Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wadau kuna habari nimeipata jana kutoka kwenye mkutano wa CDM wilayani bunda kuwa aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la bunda kupitia CDM Ndg Elias Kajeli Maarugu amefukuzwa na wafuasi wenye hasira...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
katika Gazeti la Tanzania Daima tarehe 28 February 2011kuna taarifa kuwa viongozi wa serikali ngazi ya wilaya na mkoa wamesusia halfa iliyoandaliwa na Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CDM kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hali ya kisiasa katika halmashauri ya manispaa ya Arusha inazidi kuwa tete,baada ya madiwani wa chadema kuendelea na msimamo wao wa kutomtambua meya itakumbukwa tarehe 10 madiwani walisusia kikao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akitoa salamu za chama hicho kwa Familia ya Mwalimu Nyerere, wakati vongozi mbali mbali na wabunge wa chama hicho, walipomtembela Mama...
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Wakuu. Leo tulitembelea Kaburi la Hayati Baba wa taifa na kufanikiwa kukutana na Mama Maria pamoja na watoto wake wawili,Magige na Makongoro. Walitupokea vizuri sana.Pamoja na mambo yote...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Slaa, Mbowe wamkaanga JK • Wamshangaa kwenda nje wakati wa matatizo na Mwandishi wetu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa chama...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mabomu yamelipuka katika maeneo ya kizumbi lakini hayakusababisha maafa.Mabomu hayo yaleta hofu kwa wakazi wa mjini Shinyanga. Source:kidau.blogspot.com
0 Reactions
21 Replies
5K Views
  • Closed
Je haya ndo yatakuwa mazishi ya Chadema kisiasa? natabri huu ndo utakuwa mwisho wao:target::target:
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hivi vinaumiza vichwa kwamba hawa watoto wa mafisadi wanataka kututawala. Ni hatari sana kuona wanatumia "the same play book za Baba Zao Kuingia Kwenye Politics na Utajiri-Ufisadism"...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
Ijumaa nilisikitishwa na taarifa ya Radio One kuwa serikali imezionya halmashauri za wilaya ambazo hazitajumuisha ununuzi wa matrekta kwenye bajeti zake za 2011/2012 kuwa bajeti zake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikia clouds wanadai gazeti dira ya mtanzania toleo la leo limezuiliwa!, hawasemi kisa ni nini ila wanasisitiza nchi ina wenyewe hii! Kuna mwenye habari kamili atusaidie?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndugu zangu wa TZ tukiwa bado tunasubiri ndoto za mchana za JK kutimia hebu tukumbushane ndoto hizo na sehemu alikoziotea Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa -...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimetoka kwa mzee wangu kumsalimia maeneo ya Tandika na ni mwaccm damu. Nikamuuliza vipi mwendo wa nchi kwa sasa. Akasema Duh huyu kijana naona nchi ishamshinda tayari hali ni mbaya ya kimaisha...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nimekuwa nikiona post nyingi za watu kipindi hichi wakipost chini utakuta namuunga mkono freeman aikael mbowe agombee urais 2015 hivi kweli chadema yeye ndio chaguo sahihi? Tuangalie tusije kizika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WanaJF, Mnakumbuka ile kauli maarufu ya jk kwamba hafahamu kwa nini nchi yake ni maskini?!? Kwa mawazo yangu watanzania tungekuwa makini angalau kidogo, kauli hii ingem-disqualify kikwete...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mgomo ndio umeanza madai ni mengi sana lakini chanzo kikuu ilikuwa ni baada ya wanafunzi wengi kucheleweshewa na wengine kunyimwa kabisa ID mtihani uaonza leo kwa sababu tu hawajafikisha 70% ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wajameni tuwe wakweli, Hivi kuna rais gani wa Afrika ukiondoa wale wa kiaarabu ambaye hana raha na kiti chake kama kikwete?? Mimi nahisi kama hana raha manake duu alivyopauka usoni, inatia hata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Achezea kusi kwa tanga bovu Mseto waelekea kumsonga Na: Malik Nabwa Msanii maarufu, machachari, na mwenye vituko vya wali maji nchini Uingereza Sir. Elton John aliwahi kuimba wimbo siku ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom