Tunaona Hivi Karibuni CCM Wanachagua Spika wa Bunge. Hiki Chama ni Kichekesho Tupu. Katika Wananchi Wote na Hao Wanachama Wao Kila Leo Wanayarudia Majina Yaleyale Style ya Recycle Ideas. Anna...
Mimi nimesikitishwa sana na wananchi na wakazi wa mkoa wa Morogoro kwa kuchagua mwarabu (Aziz Abood) awe mbunge ili hali tunajua kabisa walitutesa wakati wa ukoloni, wametuibia sana na hawalipi...
Hivi ndg zangu watanzania, kama CCM inadiriki hata kuchakachua majina ya wanaowania uspika kwa staili hii, itakuwaje kwa muundo wa wizara?
Wakati wanatangaza kwa wenye sifa ya kugombania uspika...
Wakuu,naomba mwenye sababu zozote za msingi ni kwa nini Dr Slaa hakufanya mkutano na waandishi wa habari J2 iliyopita?Tunapenda sana kumsikia Mpambanaji wetu shujaa wetu.Je lini atatuhabarisha?
CCM ni chama kilichopoteza mwelekeo na mvuto kwa sababu ya kukumbatia ufisadi. Natoa angalizo mambo yanavyoendelea ndani ya CCM inaashiria kinaelekea ukingoni. Ubinafsi, jeuri na uzandiki ndio...
Chenge apata pigo jingine NEC
Fredy Azzah
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa ufafanuzi wa viti sita vinavyosubiri uchaguzi wa majimbo saba unaotarajiwa kufanyika Jumapili ijayo, huku...
CCM wanajikwaa kila mahali ili mabadiriko yaweze kutokea. Kwa waliopendekezwa na CCM kugombea basi CCM haina spika. Tumwombee Mabere Marando apite ili mabadiriko yatokee.
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba, NCCR-Mageuzi wanapanga kumsimamisha Jaji Robert Kisanga katika nafasi ya Uspika, hatua ambayo inaelezwa kuweza kuwasukuma Chadema na CUF kumwachia. CUF...
Mama Anne Kilango inasemekana amechukua fomu za kuwania uspika wa bunge,huyu mama alin'gaa sana kipindi kilichopita kwa ujasiri wake (sina uhakika) aliounyesha ,sasa huyu mama kaamua kuingia...
Mchungaji Kaibuka tena......
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ameponda hatua ya ujumbe wa viongozi wa dini nchini kumtaka Dk. Willibrod Slaa, kukubali...
Ni wazi kwamba CHADEMA kama chama bado kinakabiliwa na challenges nyingi ktk kukijenga na kukipa mtazamo mpya. Lakini kuna jambo nimelifikiria ningependa tuchangie kwa mawazo zaidi. Kwa kuwa sasa...
Wakuu heshima mbele,
Ningependa kujua hesabu za fedha za ruzuku za vyama vya siasa nchini inakuwa-calculated vipi, ni viti vya ubunge plus kura za urais au ni nini huwa wanaangalia, 2010-2015...
Jamvini!!
Mbona kimya hiki kinanipa wasiwasi? Huyu Mpambanaji wetu Dr Slaa yuko huru na salama kweli? Watanzania chungu nzima hatukukubaliana na matokeo ya Tume ya Uchaguzi, lakini mbona subiri...
THOUGH I MIGHT NOT BE A PRO CCM-BUT KWA MCHAKATO HUU WA CCM KUMKATAA SITTA AS A SPEAKER,IMEONYESHA KUWA CCM WAPO KIMASLAI ZAID KULIKO MASLAHI YA KITAFA-kweli Tanzania itajengwa na Watanzania wenye...
The main role of the executive branch of the government is to implement laws and policies made by the legislative branch of the government. Difficult talks for you, you neither respect the laws...
Wakati PCCB wamemshafisha Chenge kwenye kadhia ya Radar kuwa suala hilo limekwisha na Chenge hahusiki, SFO wenyewe wamekanusha kuisha kwa suala hilo na kueleza litatinga mahakama kuu ya Uingereza...
Ndugu 'Mgombea Ubunge' now 'Mbunge wa CCM tunaomba kwa dhati kabisa uangushe kura yako kwa Mabere Marando kuwa spika wa Bunge hili manake hata wewe ukiwa ni shahidi, ndugu zako wa CCM wanaojiita...
Serikali ya CCM inajipanga kuongoza nchi kupitia Bunge
Uteuzi wa Anna wawili na Kamba mmoja ni kutengeneza mazingira ya kuvunja nguvu za bunge na kufanya bunge na serikali kuwa kitu kimoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.