Ni kwa sababu ya aibu ya anguko la uchumi lililopelekea nchi kuomba mkopo European Union na World Bank.
Chama kimepata 15% tu ya kura. chaliiiiiiiiiiiiiii.
Sisi huku hujisifu pale tunapopewa...
The National Social Security Fund (NSSF) it is ready to provide 60 per cent of the funds needed to build an ultramodern bridge across the Magogoni creek in Dar es Salaam.NSSF is now waiting for...
▷▷ Part 1
▷▷ Part 2
▷▷ Part 3
▷▷ Part 4
▷▷ Part 5
▷▷ Part 6
▷▷ Part 7
▷▷...
Tuna Wanasiasa Nchini mpaka leo hawajui kushindwa kutatua matatizo ya nchi wengi wanaumia na kufa. Wengine hawawezi kusema wala kuongea. Hata sisi wananchi hasa bara la Africa kuna vitu...
Huku kukosa umeme kisingizio Kuna hitirafu kwenye mitambo ndio iwe kila siku hapo kuna Mkono wa RA keshawamaliza mafundi wetu wa Tanesco Masikini kutwa kuchezea Mitambo Kuiwasha na kuizima...
inasemekana kua demokrasia ni mfumo ulio dhaif kuliko zote ktk kutawala.lakin unapendwa sana na wanadam kwakua unahalalisha mambo ya kila aina ilimradi usiharib uhuru wa mwenzako...je tutegemee...
Wadau,
Habari za uhakika nilizozipata hivi punde zinasema kwamba, kiwanda cha uchapaji cha Mwananchi leo kimegoma kuchapisha gazeti la DIRA YA MTANZANIA.
Ofisa mmoja anaiyetwa Semu Kabugumila...
KAMPALA, Uganda Uganda's recently re-elected president says he will "eat" his challenger who disputed poll results and called for peaceful protests.
President Yoweri Museveni said Friday of...
Dk Slaa amesema kulipuka kwa mabomu hayo kumetokana na Serikali ya CCM chini ya Rais Jakaya Kikwete kupuuza ombi la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuwapa fedha kwa ajili ya kuteketeza mabomu...
Watanzania kama kweli tunaipenda nchi yetu tuache siasa na tujali nchi. Serikali inatakiwa kufanya yafuatayo
1. Kama Dowans walitoa huduma kweli za umeme pale ubungu basi walipwe pesa ya huduma...
Ice Cream zitokanazo na maziwa ya Mama zauzwa
Mgahawa mmoja mjini London nchini Uingereza kwa jina, Convent Garden, umeanza kuuza 'ice cream' zilizotengenezwa kwa maziwa ya binadamu...
Vyombo vya habari vya bongo ni vibovu sana. Pale manzese bakharesa palifanyika mkutano wa CUF na mionghoni mwa waalikwa ni mwenyekiti wa NCCR bwana Mbatia. Jamaa alishuka nondo sana na kuibeza...
By Alen Mattich
Whos next?
Amid the wave of rebellion and revolution sweeping across North Africa, investors and autocrats are spending a lot more time these days looking over their...
Heshima kwenu wanaJf,
Nilikuwa nafatilia politiks za mfamaji Gaddaf,anavyotapatapa kung'olewa..Imefikia kipindi pamoja na Jeuri na Kibri yake anaegemea na kutarajia msaada wa mgawanyo wa...
Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati Makamba amefanikiwa kuwaziba mdomo wapinzani wa Dowans kwa kuitisha Public Hearing leo katika ukumbi wa Karimjee. Mkutano huo wamealikwa wananchi wanaothirika na...
Wanafunzi wa chuo Tumaini kampus ya Iringa wameibua ufisadi uliokuwa ukifanywa na Rais wa serikali ya wanafunzi ambaye ni kada wa ccm.
Tukio hilo limetokea leo mchana na kusababisha vurugu...
By Alen Mattich
Whos next?
Amid the wave of rebellion and revolution sweeping across North Africa, investors and autocrats are spending a lot more time these days looking over their...
Tanzania yaogopa kuzungumzia ya Libya
na Shehe Semtawa
TANZANIA imeogopa kuzungumzia mgogoro unaondelea nchini Libya kwa madai kuwa kitendo hicho kinaweza kuvuruga uhusiano mzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.