Leo wakti nasikiliza vichwa vya habari vya magazeti nikasikia Gazeti la Uhuru linasema,"TUNDU LISSU ASHUSHULIWA''. Gazeti la Mwananchi likajinadi kwa kichwa cha habari ''TUNDU LISSU NA MNYIKA...
Meghji: I was duped by governor Ballali
-Minister comes clean on Kagoda Agriculture Limited payments saga
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
THE Minister for Finance, Ms Zakia Meghji...
Tetesi kutoka kwa watu wa karibu na JK, baada ya kuwateua Zakia Meghji na Shamsi Vuai pia jina la LAWRENCE MARSHA limo kwenye list ya wabunge 10 wakuteuliwa
Jana kwenye hotuba yake ya kulishukuru Bunge, Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinda alitoa changa moto ambayo alidai ndiyo yenye uwezekano mkubwa wa kumkomboa mkulima, mfugaji na mvuvi mdogo mdogo hapa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
16/11/2010
YAH: BARAZA KIVULI LA CHADEMA NDANI YA BUNGE NI
BATILI HALINA SURA YA MUUNGANO
Ndugu
Waandishi wa habari,
Napenda kuwaeleza kwamba sura ya...
Chama cha Cuf kimekufa,kimezikwa,kaburi lake lipo zanzibar,yatima wamebaki bara wakifarijiwa na chama chama cha majambazi.Hiki ndicho kinachooneka dhahiri baada ya uchaguzi na kinachoendelea...
UTATA katika ujumlishaji matokeo ya kura umezidi kuongezeka baada ya matokeo ya uchaguzi wa ubunge wa Jimbo la Vunjo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi (NEC) kutofautiana na yaliyotangazwa awali...
Jamani zanzibar ina watu mil 1.xx inakuwaje baraza la mawaziri linakuwa kubw sana.
Kweli tunataka maendeleo au kupeana ajira tu?? CUF kwa nini msingekataa, Elimu na afya zanzibar bado sana...
Jana kuna rafiki yangu aliniuliza swali dogo nikatumia muda mrefu kulijibu huku nikitoa maelezo meeengi ..naomba tu share majibu yetu jamani.....swali ni hivi uchaguzi wa 2010 tumejifunza kitu...
1). Tunaelekea wapi kutokea hapa?
2). Lazima kiukweli na kwa makusudi kabisa kwanza tujitambue tuko wapi kwa sasa?
3). Maana vitu na huduma nzuri wanazo watawala,wafanya biashara na wezi...
Kuna tabia ambayo inaanza kujengeka katika siasa za Afrika ambapo majeshi na vyombo vyetu vya usalama vinatumiwa na vyama tawala kuhakikisha kuwa vyama hivyo vinabaki madarakani, hii ni tofauti...
Kuanzia kuchagua spika, waziri mkuu, na naibu spika imekuwa dhahiri kwamba chadema ndicho chama pekee cha upinzani bungeni. Waliobakia wote ni chama tawala na matawi yake. Ndiyo maana pia sioni...
1. Ni stageshow. Anapenda kuonekana anapotenda jema na anaongea kwa nguvu ili watu wamjue kuwa katenda. Ni mfuasi wa Mrema style.
2. Ni msafi wa nje tu: Anajionyesha kwa watu kuwa ni msafi, lakini...
samahan wana JF mimi sio mwanasheria na hata mwanasiasa....
(nikikosea nikosoeni nitafurahi, nina diploma ya ualimu na digrii ya uhsibu na fedha)
Kuna majimbo kadhaa ambapo hadi leo hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.