Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
...Uongozi ni uoni wenye muelekeo wa utendaji wenye saada na si kuona kibubusa! Kiongozi ni yule anayeona shida, taabu na dhiki za watu wake kisha akatumia falsafa ya tatizo-tatuzi-tatuo na kupata...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilisikiliza hotuba ya Kikwete jana katika TV katika utaratibu wake wa kuhutubia wananchi kila mwisho wa mwezi. Kwa maoni yangu kwa muda wote wa hotuba yangu sikuona jambo jipya alilozungumza na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Katika kupitia habari katika magazeti yenye hotuba ya Kikwete,amesema sasa hivi watu wengi wana hofu juu ya usalama wa nchi yao ambayo ni ngeni Tanzania,yakuwa CDM wana dhamira ya kuvunja amani Je...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mi nimeamua kutoa hii rai kwani utafaikiri tumesahau ahadi motomoto ambazo Mkwere alizitoa alipokuwa akiomba kurudi ikulu..aliahidi ¤Vivuko karibu kila mkoa ambao ulikuwa una uo uhitaji wa aina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za uhakika na kuaminika -tanesco imejilipa bilion 6 kama bonus, swali la msingi ni kwa mafanikio yapi? Tanesco inastahili kujilipa bonus ya bilion 6? Imeruhusu makamba jr na ngeleja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku za nyuma niliwahi kuweka makala hapa niliyokuwa najadili kuwa "Failures will always find an excuse for their misfortunes" na nikamhusisha Rais wetu katika kundi hili, niliongeza pia kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I feel bad in Tanzania kila kukicha kero kila idara. Huduma za serikali ni mbaya ile mbaya at least NGO, Mambo hayaendi kabisa migomo ili hali wao wamesoma bure. Serikali haina kabisa mbinu za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huyu Brigedia Kakimbia Oman Sababu ya Machafuko ya kutaka Usawa? Soma habari Chini.... Middle East Oman shuffles cabinet amid protests Sultan reshuffles cabinet and boosts student allowances as...
0 Reactions
14 Replies
9K Views
Tume imeundwa kumshawishi Gadafi aachie ngazi kwani amekaa madarakani muda mrefu! Enjoy.....
0 Reactions
11 Replies
2K Views
jana majira ya saa nne kuelekea saa tano,kituo cha habari cha chanel ten kilikuwa na kipindi ambacho kilinisikitisha sana.... Shekhe mmoja alikuwa akizungumzia kuhusu "nguvu ya umma" cha...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza siku nyingi watu tunaposema ukoloni tunamaanisha nini? Je ni watu wanaotawala au ni mfumo wa utawala? Kama ukoloni una maana ya watawala waliopo madarakani bila kujali mfumo...
0 Reactions
0 Replies
13K Views
Hali ya Usalama Nchini Ndugu Wananchi; Hivi karibuni wananchi wengi wameingiwa na hofu kubwa kuhusu usalama wa nchi yetu. Ni mara ya kwanza Watanzania wamekuwa hivyo. Hofu hiyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima zenu, Mimi nipo huku kwa mjaluo(Obama),ni mbeba maboksi mashuhuri.Swali langu kwa wanajamii ni hili,"kwa nini tulivunja mkataba na Dowans?je,walileta mashine?ziliwaka?mliwalipa hela...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi ni kiongozi wa familia gani? Sasa hivi yupo ziarani Ivory Coast na kuonana na madikteta wenzake? Ametatua mgogoro Ivory Coast? au Bado anatembelea historic sites Abidjan? Akirudi tumwone...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tarehe 15 Februari, 2011, Baraza la Mawaziri lilijadili na kuidhinisha mpango wa dharura wa TANESCO wa kukodi mitambo ya kuzalisha MW 260 za umeme. Baraza limeitaka Bodi na Menejimenti ya TANESCO...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Waziri Mkuu wa Uingereza wakati akifanya kampeni za uchaguzi wa Uingereza uliopita (mwaka jana) na hata siku ya matokeo ya awali ya ubunge yalipotoka, alisema (na alikuwa akisema kwa...
0 Reactions
0 Replies
875 Views
Nampongeza Mh. L.Nyalandu katika kueleza (kupitia television kipindi cha dakika 45 cha kijana Selemani) mambo mengi ya makusudi na mikakati ya kuelekea Mapinduzi ya Viwanda. Aidha nampa big up pia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi hawa ndio wanataka kutawala milele na wao kutaka kuonekana Miungu watu! Kama kuna wengine wewe changia!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
katika kuhakikisha ku kuna kila sababu ya kutaka mabadiliko tayari yule walie dai si raia wa TANZANIA HUSSEIN bashe amemtak katibu wake mkuu kuitisha kikako cha kamati kuu ili kujadili mwenendo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya kusoma majibu ya MH Lema. Ninamuomba Waziri mkuu ailinde heshima yake na heshima ya Bungre kwa kuomba msamaha juu ya kusema uongo. Katika mambo yote 10 sioni ni namna gani hata mtoto wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom