Mfumo wa serikali ya CCM ambao unawakilisha na kulinda maslahi ya matajiri na wafanyabiashara wachache (Rostam, Lowasa, Manji, Baricks, Ortello Business Corporation, Vodacom na wengineo). Hili...
Mtikila: Viongozi wa dini wanafiki
na Andrew Chale
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ameponda hatua ya ujumbe wa viongozi wa dini nchini kumtaka Dk...
Watanzania tuamke,kasoro hizi zilikusudiwa kabisaaa
1. Iweje karatasi ya kupigia kura isiwe na serial number ili ioane na ile inayobaki katika kishina cha kitabu? maana ikitokea inahitajice...
CANADA has congratulated Tanzania for conducting peaceful general election and applauded President Jakaya Kikwete, on his re-election for the second and last term in office.
In a statement...
Ndugu wana JF,
Salaam,
Katika pitapita zangu mtandaoni nilikutana na Katuni hii. Ukiingalia kwa makini unaweza ukatokwa na mchozi. Si kwa sababu ya kuchinjwa kwa Demokrasia..bali kwa kile...
MAY PEACE BE UPON YOU GREAT THINKERS!
HEBU MTU ALIYEKO DODOMA AMA BUNGENI ATUJUZE HALI YA HUKO IKOJE JAMANI. NIMESIKIA KWENYE RADIO WAKICHAMBUA TASWIRA ZA BUNGENI NA WAKAELEZEA KUA MH. SUGU...
Kama mtoto anayedekezwa alivyo ndivyo taasisi yoyote ile isiyokosolewa au kukubali kukosolewa ndivyo inavyoharibika. Taasisi zote duniani zinaongozwa na wanadamu na si malaika.
Kwa kipindi kirefu...
wasalaaam wadau,
Naona kuna kama kafukuto ka mambo ya kugomea uongozi wa upinzania bunguni kwa chadema ambao kwa data zilizopo ndio chama pinzania. naomba kutoa mtazamo wangu juu ya hili...
Kuna watu hapa jamvini wanadhani baadhi ya nchi za magharibi hazijafurahishwa na uchakachuaji wa kura. Naomba tufunguke macho,
Nchi za magharibi hazinufaiki chochote na uamuzi wa wananchi wa...
Chenge yupo sahihi katika tuhuma zake dhidi ya Sitta?Kama wagombea nafasi ya spika ni hao wawili,kura yako ungempa nani?mie ntakuwa msimamizi wa uchaguzi huo!
Hongera baba kwa kuchaguliwa, kuteuliwa kisha kuapishwa kwako kuwa rais wa hii Jamhuri yetu ya Tanzania,
Hatuna Rais mwingine badala yako, kwenye ile hotuba fupi uliwaasa WAANDISHI na wale...
Inawezekana wengine hatukumbuki na msinicheke.
Najua hoja ya ufisadi wa EPA ililetwa bungeni na Dr. Slaa lakini Samwel Sitta akaikemea kwamba bunge haliwezi kujadili hoja zenye ushahidi wa...
Ndugu wana jf tumepata jembe tena jembe litakalo lima hata kiangazi,ukitaka kumjuwa sugu ni nani sikiliza ile nyimbo yake ya antivirus,sugu anakuambia moto ni uleule yeye anauhuru wa kusema na...
Combating major fraud and corruption
Our aim is to protect society from extensive, deliberate criminal deception which could threaten public confidence in the financial system. We investigate...
KUFUATANA NA KILE ALICHOKISEMA MZEE WA VIJISENTI KUWA AMESHASAFISHWA NA SFO KUWA HAKUHUSIKA KATIKA SAKATA LA RADA KAMA MMOJA WA WAPOKEA RUSHWA,UBALOZI WA UINGEREZA UMEAMUA KUTOA TAARIFA KWA VYOMBO...
na Andrew Chale
MWENYEKITI wa Chama cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, ameponda hatua ya ujumbe wa viongozi wa dini nchini kumtaka Dk. Willibrod Slaa, kukubali matokeo ya...
ndugu si vibaya nikiwadokeza namna nilivyofanikiwa katika uchaguzi huu na nilivyopangua hoja za wapinzani wa CCM jimboni. leo nitaanza na sera ya elimu bure kama ilivyonadia na chadema.
mimi...
Hebu angalieni hii Press release ya Ubaloni wa Uingereza!
PRESS RELEASE
10 November 2010
PCCBS STATEMENT OF 8 NOVEMBER RELATING TO THE BAE/RADAR CASE
The British Government is aware...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.