Kiuhalisia Jakaya Kikwete sikumpigia kura, na hata kama atagombea tena kesho kwa kupambana na Dr. Slaa siwezi kumpa kura yangu. Kwa maoni yangu si mwanadamu anayefaa kuwa Rais Imara kwa kipindi...
hili suala la wabunge wa viti maalum binafsi linanichanganya. CCM chadema na cuf wanafurahia kupata wabunge hawa japo wanajua fika wamechaguliwa kutokana na sababu mbalimbali ikiwamo (kuwa na...
Ndugu zangu Watanzania, baada ya kumalizika kwa shughuli za uchaguzi mkuu kundi kubwa la watanzania wanamshukuru Mungu kwamba uchaguzi umemalizika kwa amani na Tanzania inaendelea kuwa kisiwa cha...
Natumaini haujambo na pole udharimu wa CCM dhidi ya kura zako na wagombea ubunge wabunge wa chadema.Mimi nimesikitika sana na matukio ya kifisadi yaliyofanywa na CCM na wagombea wake naamini...
Hili wazo limenijia leo na nadhani lingekuwa challenge nzuri kwa wanaharakati.
Mnaonaje kama tukianzisha database ya wabunge, kwa kusudi la ku-keep track na michango yao na kura zao bungeni. Hii...
Tume ya Uchaguzi imetangaza nafasi 104 ya wabunge wa viti maalumu kwa mgawanyo wake wa kuweza kuingazia uwiano wa wingi wa kura za ubunge. Hivyo baada ya kukokotoa uwiano wa viti hivyo CCM...
RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, amemteua Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa
Maalim Seif amewahi kushika nyadhifa...
Hi JF
Hivi wabunge wa CHADEMA waliochaguliwa ni wangapi? Ni yupi si mbunge katika orodha hii chini?
1. Wapinzani walioshinda hawa hapa
1.Halima James Mdee -Kawe/Chadema
2.Tundu Lissu -...
Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa...
Kuna wanaodai mabadiliko yaliyotokea kwenye uchaguzi uliopita ni matokeo ya ccm kuteleza kwenye kura ya maoni,Wengine wanadai ni matokeo ya watanzania a.k.a Watanganyika kukichoka chama...
N aamini watendaji wako Mh. Rais Kikwete wanasoma taarifa mbalimbali kupitia jukwaa hili hivyo watakupa salaam zangu. Ninaandika haya kama raia wa Tanzania mwenye nia njema na maendeleo na...
Ndugu wadau wa JF,
Wakati huu tunapojipongeza kwa kufanikiwa kuongeza idadi ya wabunge wa upinzani bungeni, hususani chama mbadala CHADEMA, na baada ya kufahamu wabunge wateule wa viti maalum...
Maana ya ufisadi kwa mujibu wa uhalisia ni mtu yoyote anaehujumu mapato yoyote,iwe ya serikali,chama,biashara(hata kama ni yako mwenyewe)familia,ushirika na mengineyo,sasa jiulize wewe sio...
Umati uliofurika unatisha. Ni maelefu kwa maelfu. Vuvuzela za wapinzani wake zilipigwa ili watu wasisikie vizuri lakini wapi, watu wamekomaa tu. Ama kweli Slaa anapendwa.
Baada ya kumaliza...
1. MANISPAA YA ILALA The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
JIMBO LA SEGEREA HALINA MATOKEO,
2.MANISPAA YA KINONDONI The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage...
Wana JF,
Katika kutafakari saaana na kuangalia ndani ya CCM kwa wale walio chukua form kuwania nafasi ya USPIKA wa Bunge(10). Nimepatwa na wasiwasi saana, kwani naonavyombo vyote vya...
CHADEMA: Matokeo yetu yamehujumiwa
Na Alfred Lucas - Imechapwa 03 November 2010
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inatuhumiwa kuhujumu matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.