Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Yaani bado nacheka, Niko kwenye foleni barabarani, amenifuata muuza icecreem (na baiskeli yake ya Azam, ananifahamu). Akaniuliza, "bro, mjengoni si tarehe 8 mwezi wa pili eh?" nikamwabia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
DOWANS SCANDAL... High Court to set aside ICC ruling THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE High Court of Tanzania will likely reject a ruling of the Paris-based International Court of Arbitration...
0 Reactions
141 Replies
13K Views
Hello wana JF kesho saa nne asubuhi Star Tv wataonyesha collection ya ukweli juu ya yaliyojiri Arusha..,so utakuwa muda mzuri kuona uchakachuaji uliofanywa na Polisi..Mwambie na mwingine...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
WAMENITIA NGUVU KIDOGO INGAWA NIMEAMBIWA CHEKI IKO MBION KUTOKA Wabunge wa CCM waigomea Dowans *WAIBANA SERIKALI ISILIPE SH 94 BILIONI AU DENI LIPUNGUZWE Tuesday, 25 January 2011 Na...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu Viongozi na Wanachama wa Chadema na Wote Wenye Nia Njema; Kwanza najua mapenzi yasiyo ya kinafiki kwa chama ni kitu ambacho hakilazimishwi, bali hutoka moyoni kutokana na mchango wa chama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani wanajf nimerealize kwanini mwl.nyerere alimkatalia kikwete kuwania urais 1995 pale chimwaga,mwl.aliona mbali, hv ingekuwaje kama mkwere angeshika nchi tangu enzi hizo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni process za kufunga tawi'hata number za simu ikiwezekana kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa no 0714519880
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cheyo, Nape watupa kombora lao Dowans Tuesday, 25 January 2011 Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo Boniface Meena na Tausi Ally MBUNGE wa Bariadi Mashariki, John Cheyo, amemtaka Waziri...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawaza hivi, kama anayetajwa kuwa mmiliki wa KAMPUNI YA KITAPELI ya RICHMOND, anashitakiwa na serikali kwa kuitapeli na kuisababishia hasara kubwa-Mohammed Gire, je imekuwaje Gire kusaini mkataba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimesikia Askari Police Wawili Walichinjwa Kama kuku Arusha!! hivi Tanzania tumefikia hapa? serikali imeamrisha vyombo rasmi vya habari kutozungumzia jambo hili,je hii siyo kuingilia uhuru wa...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Kweli sielewi kama kuna watu wana akili timamu. Hawa waigizaji ni njaa au? Dhihaka na vitisho kwa jamii kwa kutumia televisheni ya serikali ktk masuala muhimu ya kitaifa ni upunguani. Na ni...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Lile jinamizi la migomo vyuo vikuu limetua kwa kasi ya ajabu pale Makumira university. Ni pale wanachuo wa mwaka wa kwanza walipozira kuzama class kutokana na ugumu wa maisha wanaokumbana nao...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
• Asema kanuni haziruhusu, awashauri waungane na Chadema SPIKA wa Bunge Anna Makinda amesema ni jambo lisilowezekana kuwepo na kambi zaidi ya moja ya upinzani bungeni. Makinda alisema...
0 Reactions
71 Replies
6K Views
Salaam, Naomba kuwasilisha makala hii nzuri inayosambazwa kwenye email ili wana JF wenzangu muisome na kutafakari maneno ya busara sana ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Chadema yamuunga mkono Kafulila *Ni kuhusu hoja ya Dowans kurejeshwa bungeni *Lissu asema lengo kupinga kuzawadia ufisadi Na Jumbe Ismailly, Singida HOJA Binafsi ya Mbunge wa Kigoma...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Aisee chalii, kumbuka yale maahadi uloyatoa wakati unaomba kula, ndugu kufumba na kufumbua 2012 hiyo,..au utimilize sifa yako ya sanaa,pale tbc1 uwambie watanganyika ulikuwa unawazuga,maana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Amakweli, imefikia hatua watz tunatia imani..Ndiyo,tunatia huruma. Tunahitaji neema ya kina Rostam,Mkono,Lowasa kutuhurumia.. Yaani kwa ufupi ni kama yatima fulani.. Yule wakili mwizi, wakiri wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za kiinteligensia kutoka AR zinasema Lyimo Meya wa CCM ambaye alikuwa kiongozi katika baraza la Walei Parokia Ya Kijenge likongozwa na Marehemu Sam Mdee, na Mzee mwingine aitwae Makeba...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wana JF Hii sasa inaashiria kwamba sisiemu wasipokuwa makini si muda mrefu ,yatatokea yale yale ya Tunisia na Algeria. Wanachuo wa Chuo Kikuu cha Tumaini sehemu ya Makumira wafunga barabara ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom