tumeona GUINEA MPINZANIA KAPITA BAADA YA WATU KUUMIA SANA KWA HIYO HATA SISI KAMA TUME HAITABADILIKA 2015 ITAKUWA NI NOMA. SASA TUNAKATA MAENDELEO NAOMBA CHADEMA WAFANYE VIZURI KWENYE HII MIJI ILI...
Tunazidi kushangaa jinsi hali ya siasa inavyoendelea nchini mwetu....hivi hii serikali mpya mbona wengi hatuoni mabadiliko?ni kama tumewekewa mvinyo wa 1960 katika chupa mpya?viongozi wenye...
Kiifupi na Kihistoria mji wa Mtwara ni mji wa mwambao ambao upo kusini mwa Tanzania yetu ambao kipindi cha ukoloni ulikaliwa na waarabu toka mashariki ya kati, ni mji ambao unajulikana kihistoria...
Kwanza tuomba kuwasalimia Watanzania wenzangu!
Kwa kweli, naomba niyaseme yaliyomo moyoni mwaka maana nchi yetu inapelekwa kubaya.
Nakumbuka enzi hizo za utawala wa mzee Mwinyi kuna mambo yalitaka...
wakati wananchi wana mategemeo labda mbunge wao atakuwepo kwenye baraza jipya la mawaziri sisi wa korogwe vijijini hatuna chetu mbunge wetu ni mbumbumbu ile mbaya wala hajui kilicho mpeleka bungeni
Prof Mnyaa aligombea jimbo la Mkanyageni akashindwa na Mohamed Habib Mnyaa - CUF (jana alijitoa kuwania Unaibu Spika kumpisha mgombea wa CCM)
Hi ni hatari kweli hakuna watu wengine hadi wana...
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)
Wakati wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Mpanda Mjini wakifurahia matokea ya ushindi wa ubunge, Said...
Natoa azimio kuwa mwaka 2015 nagombea jimbo la Rorya kupitia tiketi ya CHADEMA ,kwani nia ninayo na uwezo pia ninao .Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa JF wote.
Thumb up guys for the standpoint on what you think its right. Tuko pamoja nanyi on this ila muendelee hivyohivyo na msimamo msije mkapewa vikamati huko bungeni mkasahau kilichowapeleka kwa...
bunge la mwaka huu likiongozwa na mwanamke tegemea kusikia maneno ya kitchen party bungeni kama!!!!!!!!!
"muheshimiwa waziri heshima yako inashuka"
"muheshimiwa mbunge limekuganda"
"muheshimiwa...
Wapendwa Maprofessor na Wasomi wa Vyuo Vikuu
Acheni kugombea kwa tiketi ya CCM. Iga mfano wa Professor Baregu, Dr.Mbassa, Professor Kahigi, Profeesor Mlambiti na wengine wenye mapenzi kwa...
Kitendo cha mbowe kukaa kimya taratibu za bunge zikikiukwa kama serial nos ktk balot paper mpaka mh.lissu na mh.mnyika kusimama inaonyesha udhaifu wake mapema na kutojua yuko pale kufanyanini...
Nchi yangu Tanzania, Nakupenda kwa moyo wote .
Waungwana kwa kusema ukweli hakuna kitu kinanikera kama hizi siasa za sasa hivi za majitaka. Achana na mengine mengi ila huu udini huu ndio...
Wakati akitoa hotuba yake fupi ya kuwashukuru wabunge kwa kumpitisha kuwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda aliendeleza kauli yake maarufu kwamba yeye ni mtoto wa mkulima. Nimekuwa nijiuliza mara...
Thinkers,
Nimeshuhudia thread nyingi zikitafakari mwenendo spika Anne Makinda utakavyokuwa na hakika wasiwasi ni mwingi kama ilivyo kawaida kwa kitu kipya.
Wapo wanaolalamika tu kama vile...
Kama ni kweli msimamo wa chama kuwa hamtambui Rais, JK basi lazima mfuate yafuatayo:
1. Wabunge wenu wasipige kura ya kuridhia jina la waziri mkuu leo hii, watoke nje ya ukumbi wa Bunge (kuinuka...
Lisu na Mnyika wameanza kwa haraka na kasi kubwa mno. Watadhitiwa hata kabla ya kazi yenyewe. Wasome vizuri namna ya kufanya mashambulizi hasa kwa kupitia Spika M/ke ambaye hatakubali hata km...
Nilikuwa kwenye show inaitwa 'mtikisiko' uwanja wa Samora Iringa.
Kulikuwa na wasanii wengi maarufu wa ndani na nje ya nchi wakitumbiza kama Radio na mwenzake, Chege, Juma Nature, Barnabas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.