Jamani tumeshuhudia ujio wa Raisi Kutoka huko mkutanoni, ujio uliokuja na vijisifa vyakijingajinga, eti serikali ya sisiem imepewa tuzo kwa TZ kuwa mstari wa mbele katika utokomezaji wa malaria...
kutakuwa na mjadala leo pale ukumbi wa nkrumah saa nane kuhusu malipo ya dowans. kutakuwa na watoa mada wazuri ukipata nafasi njoo tuendelee kupiga kelele kuhusu huu wizi wa mchana kweupe
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu huyu meya wa ilala jerry slaa,..ni coincidence au ccm walimweka makusudi ili jina dr slaa lisionekane kuwa unique kwamba anapotajwa slaa watu wajiulize ni slaa...
rostam aziz
rostam hasn't updated their status in a while...
Age
38
Location
Iraq
Birthday
July 1
Kumbe sio pingu ni mkanda lakini jamani what are we waiting...
Nimesikitishwa sana,nimekerwa sana,nimeshangazwa sana na serikali kwa suala lake la kukata mishahara ya baadhi ya watumishi wa umma eti kisingizio ni kua walikosea ktk mahesabu yao ya house...
Ndugu zangu wana Jf ni muhimu kutambua awali ya yote michango na post zenu mbalimbali ambazo zimekuwa na kila aina ya ujenzi wa hoja makini.La msingi hapa ni moja,wakati angalau kija MwanaJF...
Wana JF, kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na mjadala mrefu kuhusu ulazima wa kuwepo kwa katiba mpya na hivi karibuni moja kati ya wakongwe katika tasnia ya mambo ya siasa aligusia umuhimu wa kuwepo...
Wadau hivi hamjiuliza kwanini serikali ilitumia kampuni ya sheria ya REX kwenye mktaba wa Richmond na baade DOWANS. REX iliishauri serikali ililipe DOWANS mabiliaoni ya shilingi bila kukata rufaa...
Maandamano UVCCM yashtukiwa
*Ni yale ya kutaka bodi ya mikopo ivunjwe
*Yahojiwa mbona hawakuwatetea kupiga kura
Na Tumaini Makene,
MAANDAMANO yaliyoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama...
HONGERA WANAHARAKATI NA WASOMI JUHUDI ZENU BADO ZINAHITAJIKA KULINUSURU TAIFA KATIKA JANGA WAKATI NI HUUUUU!!!!!.
Ningelipenda nitumie nafasi hii kutoa pongezi za dhati kwa wanaharakati,wasomi na...
Tukio lililotokea katika Hospitali ya mwananyamala ni la kusikitisha sana, hasa katika wakati huu ambapo fedha zinaibiwa kiholela, bei za umeme na mafuta zimepandishwa na kuidhinishwa kwa malipo...
Maafisa wa jeshi huwa wanatunza sana vyeo vyao vya kijeshi kuliko title nyingine yoyote; kwa mfano, General David Patreas ana BS. MPA na Ph.D. na aliwahi kuwa professor kabla ya kurudi kwenye...
Samson Mwigamba
KUNA habari kwamba eti Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) wanaandaa maandamano ikiwa masharti waliyoipa Bodi ya Mikopo hayatatekelezwa.
Lakini hawatoi masharti kwamba kina JK...
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Ghana Mheshimiwa Jerry Rawlings wakati wa kikao cha Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia...
Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba amesema maandamano si suluhisho la matatizo yanayotokea nchini na kwamba Rais anapaswa kupewa muda ili ayatatue.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana kabla...
Wana CDM, naomba mnifahamishe hivi kuna mkakati gani wa kukisambaza Chama hadi Vijiji ambako kuna wapiga kura wengi zaidi, naomba msitumie elite tu kwani hata peasants are Revolutionary. Na kama...
Najua mtahamaki lakini sie wengine we dont like following the crowd na najua kuwa it's not a fashionable view, and I'm not saying he is faultless, but much of the so called criticism being heaped...
Magufuli amekuwa ni kati ya mawaziri wachache ambao utendaji wao umekuwa ni wakuridhisha.Wiki hii tumeona amefanikiwa kuliokolea taifa zaidi ya billion 5 kutoka kwenye malipo hewa. Wakati akiwa...
Baada ya uchaguzi mkuu nlitegemea watu tutatetea utaifa kuliko uchama,hadi watoto wasiokuwa na sifa za kuwa wanachama wameathirika na uchama,nadhani elimu ya demokrasia ni ndogo, na tunakoelekea...
Huyu ndiye Waziri (Sijui kama bado Waziri) katika serikali yetu. Dowans, matokeo mabaya ya F4 na matatizo kibao ya nchi, lakini jamaa anahangaika na vibinti. Hata kama ni muda wake binafsi na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.