Africa ni moja,matatizo yetu yanafanana,mfano kilichowafanya vijana wa Tunisia na Misri kuingia mitaani is the same as to what we are facing in our country; ufisadi, ukosefu wa ajira, bei ya...
Jukius Mtatiro, Naibu Katibu Mkuu wa CUF ametangaza maandamano hapa Dar ya kupinga kulipwa Dowans.
Kasema yataongozwa na Profesa, kuanzia Buguruni hadi Kidongo Chekundu ambako yatahutubiwa na...
Kikwete na viongozi wa Afrika hatimae wameenda kumzungumzia Gbgbo wa Ivory Coast. Raisi aliejipatia ushindi kupitia Tume ya Uongo kama hiyo ya Kikwete. Kikwete na wenzie kama Mugabe na Museven na...
The Corruption Perception Surveys (CPS) report published by the Concern for Development Initiatives in Africa (ForDIA) has indicated increasing levels of corruption in Tanzania during 2010...
Imefika mahala chadema kuanza kuongoza mabadiliko ndani ya nchi yetu lakini chadema hawaonekani kuijua nafasi hii, nchi nzima asilimia kubwa wanapinga kuhusu swala zima la DOWANS hii ni hot cake...
Jamani siku hizi nalala nimechoka sana nikiwaza jinsi tunavyodhurumiwa na baaadhi ya wenzetu. Sasa naomba kuuliza swali moja hivi kubadirika badirika kwa majina ya makampuni ya simu na mahotel ni...
UVCCM hivi sasa wanakutana na wanafunzi wa UDSM ktk ukumbi wa Vijana Social Hall Kinondoni na hapo Riz1, Bashe na Shigela wametoa matamko mazito dhidi ya serikali. Wamerudia kama yale ya tamko...
Kwa wale wanaofuatilia maswala ya kisiasa nchini, nadhani mtakubaliana nami kwamba Rais wetu Mpendwa Dr. JK hawezi kuliacha taifa letu tukufu la Tanzania lipatwe na majanga ya Tunisia na Misri. JK...
wajameni hali ya mambo inavyoendelea naskia tetesi kuna maagizo ya kulifungia mojawapo ya magazeti kati ya The Citizen au The East African! Kuna nguvu kubwa inaelekeza hayo yafanywe ikumbukwe The...
Yes we have our disagreements kila kukicha lakini inaniuma tena sana kuwa natazama Obama anazungumza kwenye STATE OF THE UNION ADDRESS and i feel ashamed to admit kuwa I'm getting inspired by...
Nadhani mna habari kuwa ile OPEN SPACE ya Avalon Cinema nacho kishapewa yule mzee aliyekuwa haishi kulalama kuwa serikali inakosa mwelekeo.
Yule Mzee ilikuwa sometimes mara 2 per day alikuwa...
Katika kile kinachoonekana kama kukimbia kivuli cha mwanachama wake na naibu katibu mkuu Mh. ZITTO KABWE kwa kukubali kumrudishia cheo chake na naibu wa kiongozi bungeni , CHADEMA yaonekana kabisa...
Jana wakati naangalia taharifa ya habari ya ITV saa mbili usiku nikakutana
na taharifa ambayo kidogo sikuielewa au ilinichanganya kumkichwa.
Eti Prof.shivji na Jen.ulimwengu walikuwa wanawaambia...
NIMESIKITISHWA SANA NA UKIMYA WA VIONGOZI WA TUCTA. MPAKA SASA WAFANYA KAZI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE AWAJAPATA MSHAHARA WA JANUARY. JE FEBRUARY WANAENDA KAZINI KWA BUDGET GANI? AU NDIO NJIA YA...
By Samuel Kamndaya, Dodoma
Nearly Sh10 billion has vanished from the bank account of Tanzania Railway Limited (TRL), as the foreign concessioner, Rites of India, threatens to abandon the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.