Nidhahiri kwamba nguvu ya umma ndiyo njia pekee ya kuwang'oa madikiteta wa demokrasia kwani imeonekana hakuna uchaguzi unaokuwa wa huru,hivyo mageusi ya siasa za afrika nimaandamano bila hivyo...
Mara nyingi Viongozi wanapochaguliwa ama kuteuliwa utakuta wanaapa kwa kutumia vitabu vitakatifu,yaani kama Muislamu utaapa kwa Quraan na Mkristo ataapa kwa biblia.Sasa swali linakuja wanajamii...
Jamani hata serikali ya China nao wameshaanza kuingia woga kutokana na yanayoendelea kule Egypt!!
Everybody's talking about a revolution. Except, that is, in China.
As the unrest in Egypt...
Kwa wale wasikilizaji wa mara kwa mara wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Ujerumani (DW) mnaonaje hakuna harufu ya udini pale? Sina haja ya kutaja udini wenye umeegemea wapi.
Nimekuwa nikisoma habari za kesi ya Bwana Liyumba kupitia magazeti mbali mbali,likiwemo Tanzania Daima ambako mwandishi Happyness Katabazi ndiye anayeripoti masuala ya mahakamani.
Uandishi wake...
Jamani nina uchu wa kujua haya yafuatayo: 1) Suala la uchaguzi wa Meya wa Arusha kurudiwa limefikia wapi? Je Chadema wamechukua hatua gani za ziada baada ya maandamano ili kuendeleza msimamo wao...
Son: "Daddy, I have to write a special report for school, but I don't know what Politics is."
Father: "Well, let's take our home as an example. I am the bread-winner, so let's call me...
Botswana has 3 major mineral resources, namely diamonds, copper/nickel and soda ash all of which contribute significantly to GDP and exports. Diamonds, with dwarf all others, contribute...
Hali ya uchumi imekuwa mbaya sana katika idara zote za serikali kuliko hata ile iliyowahi kuripotiwa wakati wa uchaguzi. Chanzo cha kuaminika kutoka idara moja nyeti kinasema wamepelekewa waraka...
There are those people, who thought that CCM will relinquish power on a platter, they were wrong. They never knew that CCM thugs are used to power and they will do anything possible under the sun...
Jamani wanajf naomba kuuliza chama gani kati ya chadema, cuf na nccr kitakuwa mpinzani mkuu wa ccm mwaka 2015 maana chadema kinaanza kuandamwa na mikosi mara zito kabwe mara mbowe mara dk slaa...
Nimeanza na kichwa cha habari cha kusisimua zaidi kama ilivyo kwa kawaida ya baazi ya magazeti yetu kuandika kichwa cha habari kizito kwa habari nyepesi na wakati mwingine habari kutokuwa na...
NCCR calls for fresh exam marking
By DAILY NEWS Reporter, 30th January 2011 @ 15:00, Total Comments: 0, Hits: 56
NCCR-Mageuzi has requested the government to critically examine the just...
:peace:migomo imekuwachachu na msukumo wa mageuzi katika nchi. kupitia Jf tunapenda kuwaalika ni namna gani tunaweza kufanya migomo na maandamano yenye mafanikio.pia migomo itaanza mwezi huu mpaka...
Ningependa kumuona mpiganaji samuel 6 akijiuzuru uwaziri afu akakitema chama cha mafisadi(ccm) na kujiunga chadema ili aongeze nguvu maana mwaka 2015 tunajiandaa kuchukua nchi tukiwa na watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.