Jamani nasikia yule mtangazaji aliyewekeana bifu na Mheshimiwa Sugu jina lake limekosewa liko kwenye majina ya viti maalum ya wanawake. Sina uhakika rafiki yangu MS kama yumo au kazi yake ilikuwa...
Tumeshuhudia mengi yaliyotokea kipindi cha uchaguzi, na dalili wazi ya wagombea nafasi kadhaa za uongozi toka chama cha CCM kuangukia pua au kupata mwanguko wa mende tuliutazamia na tumeshuhudia...
Nilisikia kwenye ITV leo 9.11.2010 kwamba waheshimiwa wabunge wetu wanakula kiapo cha utii kuanzia Ijumaa 12.11 hadi Jumanne 16.11.2010.
Nilifurahi sana, lakini nilipokumbuka jambo moja furaha...
Watanzania walipiga kura tarehe 31 Oktoba 2010. Uchaguzi huo ulikuwa muhimu kwa nchi hiyo hasa kwa kuwa chama tawala hakijawahi kutolewa madarakani tangu ilipopata uhuru mwaka 1961...
Wapo watu ambao wanadai kwamba kura za Urais zimechakachuliwa,kwamba labda Jakaya Kikwete hakushinda kabisa,kwamba labda Dr. Slaa anasema kweli kwamba yeye ndiye aliyeshinda Uchaguzi...
Uchaguzi uliopita umeacha mambo mengi ambayo watanzania tutaendelea kuyakumbuka! Kubwa zaidi ni kuitikisa ngome ya CCM to the core! Sasa nafahamu fika ya kwamba Tanzania bila CCM inawezekana...
Wakuu uchaguzi wa 2010 ndiyo huo ushaisha. Raisi kasha apishwa na serikali "mpya" inaelekea kuundwa. Pamoja na tuhuma nyingi za uchakachuaji ukweli ni kwamba hii isha pita na hakuelekei kuwa na...
Mtu asiye na maono wala uelekeo hata wa kwake mwenyewe... fisadi, fuska, m^*%"X+... wa kazi gani huyo???????????!!!!!!!!!!!!!!!!
Chama kisicho na jipya, cha mafisadi cha nini hicho...
Leo katika pilikapilika zangu za kutaka kuwahi kazini nilikuwa na akili moja tu kichwani, "kununua na kusoma MwanaHalisi".
Nikashuka kituo cha daladala. Kituo cha kwanza kwa muuza magazeti...
JK alipokuwa anajibu maswali ya watu wake wa karibu pale Ikulu siku moja kabla ya uchaguzi aliulizwa swali kuhusiana na urithi gani ambao angependa watanzania...
Taarifa iliyotolewa leo na Katibu wa Bunge kwa vyombo vya habari ni kwamba uchaguzi wa uspika utafanyika Alhamis wiki hii na utafanyika chini wa usimamizi wa mbunge mwenye muda mrefu kuliko wote...
Ninaongea kwa Masikitiko makubwa kama mtanzania mwenye matumaini ya kuona siku moja Mungu anatuinulia kiongozi mwenye kusimamia kwa dhati maslahi ya watanzania maskini ambao ndio wengi.
Ishara...
ASKOFU wa Kanisa la Evangelical Brotherhood Church Of Tanzania (EBCT), Rabbi Mwakanani, amempoza mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbrod Slaa, kumtaka...
Taarifa zilizotufikia zimeeleza kwamba, Rais wa Zanzibar, Dr Ali Mohamed Shein amemteua Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, na Balozi Seif Idd kuwa Makamu...
Mimi nilipitwa kidogo na huu uchaguzi kwani nchi niliyohamia iko kushoto kidogo na dunia na ni mtanzania peke yangu hapa.
Ebu nijulisheni nyie mliopiga kule huko USA, UK, kenya, Saudi Arabia...
Ni jana nimetoka msibani Bukoba. Habari zinasema mbunge wa Karagwe hawezi kukaa jimboni kwake kuepuka hasira za wapiga kura. Migomba shambani kwake imekatwa na yeye amesafirishwa kwa escort ya...
BAADA ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, Chadema imeibuka kidedea kwa nafasi za ubunge katika majimbo mawili ya Maswa Mashariki na Maswa Magharibi Mkoa wa Shinyanga ,viongozi wa CCM wilayani humo...
Ndugu zangu wa JF, kuna mwenzetu mmoja ametoa wazo nzuri sana mi nimelipenda sana. Amependekeza kuwa tuunde baraza la wanachadema kwa ajili ya mapambano ya 2015. nafikiri utaratibu huu ukifanyika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.