Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
(CNN) -- Switzerland's government moved Friday to freeze any assets in the country's banks that might belong to former Egyptian President Hosni Mubarak or his family, the Swiss Federal Department...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilifatilia kwa makini mchango wa mh.mbowe jana pamoja na mh.shibuda,kwakweli nilipata wakati mgumu kuamini macho yangu nilipoona mbowe akimwaga sifa tele kwa mkuu,na shibuda alipopewa nafasi...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
tazama jinsi vijana wanavyoyaongelea mabadiliko hayo na mambo ya muhimu..kuna uhalisia wa wanachokisema?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapa tunajenga hoja, kama mtu ametofautiana na wewe usimtukane. Tusijipe moyo kwamba nasisi tutafanya kama Misri, hawa jamaa wenye asili ya Kushitic wanamisimamo sio kama wabantu, ukimkosea...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ivi hizi kamati kama za cheyo, na mrema na zitto zinalipa kiasi gani.. kuna mshahara tofauti au.. au ni hizi posho za kuzunguka... mi sijawahi hata kusikia ofisi ya pac au laac nijulishe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sat Feb 12, 2011 7:38AM Share | Email | Print Former Pakistani President Pervez Musharraf A Pakistani court has issued an arrest warrant against former President Pervez Musharraf for his...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wajemeni naona Jamii forums ni vuguvugu la great thinkers maana baada ya disapproval ya utendaji wa huyu bwana leo hii nimeona akiulizwa kwanini maji hamna dar! Jibu lake...wale wanaomtetea...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Matukio yaliyotokea Afrika mwanzoni mwa mwaka huu ni fundisho kubwa sana kwa nchi ambamo raia wake wanaishi maisha ya ufukura sana huku wachache wao wakiwa wanaishi kama wako kwenye bustani ya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu Zangu, Viongozi Afrika wanapaswa kutambua sasa, kuwa Mwafrika wa mwaka 1975 si Mwafrika wa mwaka 2011. Waafrika wameamka. Viongozi Afrika wana lazima ya kuendana na mabadiliko ya...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
KAGERA MANISPAA YA BUKOBABUKOBA MJINICandidatePolitical Party Number of Votes Percentage Votes SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 16,60450.16KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 15,41046.56LIPUMBA IBRAHIM HARUNA...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekuwa nikifatilia vipindi vya Bunge hili runingani almost toka siku yakwanza, binafsi sijapata picha hili ni bunge la aina gani, hoja zamsingi zinakuwa ignored kwa mitizamo ya kichama, wanawake...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
My Take: Kitendo cha Mbowe (CHADEMA) kumpongeza Rais ni sawa kabisa na kumkubali Indirectly, namuunga mkono Pasco kwa hili.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nitataja baadhi ya sababu zinazotufanya Waafrika weusi tuwe nyuma kwa kila kitu.. na wewe unaweza ukaongezea zako and i dont mean all but most of us (95%) 1-Ni waoga na hatuna ujasiri...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeshangazwa na kauli ya magufuli kutaka kuboboa jengo la tanesco najiuliza je tutakua tumepoteza sh ngapi za kodi zetu kukosa plan nzuri ya jiji letu hapo mwanzo'ni kweli jengo liko kwenye road...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa siku za karibuni tumekubaliana katika mengi yanayokwenda vibaya kama nchi. Ambacho hatukubaliani ni njia ipi na mikakati ipi itumike kuyakabili na kuyarekebisha yale tunayofanya vibaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Sina cha kuongeza !
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Waungwana, ninapendekeza tuanzishe mjadala kuhusu ni mafunzo gani tunaweza kujifunza hapa Tz kutokana na mapinduzi yaliyotokea Tunisia na Egypt. Je mabadiliko ya namna hii tunaweza kuyaleta hapa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
na Bakari Kimwanga WAANGALIZI wa Uchaguzi Mkuu kutoka nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU), wametoa masikitiko yao juu ya kutokuwa na uwazi katika ujumlishaji wa matokeo ya urais, ubunge na udiwani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Thanks God nafutilia bunge hili kwa kina, jambo la kusikitisha ni kwa wabunge hao wawili wa CDM Shibuda na Selasini!!!!! naona kuna kitu wanakitafuta CDM, Viongozi wawe macho na watu hao, watu hao...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakuna asiyetambua hofu na uoga uliopo miongoni mwa wanachama na viongozi wa juu wa CCM NA CUFdhid ya chama chenye wapenzi wengi na kinachoaminika miongoni mwa vijana na wananchi masikini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom