Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ndugu wanajamii, katika viongozi watendaji Lowassa yupo. Tuaangalie shule za kata; hii ilikuwa ni wazo la Lowassa ili watoto wetu wasome karibu na nyumbani, baada ya kuondoka shule hizo za kata...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
..........Dk. Shein katika hotuba zake amekuwa akiahidi kupambana na rushwa, tatizo ambalo limeathiri sana wananchi wa Zanzibar hasa wenye kipato cha chini.............. :: IPPMEDIA Huku haya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
CHADEMA IMEPANIA KUTUMIA IBARA YA 46 YA KATIBA YA JAMHURI KUMUONDOA JK MADARAKANI IBARA HII INASEMA ""Bila ya kujali masharti ya ibara ya 46 ya Katiba hii, Bunge linaweza kupitisha azimio la...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Nimeipenda hii kwani huwa wanaapa na vitabu vitakatibu kisha wanakuja kufanya kinyume chake
0 Reactions
80 Replies
9K Views
Boris Yeltsin came to power with a wave of high expectations. On 12 June 1991 he was elected president of the Russian Soviet Federative Socialist Republic with 57% of the vote, becoming the first...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 18 NOVEMBA 2010 Mheshimiwa Spika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukweli binafs naamini wananchi wengi ha2na elimu ya URAIA,hvyo inapelekea wengi wasiojua umuhmu wa kupga kura hawapgi kura.je katiba inasemaje kama cc 2kiamua kwenda na kutoa elimu juu ya umuhmu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
tetesi zimesambaa na zinadaiwa kuwa za uhakika kwa asalimia 75 kwamba aliyekuwa waziri kiongozi wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar shamsi vuai nahodha ndiye atakayekuwa waziri wa mambo ya nje na...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Baada ya Nahodha kuteuliwa kuwa mbunga wa JMT atakuwa anapokea mishahara mitatu au posho tatu kila mwezi. Posho au mishahara hiyo ni mshahara wa bunge la JMT, Mshahara wa baraza la wawakilishi ZNZ...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niko namsikiliza nisiyemtambua na kumpenda. Simkubali na kumjali. Namsikiliza huku nakitamani kurushia chupa hii TV. Kweli zama zenu CCM ziko ukingoni. Sasa na huyo mama Spika alikuwa ananikera...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Inashangaza sana kumsikia mkuu wa nchi akigeuza jumba la Bunge kuwa eneo la mipasho. Rais anasema yeye ndiye Rais, nasi tunajua hilo, anamtaja makamu na Rais wa Zanzibar, hao wot e tunawajua. Ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Madiwani vihiyo ni wengi sana pamoja na mameya wanaochaguliwa. Mfano, madiwani na meya wa Mbeya mjini wengi hutokea pembezoni mwa mji matokeo yake wanafikiria ukabila na kuendeleza maeneo yao ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimeona jinsi wabunge walivyokuwa wanapata shida kujieleza walipokuwa wanagomembea uwakilishi wa SADEC nimecheka kupita kiasi kwa watu walikuwa wanatumia nguvu kupita kiasi ili waweze...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mh. Mizengo Pinda anaonekana TBC1 sasa hivi akiwa anaongea na mama yake mzazi kuhusu changamoto za kilimo kwanza. Mama yake anaonesha wazi wasiwasi juu ya utekelezaji na kufanikiwa kwa mpango na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama vile namuona bwana JK akitafakari nini cha kuongea wakati akijiandaa kwenda bungeni Alikuwa very sensitive na vya kuongea, mcheki hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hotuba iliyotolewa na JK leo 18 Nov 10 itajadiliwa kwa kirefu na Bunge litakapokutana mwezi Feb 2011. Je Wabunge wa Chadema watakuwepo bungeni wakati wa kujadili?
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Nimeamua kuwataja nyie kwa vile naelewa mnaweza kunifikishia ujumbe wangu kwa viongozi na wana Chadema wote. Kwanza nianze kwa kuwapongeza na kuwashukuru kwa kazi nzito mnayoifanya, pili ujumbe...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
Wakuu heshima mbele, naomba kama kuna mtu anakumbuka jina la bendi au wanamuziki wale kutoka Congo walikuja na style ya "zipompa pompa" ile miaka ya kati ya tisini hawa jamaa walivuma sana...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Awali niliwahi kupost tamko la kutomtambua JK kama rais halali wa JMT na kumtambua DR.SLAA kama rais mteule wa JMT. Leo ninakuja na hoja tofauti na pia ni ombi kwa wanachama wenzangu wa CHADEMA...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ndugu zetu wa Zanzibar hawataweza kuendelea kwa sababu serikali yao ni kubwa sana ukilinganisha na idadi ya watu. Zanzibar ina budget ya $400 million tu na watu wasiozidi 1,500,000!. Zanzibar...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom