What is your take from this article! This is what I read perhaps initiated by January for his publicity but the international journalist gathered further information to complete sides and that...
Maadam uchaguzi umekwisha na rais wetu Mh. Jakaya Mrisho Kikwete ameshakabidhiwa mamlaka ya kuiongoza nchi yetu nadhani huu ni wakati muafaka wa kuzungumzia kero za wananchi -Mnataka JK afanye...
Mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar yaliyofanyika hivi karibuni yamenifanya niwe na maswali hasa baada ya Dr. Shein kuanza kuteua wateule wake.
Juzi aliteua wajumbe 8 wa Baraza la Wawakilishi kama...
Nimepitia katiba toleo la 2005, sijaona lolote kuhusu kiongozi wa upinzani bungeni. Nimepitia Kanuni za Bunge zinasema kutakuwepo na kiongozi rasmi wa upinzani bungeni lakini hazikutajwa sifa...
Sote tunaamini kila mwana nchi halali ana haki ya kumiliki Mali na kuitumia kwa mujibu wa Sheria.. na kama atanyang'anywa mali hiyo basi iwe kwa maridhiano ya mwenye mali hiyo na kwakulipa Fidia...
Ndugu zangu wanaJF,habari za majukumu mbalimbali mliyonayo.
Napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru wale wote kwa njia moja ama nyingine mmeshiriki kuniunga mkono kabla,wakati na baada ya...
kwanza niwapongeze wana JF popote mlipo. Nimejaribu kufuatilia thread nyingi katika forum hii na nimegudua kuwa watanzania wengi wanasubili nini Dr. Slaa atasema ili watekeleze. Hii inaonesha ni...
Wana JF;
Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya JMT Andrew Chenge na TAKUKURU wote kwa nyakati tofauti wamedai kuwa Chenge hakuhusika katika kashfa ya rada.
Lakini tuhuma na ushahidi uliopo...
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein
Wakati wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wanatarajiwa kuapishwa leo, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, ameteua wajumbe...
kama kuna cku ambayo ccm(chaka chua matokeo) mtafanya makosa na kuliacha bunge likaongozwa na fisadi ni leo!! Sasa kazi kwenu mtuletee huyo vgcent wenu!! Cjui hilo bunge litakuwaje!!
Katika kampeni na uchaguzi walionekana kama wana umoja fulani, umoja wa kuzuia Dr. Slaa asishinde na CHadema wasifanye vizuri. Waliweza kuzuia Dr. Slaa asishinde lakini walijikuta wanapata kipigo...
Minister for Economic Upgrading. Prof. Anna Kajumulo Tibaijuka
Minister for Constitutional Changes: Dr. Harrison Mwakyembe
Minister for Land Reclaiming: John Pombe Magufuli (PhD)
i am so desperate, ndio nimekuja hapa JF, in hurry, fury, angry, pain, aaaaaahhhhhh yaani CCM, juzi wametuibia kura ya kipenzi chetu Dr. Slaa. hata watu hawajakaa sawa kwa maumivu, wamemtakasa...
SALAAM ZA PONGEZI KWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA USHINDI WA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2010 2015
----
Chama cha Mapinduzi Tawi la UK kinatuma salaam za pongezi kwako Dr...
Tunajua NEC Iliundwa Baada ya Bunge Kuunda Huu Utaratibu Kutokana na Katiba. Tunasisitiza Bunge Kama Linajali Uchaguzi Ulienda Vipi, MP's should summon Makamba and All Involved During 2010...
1. Weka hadharani ripoti ya Richmond hasa ule upande uliouzuia kuiokoa Serikali.
2. Tujuze Watanzania kuhusu ule unga wa Bungeni.
3. Waeleze wazi kuwa huzitaki siasa za majitaka.
4. Pambana na...
NCHI MOJA MARAIS WAWILI
Hivi karibuni Tanzania imetoka katika uchaguzi mkuu wa madiwani, ubunge na Urais. Katika uchaguzi huo Tume ya Taifa ya uchaguzi(serikali) ilimtangaza Ndugu Jakaya Kikwete...
Na Maggid Mjengwa,
" SIO kila mmoja ataridhishwa na matokeo, isipokuwa, jambo la msingi ni kulinda lengo kuu ambalo ni amani ya taifa". Hiyo ni kauli ya Askofu Mkuu Jimbo Kuu la Dar es...
AMANI NA IWE KWENU WANA GREAT THINKERS!
KWA MUJIBU WA TBC TAIFA, JUMLA YA NAFASI 88 YA VITI MAALUMU IMETOKA NA WENGINE WATAONGEZWA BAADAE. KTK LIST HIYO CCM NI VITI 65 NA CHADEMA NI 23. MENGINE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.