Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
• Wamhenyesha kuvunja kanuni kumbeba Sophia Simba Na Salehe Mohamed, Dodoma NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai, juzi alianza kuonja machungu ya kiti chake baada ya kukaliwa kooni na wabunge...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Baada ya makelele mengi hapa jamvini hatimae serikali imemfikisha india kwa ajili ya matibabu ..india aliekuwa mh hawa ngulume pongezi kwa hili natumaini nexty tym amtosubiri kelele za jf...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
UCHAGUZI Mkuu wa 2010, umeelezwa kuifikisha pabaya CCM, kwa kuangushwa na wapinzani katika majimbo mengi yaliyo kwenye majiji makubwa na makao makuu ya halmashauri za wilaya nchini, hali...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Vigogo wajipa ardhi kwa fujo nchi nzima * Yumo Ridhwan Kikwete, Marmo, Gavana Ndulu, Dk Kimei * Maelfu waachwa 'kwenye mataa' * Orodha yabanduliwa ghafla Kashfa ya sanya sanya ya viwanja...
0 Reactions
51 Replies
6K Views
Wadau nimekuwa nikisikia huko nakule kuhusu CHADEMA KUGOMEA RAIS AKIINGIA BUNGENI!Mimi nauliza nini madhara yake wakifanya hivyo??Je nini tija yake wakifanya hivyo??Na kuna faida gani kwa wapiga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
well its seems to be normal but it isnt the really situation that we may have in our college.being far from the city of dar really affecting what happening over here. most of collegues have been...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Ndugu wapenda demokrasia,sasa wawakilishi wa watanzania bungeni wameanza kuonekana kutumia haki ya kidemokrasia kukataa kuburuzwa,bali kwa msimamo wa pamoja wa kutokubaliana na udikteta. Ni jambo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wengi Tunakumbuka Mahali na Sauti ya Mwalimu Nyerere Alipokuwa Akisafiri Inchi za Afrika na Duniani Kote. Nyerere Aliheshimika Sana kwa Misamamo Yake Kwenye Kila Swala Duniani. Tukianzia Afrika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipo ughabuini Brazil ambapo nako siku hiyo hiyo walikuwa na uchaguzi. Majibu ya Rais yalitoka hadharani masaa 6 badaa ya kufunga kupiga kura huko kwetu kuna mdudu gani kama si wizi mtupu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mgombea wa kiti cha unaibu spika kupitia CUF alisimama na bila woga akaidhinisha kwamba CUF ina muafaka na CCM na tayari wana dhamira ya kushirikiana, basi anajitoa na kusubiri CCM imuunge mkono...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Dr.Slaa atakuwa live kwenye kipindi cha 5CONNECT kinachorusha na East Africa Tv leo jioni kuanzia saa moja usiku hadi saa mbili.USIKOSE !!. SOURCE: EATV
0 Reactions
155 Replies
14K Views
Tume ya uchaguzi NEC imebadilisha matokeo ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Vunjo baada ya kugundua ilitangaza matokeo tofauti na yale yaliyotangazwa awali na msimamizi wa uchaguzi. Nec imetangaza...
0 Reactions
73 Replies
8K Views
Haya tena kile watanzania walichokua wanakisubiri kwa yule Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda AKA Mtoto wa Kilimo kwanza kashaapa kulitumikia taifa la watanzania kua waziri Mkuu kwa awamu ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mjumbe wa Bunge la SADC-PF ni Mohammed Habib Mnyaa (Mkanyageni-CUF), ambaye alitangazwa mshindi kwa kura 275 dhidi ya kura 47 za mgombea wa CHADEMA, Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza niwaombe kabla ya kuchangia vitu vifuatavyo mviweke pembeni... (i) U-CCM na U-CHADEMA wenu na ule u-CUF sijui na Udovutwa n.k (ii) Ubongo wa kunyanyaswa kibeijing kwa kuletewa thread ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni sahihi kabisa kutomtambua rais aliyeingia madarakani kwa kuiba kura! Leo wakati wa kuapishwa waziri mkuu, kumekuwa kuna maoni mbalimbali eti CHADEMA kususia HOTUBA za JK sio vizuri. WATANZANIA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wateule hawa wapo kumtumikia nani? 1.mawaziri wasio na wizara maalum(znz tayari walisha wachagua) 2.wabunge wa kuteuliwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kupata nafasi kubwa sana Bungeni na kuweza kutoa Kiongozi wa kambi ya upinzani,, sasa tumejiwekea nNafasi nzuri kwakuwa na wabunge wengi kuliko vyoama vyote pinzani... Tunawashukuru...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
http://http://www.youtube.com/watch?v=yOyo4MDOJko&feature=related Hii alijua kuwa yeye ni yeye tu na hakuna mwingine kumba Wenje Alikuwepo. Hii ni kuwaambia wabunge vijana wote wawe makini...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kulikuwa na taarifa kuwa kuna ajent wa kampuni moja ya simu alichukua vitambulisho vya wapiga kura takribani mia nne(400) ili kuzitoa kopi waweze kusajili namba zao, ila akatokomea nazo.tukio...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom