Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Ninaomba JK atii wito wake wa ndani ya mtima wake na aweka baraza litakalomsaidia. Waziri Mkuu- Andrew Chenge Waziri wa fedha: Edward Lowasa Waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa_ Rostam...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Achangiwa fedha kumkatia rufaa Limbu Na Cosmas Mlekani 16th November 2010 Baadhi ya wananchi wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza, juzi walikatiza hotuba ya aliyekuwa mgombea Ubunge wa Chama cha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inanishangaza sana kuona chama cha upinzani nilichokuwa nakiheshim(cuf) kimechakachuliwa.Hivi ilani na malengo ya cuf kama chama cha siasa yameshafikiwa?CUF ilisajiliwa ili ilete maridhiano na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunajua Uchumi wa Tanzania Haueleweki. Wananchi Wanaumia Sana Kutokana na Katiba ya Inchi Kutofanya Kazi kwa Manufaa ya Wananchi. Katiba ya Inchi Inazungumzia Usama na Haki za Kila Mtanzania...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa sisi tulio nje ya mjengo kwa kutazama tu katika runinga mapema kabisa hata kabla ya vikao kamili kuanza kwamba tumeanza kuona dalili za wazi za mwelekeo wa mgawanyiko wa haraka haraka kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nashuhudia mh dr H.mwakyembe akiwa karibu kabisa na speaker mstaafu Sitta kwenye kikao cha kupitisha jina la PM.wanaonekana kuteta kwa furaha.je hii inamaanisha sitta amejiunga na kambi ya...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Haya 2nayoyaona leo yasingekuwepo ona WAWEKEZAJI wame2achia mashimo huko BUHEMBA vipi kuhusu BUZWAG,KAKOLA,NZEGA
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimefuatilia hatua zote tangu upigaji kura hadi utangazaji wa matokeo ya uchaguzi mku kwa upande wa Zanzibar lakini mpaka muda huu najiuliza hivi nani alishinda nafasi ya urais Zanzibar..ni CUF au...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cuf
Wapiga kura walio chagua wabunge wa CUF wametapeliwa, wapiga kura waliwapigia kura ili ikiwezekana washike dola kama sivyo wawe wapinzani wa serekali itakayo shinda wao wameenda kinyume na dhamira...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilisikitishwa sana kuona unafiki uliovuka mipaka wa wabunge wa chama cha mapinduzi hususani kwenye uchaguzi wa Spika jana. Kila mtu anafahamu mchezo uliochezwa na mafisadi kumwingiza Chenge...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi hawa CUF ni CHADEMA au CCM walipaswa kuunda nao kambi huyu??? Mgombea mwenza wake kawa waziri wa Afya kule Zanzibar kwa kweli sielewi wanataka nini kwenye kambi ya upinzani... Mimi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Sita Kuanguka Kwenye Mtego wa MAFISADI pale CC ya CCM INAMAANA GANI???? Kumbukumbu kule bunge la Tisa zinaonyesha kwamba SIX alikua ni mwiba mchungu kwenye ngozi ya Kijiwe Cha Walarushwa nchini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Slaa apasua jipu kuwa hamtambui JK b'se ni result ya uchakachuaji; Mbowe akakazia kuwa ni msimamo wa CHADEMA Source: STAR TV news 20hrs Na Nation wameandika hivi: By FLORENCE MUGARULA, Daily...
0 Reactions
192 Replies
15K Views
GENERAL ID No.: 1038 Salutation: Honourable First Name: Mizengo Middle Name: Kayanza Peter Last Name: Pinda Member Type: Constituency Member Constituent: Katavi Political Party...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Kamati kuu ya CCM inayomaliza muda wake mwaka 2012 imeacha 'legacy' ya kukumbatia ufisadi na kukigawa chama cha mapinduzi. Kati ya wananchi wa Tanzania na Mafisadi kamati kuu ya CCM imechagua...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa mtazamo wangu nimeyapokea matokeo ya uspika (makinda kura 265 na marando kura 53) kama kuna upizani ndani ya kambi ya upinzani ambao ulianza wakati wanachagua kiongozi wa kambi ya upinzani...
0 Reactions
241 Replies
18K Views
Zanzibar au Tanzania Visiwani kama inavyojulikana inachangia kiasi gani cha bajeti ya Serikali ya Muungano? Kwa mfano tunaona wabunge wengi wa kutoka Zanzibar na pemba kuingia kwenye bunge la...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hayo maandishi meusi yana uhusiano na ujumbe aliopeleka Obama na running title waliyoweka the Guadian?? Mbona waTz tenapendelea kudangany'ana kila siku ?? Yaani media za Tz ni zero!! US...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
With honour I hereby submit few querries to hon.dr Slaa,lissu ,mdee,zitto,myika and chadema followers who are available at Jf on few constitutional issues as follows: first,sec.51(3) is...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom