Kulingana na sheria zilizopo hapa nchini,rais yuko huru kutenda jambo lolote au kutotenda jambo lolote, ikiwa kwa maoni yake anaona kwa kufanya hivyo atakuwa analinda maslahi ya umma; na wala...
Nikiwa kama mwananchi mzalendo mwanamapinduzi na mpenda demokrasia, nachelea kusema bila chuki binafsi dhidi ya JK, kwamba wakati wowote kuanzia sasa serikali ya ccm itaondolewa madarakani...
Wiki chache zilizopita tulisikia Wanachuo wa Mlimani wamegoma kuingia madarasani kwa sababu ya fedha wanayopewa meal na accomodation Tsh. 5,000/= haitoshi, sina shaka na hilo na pia naamini kuwa...
Siasa za Tanzania hazina tofauti sana na siasa za nchi nyingi za Kiafrika, ukiondoa Ghana, Botswana na Afrika Kusini. Chaguzi zetu huwa zinajaa utata mwingi na mara nyingi hazitoi matokeo halisi...
WanaJF,
Wakati wa uchaguzi wa rais, wabunge na madiwani mwaka jana sikubahatika kuona coverage yoyote kwenye luninga katika vituo vya CNN, Aljazeera, BBC, SkyNews, n.k kuhusu uchaguzi huo...
Sikutegemea huyu mama kusema maneno haya kwa wakati huu, hasa akiwa amechaguliwa kama speaker wa bunge. Hili linanipa shaka katika ufanisi wake wa kazi, kwani ameanza vibaya kwa kutumia siasa za...
Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu Msafiri au Mtalii Kikwete kutosemea Urubani ili aweze kuitembea dunia vizuri. inaonekana kuwa Kiongozi wa nchi wala hafaidi safari zake kwa kuwa waandishi na Wana...
Jana mh. JK katimiza siku 100 za utendaji wake km Rais ktk kipindi chake cha awam ya 2, swali na kitendawali kikubwa miongoni mwa wasomi ni juu ya ukimya wake juu ya mambo ya msingi yagusayo...
Naomba msaada, mimi siishi huko Gongo of Mboto?
Je ni wangapi mumeona helicopter za polisi au JWTZ zikitafuta watoto waliopotea kwenye mabonde au vichaka?
Nafuta sababu ya kuwahurumia Dr...
"Ukiona matatizo kwa wananchi wako yanaongezeka siku hadi siku, ujue uongozi una matatizo makubwa kiutendaji, mzizi wa matatizo unazalisha hasira na chuki dhidi ya serikali na kinachofuata ni vita...
Britain backs 'publish what you pay' rule for oil and mining firms in Africa
George Osborne and Vince Cable come out in support of proposal by Nicolas Sarkozy at G20 meeting
Heather Stewart...
Kikao cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilimalizika mwishoni mwa wiki jana kule Dodoma. Kama ilivyo ada, mambo mengi sana yalijadiliwa kwa ajili ya mustakabali wa nchi yetu, huku...
watoto wa viongozi bungeni,Makamba,Msuya,Kawawa(2),sokoine,mwinyi,ktk michuziblogg wameweka picha ya vita kawawa na dada yake wote wabunge ,wakiwa ktk viwanja vya bunge.
• Wataalamu wa Ulaya nao wafichua mianya ya wizi wa kura
• Wakiri Chadema iliungwa mkono, Dk Slaa aliepusha vurugu
Uhalali wa Rais Jakaya Kikwete kuwa madarakani unazidi kutia shaka...
Hivi jaman hata kama viongozi wetu wametuchoka, kwanini tuwaruhusu waendelee kuchezea akili zetu as if tumekuwa punguwani ama vichaa fulani wasio na tumaini la kupata tiba. Wakati wa mabomu ya...
Kuna siasa za Visasi ambazo Sumaye na Mkapa walizianzisha. Majimbo ambayo yameangukia kwa wapinzani hayatengewi pesa za maendeleo.
Ina maana kama jimbo lenu mbunge ametoka chama cha upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.