Viongozi wanne wa serikali ya Kenya (hawakutajwa majina) leo wamepigwa marufuku kuingia US kwa kuhusika ktk biashara ya madawa ya kulevya. Taarifa hii imetolewa na Balozi wa US nchini Kenya. Hili...
Hebu angalieni ibara ya 41 katika katiba ya nchi kipengele cha 6 na 7 vinakinzana mwaka huu
41. (6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa kuwa
amechaguliwa kuwa Rais iwapo tu...
Sielewi kwa nini Mnyaa aliomba nafasi zote mbili halafu anakuja kujitoa wakati wa kujieleza. Pia anajitoa unaibu spika, ana uhakika gani kuwa atakujakuchaguliwa kuwa mbunge wa SADC?
Source: herman mwampyate: RIPOTI KAMILI
Bunge la 2010-2015 ni la vijana, mandhari na kila kitu kinabeba tafsiri hiyo na hapa kuna ripoti kamili ya kilichochukua nafasi mjini Dodoma...
Sera za Chadema za serikali ndogo sasa yaelekea CCM wamezivalia njuga na yeye Dr. Shein leo ITV wametuhabarisha kaunda serikali ndogo ya mawaziri 16................7 kutoka CUF na 9 kutoka CCM na...
Mwandishi: haki Tarehe: Monday, November 15, 2010 | kiungo mahususi
WAKILI KESI YA ZOMBE AFARIKI DUNIA
ALIYEKUWA Mwanasheria Mwandamizi wa Serikali, Jasson Kaishozi katika kesi ya mauji ya...
Helow wana JF jukwaa la mawazo huru na pana.
Thread nyingi nimezisoma zikitoa mwongozo kwa wapenda mabadiliko kuanza kuchukua hatua kuwa sehemu ya mabadiliko. Mimi nimeanza kwa kuanzia na...
Mambo ambayo hatuna budi kuwa makini nayo ni yale yaliyotokea huko Shinyanga ambako mipango ya siri ya uchakachuaji matokeo ya uchaguzi kwa njia ya siri yalikamatwa lakini mpaka leo hakuna taarifa...
Naamini JF kuna watu ambao ni wachambuzi wazuri wa siasa. Naomba wanisaidie katika hili...
Tokea jana nimesikia kauli zinazokinzana kati ya Mwenyekiti wa CHADEMA (Freeman Mbowe), na aliyekuwa...
Ili jamii yoyote iweze kupata maendeleo ni lazima iwekeze kiasi kikubwa kuliko inavyotumia. Serikali ya CCM kwa muda mrefu imekuwa ni ya kutumia siyo kuzalisha. JK alikwishawahi kutamka kuwa...
Masharti ya kazi ya Rais Sheria ya 1984 Na.15 ib.9
1) Rais atalipwa mshahara na malipo meingineyo, na
atakapostaafu atapokea malipo ya uzeeni, kiinua mgongo au
posho, kadri...
Leo Daily News ina kichwa cha habari kisemacho............"Obama salutes JK, Shein........."
Na Habari Leo wao wasema Chadema yakubali yaishe na JK.........................sasa kuwatuma wabunge...
Majimbo ya uchaguzi yaliyofanya uchaguzi wa marudio j2 trh 14/11/2010 ni SABA.
Kati ya hayo saba CCM-3,CUF-3 na CHADEMA-1.
Gazeti la MWANANCHI leo, nanukuu "UPINZANI WAZOA MAJIMBO MANNE"
Mi...
Kwa vile Chadema kimejitokeza kuwa chama kikuu cha upinzani (a Government-in-Waiting), na kimetokea kuaminiwa na watanzania wengi, kitumie kipindi hiki cha kabla ya uchaguzi wa 2015 kujijenga...
I think the law is clear about complaints related to election issues, everything should be challenged in court. I think and believe that it is nonsensical not to recognise the elected Head of...
Kwanza napenda kusema wewe ni kiongozi mzuri sana na historia itakukumbuka kwamba uliokuwa miongoni mwa viongozi walioleta mabadiliko ya demokrasia ya nchi yetu.... kwa kiengereza nadhani (you are...
Spika wa Tatu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel John Tegeza Sitta amesema kuwa utumishi wake bungeni umetosha, hivyo ni wakati wake kustaafu. Amesema anastaafu bunge lakini...
Nimesikia namna gazeti la Uhuru na Habari leo zilivyoripoti Tamko la CHADEMA kutomtambua JK nikashangaa sana maana ni kama vile jamaa waliongea na Dr Slaa mwingine. Kwa mfano uhuru wameandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.