Sijaelewa kwa nini inakuwa hivi, tangu jana, baada ya milipuko ya Gongolamboto, hatujapata a good report from the scene, hususan katika televisheni zetu. Jan ITV walikuwa wanaendelea tu na kipindi...
Watu wamepoteza maisha na makazi yao kuharibika! Sababu kubwa ni Uzembe siwezi elewa mabomu kulipuka kila wakati na raisi kutoa majibu mepesi. Mbona nchi nyingi zina silaha za kijeshi lakini...
Mnyika amkaanga Waziri Ngeleja kuhusu umeme Send to a friend
Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika
Boniface Meena
MBUNGE wa Ubungo (Chadema), John Mnyika amemtaka Waziri wa Nishati na...
Hakika, hatuko salama, hatukuwa salama, na hatutakuwa salama.Mizaha mizaha tu, maisha ya watanzania yanapotea hivi hivi tu.
Si mara ya kwanza, nasema na kwa uthabiti kabisa, si mara ya kwanza...
WanaJF,
Nawaombeni kama watu wenye uwezo wa kufikiri mnisaidie kufikiri. Tafadhalini sana nawaomba mnisaidie katika hili. I believe this is a noble task.
Mimi ni kiongozi wa wanachi. Ni...
The impersonal hand of government can never replace the helping hand of a neighbor- You can donate blood at Muhimbili, volunteer at National stadium, Volunteer at Mzambarauni primary...
Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda anatoa taarifa bungeni kuhusu milipuko ya mabomu Gongo la Mboto
Azungumzia takriba watu 19 wafariki
Raisi kukutana na baraza la usalama la taifa
Bunge laahirishwa...
Tumezoea kila wapinzani wakitaka kufanya maandamano viongozi wa jeshi la police wanatoa amri ya kuzuia maandamano kwa kile wanachokiita taarifa za kiintelijensia
lakini kwenye majanga kama haya ya...
Online activists have called for countrywide protests on Thursday, seeking an end to Muammar Gaddafi's long rule.
Protesters in Libya are set to take to the streets for a "day of rage," inspired...
I believe report itakayotolewa na waziri wa ulinzi na jeshi mfu la jkt atatoa report aliyotoa kwenye report ya mbagala.matukio haya yanafanana kwa kila chembe ya ukweli wake.sasa tusubiri kwenye...
Ninafikiri wengi mtakubaliana na mimi kwamba tumejaliwa rais ambaye hapendi kuumiza kichwa kufikiri jinsi ya kutatua matatizo sugu ya wananchi wake kama umeme, Mauaji ya Arusha, migomo vyuo vikuu...
Nafahamu bunge linaendeshwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Anayesimamia haya yote ni Mheshimiwa (I prefer Ndugu) Spika. Je, endapo Spika atakosea, atapotoka au kupotosha kwa makusudi au bahati...
Badala ya kuandamana kudai ng'ombe atoe maziwa zaidi kwanini wasiandamane kutaka ng'ombe alishwe zaidi ili atoe maziwa zaidi? Au kwanini wasiandamane kupinga maziwa ya ng'ombe kupewa watu wachache...
Juzi nimepata mshituko mkubwa jk anatembelea soko la mahindi kibaigwa badala ya kutembelea mitambo ya umeme au hata bandarini kuangalia hali ya mafuta ambayo ndio matatizo yanayolisababishia taifa...
Vuguvugu la Mageuzi linaloendea Mashariki ya kati ni Ishara ya Mwanzo wa mfumo mpya Utawala ambao Kidemokrasia inatawaliwa Nguvu ya Umma ambayo haitokani na Uchaguzi a mfumo wa Kisiasa bali...
Kuna mawaziri wananichefua kwa lugha zao na zaidi, pale wanapogeuza haki zetu kuwa 'kilio'. mmoja wao ni Mizengwe Pinda. Utawasikia wanasema hivi:-
"nitamfikishia rais kilio chenu cha katiba"...
wana JF na watanzania kwa ujumla,
Tumeona watawala wetu mbalimbali wakifanya madudu na hakuna anayechukua hatua au kutoa kauri kali kukemea. sasa tumefikia hatua ya mabomu kulipuka mara kwa...
Umefika wakati sasa tuwaambie watawala wetu kuwa sasa imetosha!
Tuwaambie tumetosha kuendelea kuogelea kwenye vinyesi kila mara yanapotokea manyunyu katika miji yetu mikuu, tuseme basi sasa...
WanaJF hivi focus ni kuzuia malipo ya Dowans, au ni pamoja na Kuondoa mzizi wa janga la taifa kuangamizwa na mafisadi?
Bila kuweka wazi dira katika masuala haya nyeti kwa maslahi ya taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.