Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wana jamii, ilinishangaza sana kuona jinsi Spika alivyo fuatilia maombi ya Muheshimiwa sana Sophia Simba kuomba kuchaguliwa kuingia kwenye kundi la wabunge wa SADDEC, it was so interesed jinsi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu mara ya mwisho rais kusafiri ilikuwa lini, na nani anaweza kukisia lini tena rais atasafiri, ataenda wapi na kwa sababu gani. Naona safari hii amekaa sana bila kusafiri. Labda safari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wadau mnaonaje kama mama prof tibaijuka akipewa wizara ya fedha haiongoze? na je magofuri apewe wizara gani??
0 Reactions
1 Replies
990 Views
Ibara ya 51 ( 2 ) ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema: (2) Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hizi waziri mkuu anapatikana kwa vigezo vipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Doh,! Jamani ni kweli bunge letu lina meno ya plastiki?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
CUF kujifuta, kutangaza kujiunga na CCM Kuna tetesi kwamba mazungumzo ya sisri baina ya CUF na CCM yamekuwa yakifanyika ili kuungana kwa vyama hivyo. Muafaka umeshafikiwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Taifa linaelekea utumwani “Ninasema hivyo, kwa sababu hivi sasa watu wachache wenye nguvu ya fedha wanaamua mustakabali wa viongozi kwa maslahi yao binafsi,” Rais aliyechaguliwa kwa uovu, kamwe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndg zangu wengine tupo vijijini huku. Mnaweza kutuhabarisha linalojiri kuhusu hotuba ya JK mjengoni?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sofia Simba kupita bila kupigiwa kura wala kuhojiwa kuwa Mbunge wa SADC ilikuwa sahihi? Ndungai anasema Mnyika alikuwa sahihi kulingana na kifungu cha 5 (2c) cha kanuni za bunge lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati shughuli za Bunge zikiendelea tarehe 16/11/2010 wakati wa kumchagua naibu spika Spika, Anne Makinda, amekuwa akivunja kanuni za Bunge. Kwa kufanya hivyo ametupilia mbali kabisa kiapo chake...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, sina maneno ya kuweza kutumia ili muelewe mpaka sasa nchi yetu siyo ile tuliyo kuwa nayo wakati wa mwalimu Nyerere! Sasa hivi hii nchi si yetu tena. Nchi hii imechukuliwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Source: Tanzania Daima Alhamisi, Novemba 18.2010 Hapa bunge la JYT lilikuwa linachagua wabunge wa Bunge la SADC. Kwa mgombea wa sisiemu kutokujadiliwa, kuulizwa maswali, na hatimaye kupigiwa ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana JF naombeni msaada mimi ni mmoja wa watu ambao sikumpigia Kura ya ndiyo xkikwete na kutokana na hila zilizofanywa na dola kuhakikisha anaendelea kupigia mswaki ikuru simtambui kama rais...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Unajua kuna tabia ya mtu kuwanyooshea vidole wengine bila kwanza kujiangalia. Nimeangalia thread nyingi zikieleza ukiukwaji wa kanuni za bunge hata kabla halijatimiza wiki mbili. Kweli spika na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msimamo CHADEMA wamtikisa Makinda. *Ni wakutomtambua Rais Kikwete. *Awaita Mbowe, Zitto wateta. Na John Daniel, Dodoma. SPIKA wa Bunge Bi. Anne Makinda, amewashauri wabunge wa Chama Cha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
na Mwandishi wetu MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohamed Ghalib Bilal, amewataka viongozi wa dini nchini kutochanganya dini na siasa. Dk. Bilal alitoa rai hiyo jana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila tetesi tunazosikia kumuhusu Rostam zinatimia ina maana ana nguvu gani hata M/kiti wa CCM hapingi na CC ya CCM wanafuata maamuzi yake.Huyu mtu ni nani hasa kwani maamuzi ya CCM na Serikali...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jamani mwezi septemba nilipita maeneo ya kasulu na kukuta watoto wadogo sana wamebeba kuni bila shaka walikuwa wanaenda sokoni ili angalao waweze kupata mlo.Tunahitaji kutafakari hali hii
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Idadi ya wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano, na ukubwa wa serikali binafsi unanipa shida kuoanisha faida yake kisiasa na gharama za kuviendesha hasa ninapofikiri umaskini mkubwa wa mwananchi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom