words must pay the price
Ametabiri Leo kwamba kutakuwa na machafuko makubwa tz, siri za serikali zitavuja, uchumi utasambaratika, utawala utasambaratika!
Source: clouds FM saa 12 jioni leo
TOKEA MBUNGE WETU MHE JOHN MNYIKA AANZE KUTUTETEA WANANCHI WAKE WANAONYANYASWA NA MAMALAKA ZA BARABARA, WATUMIAJI WENGI WA BARABARA HIYO YA KLA SIKU WAMEKUWA NA MAONI TOFAUTI KUHUSU UAMUZI WAKE...
Waziri Mkuu Jana alitangaza kuwa Mitambo ya Dowans itawashwa. Baraza la Mawaziri limetoa baraka zote kwa Tanesco kuingia mikataba mingine ya gharama kubwa ya kuzalisha umeme.
Sitta na Mwakyembe...
Habari zenu Watanzania wenzangu, (munaopenda maendeleo ya nchi na musiopenda pia)
Leo ninacho cha kushare na nyinyi kuhusu mwenendo mzima wa nchi yetu ya Amani na upendo, nimeamua kushare hivi...
Mchezo wa chemsha bongo: Nani anafuatia?
Kutokana na mkondo wa historia tunaweza kuona kwamba mabadiliko makubwa ya kijamii na kisiasa kwa kawaida huambukiza nchi moja baada ya nyingine (domino...
Chanzo Mwanahalisi
Nyerere, katika moja ya hotuba zake alisema, ikulu ni mahali patakatifu. Alitumia neno takatifu si kwa bahati mbaya. Kamusi inazungumzia neno hilo kama kitu kisichokuwa...
Katika kutalii kwangu, nimepata kuitembelea nchi moja iitwayo kusadikika. Katika hiyo nchi, wananchi wanamlaani rais wao. Wanamuombea laana ya milele rais huyu wa ajabu anayetawala nchi kama yuko...
Muda si mrefu Mwenyekiti wa CDM kamaliza kuhutubia wananchi wa Masumbwe akitokea kahama, na tayari kaondoka kuelekea Bukombe 80km ambako pia watu wanmsubiri kwa kwa hamu kubwa, Masumbe kafungua...
Mpaka sasa sijaona kosa la kikwete alilolifanya toka ashike hatamu ya uongozi wa Tanzania, kuna kasumba tu zimeanzishwa na wafuasi wa chama cha chadema na viongozi wao ili wapate kumchafua JK na...
Wana JF tujikumbushe kidogo.
IPC Acquisition of Dowans Power Plant in Tanzania
IPC today announces that its Cyprus based affiliate, IPC Independent Power Corporation (Cyprus) Limited has...
Ni punguani tu ndiye anayeweza kupoteza muda kulinganisha kiongozi aliyekuwa na maono na kiongozi aliyekiri waziwazi kuwa hafahamu kwa nini nchi yake ni maskini. Watakaokwazwa na thread hii...
Nimeshangazwa sana na Mh. Rais na waliomwandalia hotuba yake, ukiacha upupu mwingine mwingi, jinsi walivyoikweza sukari hata kuifanya kama topic inayojitegemea kwenye hotuba yake. Hivi sukari na...
DOW JONES NEWSWIRES, Tuesday, 1 March 2011
The Tanzanian president said late Monday that the country's opposition is organizing protests across the country in a bid to topple the government by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.