Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Awasifia wananchi wa Misri. Amkosoa Mubarak kwa kukaa madarakani bila kikomo, kutosikiliza wananchi na kujilimbikizia mali.
0 Reactions
225 Replies
18K Views
Na Arusha Mambo. Mgonjwa wa mwisho wa maafa ya maandamano ya kisiasa yaliyofanyika Arusha na kusababisha vifo vya Watanzania wawili na Mkenya Mmoja ameruhusiwa leo kutoka hospitalini. Muhanga...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangu kikao hiki cha Bunge kilipoanza, nimegundua kuwa wabunge kadhaa wa CCM ni wajinga kupita maelezo. Kwa sababu wanajua wengi wanazidiwa upeo kwa mbali na wabunge wa CHADEMA, wanaona kwamba...
0 Reactions
203 Replies
17K Views
Mubarak’s sons come to blows February 14, 2011 - 14:42 AMT 10:42 GMT PanARMENIAN.Net - The two sons of Hosni Mubarak almost came to blows last week when the former Egyptian president gave his...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
PERSONALITY AND LEADERSHIP One of the personality trait factors in the Big Five Personality Model is CONSCIENTIOUSNESS; which is a continuous scale from one end- More conscientiousness to the...
0 Reactions
0 Replies
761 Views
Hivi karibuni wimbi la wananchi kuandamana ili kishinikiza viongozi wao waondoke madarakani hasa nchi zinazozungumza kiarabu limekuwa kubwa sana. Ikumbukwe nchi hizi kila baada ya muda fulani...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Gazeti la Al Masri al Youm linalochapishwa nchini Misri limeripoti kuwa hali ya kiongozi aliyeng'olewa mdarakani nchini humo Hosni Mubarak ni mbaya mno na kwamba dikteta huyo mepoteza fahamu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kutokana na hali ngumu ya maisha kuendelea kuongezeka kila siku katika nchi yetu nimeonelea nami nijitose na kutoa angalau mawazo machache kuhusu nini cha kufanya. Kihistoria watu walioanzisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nikiwa naangalia bunge, uchaguzi wa jana na leo uchaguzi wa kuwakilisha wabunge ktk vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu.wakiomba kura kwa unyenyekevu hivi huko nako kuna maslahi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dah! Sio siri, niliisahau kabisa hii forum baada ya kuzani uchaguzi mkuu umeshaisha!!!! Anyway, bado nina kumbukumbu kwamba humu jamvini watu hatuna uvumilivu wa kuona maoni yanayotofautiana na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu watanzania na wanaJF naomba kuuliza swali lifuatalo " Je ni kweli bado watanzania wana tumaini kwa DR.Slaa kuwa rais wao kipindi kijacho?"
0 Reactions
7 Replies
2K Views
GreatThinkers; Napenda kutoa Rai kwa viongozi wa CDM na wazalendo wenzangu kuwa hapa tulipofika vijana hatuwezi kurudi nyuma. Kwanza natoa shukrani za dhati kwa wale waliodiriki kuniamsha na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kila siku hasa hapa kwetu Tz tunaimba peoples power itamung'oa Mkwere kitini tuangalie mambo kadhaa ambayo yatasababisha either hilo kutofanikiwa... ....kwanza kabisa media, media zote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wabunge wazoa Sh90mil kila mmoja Send to a friend Tuesday, 15 February 2011 07:35 0diggsdigg Mwandishi Wetu, Dodoma JUMLA ya Sh3.24 bilioni zimelipwa kwa wabunge ili kuwawezesha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzania's ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) withholds development funds from areas where it gets fewer votes in elections, a new study claims. Titled The Politics of Government...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
:sad:Ni ukweli usiopingika kuwa mtu asiye na uhakika wa kula, kuvaa, kusoma/kusomesha, kutibiwa, kulala, n.k. hawezi kuwa na amani!! WaTZ tunaambiwa kila kukicha kuwa nchi yetu ina amani wakati...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pamoja na nchi kulalamikia mgao wa umeme unaoendelea baadhi ya watu walioishi hapa Kagera kwa muda mrefu wanashangaa nikiwemo mimi niliyehamia mwaka mmoja uliopita Kutoona hata siku moja ukiacha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, nimekuwa nikifuatilia sana siasa za nchi yetu hasa wakati huu wa siasa za vyama vingi. Naomba kueleweshwe definition ya Upinzani katika siasa zetu ina maana gani? na wananchi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wana jamii wenzangu, jana wakati Chadema wanatoka Bungeni kupinga mabadiliko ya kanuni kuhusu tafsiri ya neno KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI wabunge wengine waliwazomea, kwa mimi nilisikia...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mimi ni mzaliwa wa Mwanza, kutokana na mgawanyiko wa Majimbo ya uchaguzi, naweza kusema nimezaliwa katika Jimbo la Ilemela. Wakati wa Kampeni za Uchaguzi habari nyingi kutoka Mwanza zilikuwa juu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom