Tangu kuzaliwa kwa nchi ya JMT, katika marais wote waliopita, Kikwete amekuwa rais wa kwanza kuweka historia ya kuporomoka umaarufu wake kwa kishindo. Mwaka 2005 aliingia kwa kishindo na mwaka...
Ni wazi kabisa sasa kuwa CUF ni chama cha kidini na kihafidhina. Lengo la CUF ni kuhakikisha kuwa vyama vya upinzani visivyo na udini na hasa visivyo vya dini yao vinakufa.
Hivi sasa ukitaka...
Ndg waheshimiwa wakuu mnaoendesha na kuuwezesha mtandao huu kuwa live nina ombi:
Naomba ianzishwe nafasi ya kuweza na sisi kurusha maswali kwa wizara husika au kwa waziri mkuu yanayohusu...
katika kipindi cha EATV kwa mahojiano ya na Dr slaa
imeonekana kuwa Dr slaa anavutia vijana kisiasa
JE kuna mpango wowote nyuma ya hili?
Je kwanini Dr slaa anavuta vijana na kuwaandaa namna...
Kama sitta uliweza kutetea hoja zako wakati wa hayati mwalimu na ukalambwa viboko pale ikulu wakati ukiwa mwanafunzi wa udsm,sasa unashindwa nini kuondoka ccm na kuonyesha misimamo yako? usogope...
Tathmini yangu fupi ya mwenendo wa uchaguzi inaonesha kuwa kila sehemu ambayo Chadema iliweka mgombea makini, msomi, Kijana na mpiganaji wa ukweli katika Ngazi za Ubunge na Udiwani Chadema...
Heshima zenu wanaJF,
Nimesoma habari iliyotolewa na Chadema ya kutomtambua Rais na matokeo ya Urais kwa ujumla. Kitu ambacho kimenistaajabisha au sijakielewa nahitaji kueleweshwa pengine uwezo...
Nimefurahi hamad rashid ametuambia ukweli ambao isingekuwa rahisi kuupata.kuwa ni kweli chadema iliwafata kwa ushirikiano na kwamba cuf wakakataa.tunamshukuru sana.
Leo Tunaona Jinsi Gani Inchi Zilizoendelea na Zinazoendelea Zinafanya Kila Jitihada Kurekebisha Uchumi Wao na Kuhakikisha Wanajiimarisha Kwenye Global Economy. Leo Tunaona Tanzania-CCM Base...
Wakubwa,
Nimefanya mahesabu madogo sana kwa kuchagua idadi ya wasomaji wa latest tread inayohusu CHADEMA.
Thread niliyo-pick ni ile yenye heading "Dr.slaa live east africa tv leo saa moja...
:thinking: Kulikua na Ulazima Gani Makame Vyatu vya Kivuitu??
Nilivyodhania ni kwamba mtu yeyote katika ngazi ya Ujaji, hata kama kastaafu, ni rafiki mkubwa dhahabu inayoitwa HAKI. Na kwamba...
MWISHONI mwa wiki kulitokea matukio mawili ya kihistoria yanayohusu wanawake ambayo yaliigusa nafsi yangu. Moja lilitokea huko Burma na la pili lilitokea hapa nyumbani. La huko Burma lilihusu...
Hatimaye rais ataapishwa!
Edward Kinabo
ENYI wana wa Tanzania, mnaolia kwa uchungu wa kupewa rais msiyemtaka, yule mnayemwita rais wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)...
bila shaka unapokuwa na unajivunia kitu flani lazima kiwe kinakusaidia na kukuwezesha kupata maendeleo.sasa tz tunaambiwa tunaamani tena ya muda mrefu tu,lakini leo Rwanda tukicheza nao mpira...
Nilivyomuona Shariff Hamad akiyapokea matokeo na kutoa pongezi kwa Shein, ilikua kama alishayajua matokeo muda mrefu tu..... Na ukiiangalia picha hii (toka michuzi blog) Mshindi na mshindwa...
Kuna tetesi kutoka kwa washkaji kutoka kanda ya kati kuwa kitendo cha 6 kuchakachuliwa uspika kimemuuma sana, habari zinasema kuwa anadai kuwa alichokuwa ameambiwa na EL kuwa hatakuwa Spika wa...
naomba mtaniwia radhi wana JF hii ni post yangu ya kwanza kbs hapa JF ingawa nilijiunga zamani kdg, napenda kujua kwa wale wanao jua mambo yaliyo chini ya kapeti, hivi shamsi vuai nahodha...
Wanajamvi wenzangu naomba mwenye kujua historia ya mh S. SITA aiweke hapa ili niifahamu..
Kwangu namuona mwana mabadiliko kwa sehemu yake ktk jamii yetu ya Kitanzania, alikotokea kiutendaji kabla...
http://http://www.youtube.com/watch?v=3L-3ayFRk1E&feature=related
Mweyekiti wa CCM aliwaambia wanachama wake watafute wapiga kura ili apate kula zaidi ya Milioni 15,lakini matokeo ya uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.