Slaa: Why we gave swearing-in ceremony wide berth
Monday, 08 November 2010
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. The Chama cha Demokrasia na Mendeleo (Chadema) presidential candidate in the...
Nilitarajia kwamba angalau zile kura 350,000 ambazo ukifanya multiplier-effect unapata kama kura milioni 4 hivi, au zaidi, zingeenda kwa yule aliyesema ANAZIHITAJI!
Imekuwaje tena?
Halmashauri nane nchini zitaongozwa na vyama vya upinzani baada ya kupata viti vingi vya udiwani katika Uchaguzi Mkuu wa wiki iliyopita.
Halmashauri hizo ni Karatu, Manispaa ya Moshi, Kigoma...
Ingawa alikuwa mwanzilishi wa CCM, kwa nia njema ya kuendeleza mapinduzi katika nchi yetu, miaka ilivyozidi kwenda Mwalimu Nyerere alishuhudia jinsi CCM ilivyobadilika na kuwa mzigo kwake na pia...
Mojawapo ya nchi ambazo utamaduni wa kisiasa ni wa ajabu ni hii ya kwetu!Tunawashangilia wanasiasa bila hata kujiuliza maswali1
tULIOREDHESHEWA orodha ya mafisadi akiwemo Mkuu wa KAYA lakini...
HATIMA YA TANZANIA....Kitabu cha Mwalimu Nyerere kilishatuambia...
"....Plato, Myunani wa kale, alipendekeza kuwa mafilosofa ndio wanaofaa kuwa watawala wa nchi, maana wana sifa mbili muhimu...
Dr Willibrod Slaa of the Chadema must swallow his vain pride and accept the verdict of the Tanzanians in the recently concluded General Elections.
Despite a few minor glitches that...
Opposition MPs First 11: A team of rivals?
Following the just concluded general election (which the whole world knows was clearly rigged), Tanzania is set to have a formidable team of around 100...
Vyombo vya habari vimeripoti kuwa chenge hausiki na kashfa ya ununuzi wa radar. Kwanini wanataka kutuona kuwa watanzania ni wavivu wa kufikiri , kama waliouza wamesema kuwa chenge alihusika...
Kauli ya JK jana kwenye hotuba ya kuapishwa kwake ambapo alikiri upinzani uliwasumbua na ilibidi wajipange upya na kufanya kazi ya ziada ili kushinda uchaguzi huu ulimwelewaje?
Mimi tafsiri yangu...
Ndugu Wana JF,
Nimepata taarifa kutoka kwa mtu wa karibu wa maalimu Seif Sharif Hammad ambae anaitwa Mr Ismail Jussa Ladhu kama ilivyo andika kwenye facebook page yake hapa chini.
Ismail's...
Hii Habari hapo chini ni safi sana nimeitoa huko ippmedia.
1) Mimi nina support mapendekezo ya a much more independent Electoral Commission
2) Kuungana upinzani ili kuiondoa CCM kwani inanuka
3)...
Ndugu wana JF, Hakuna kipingamizi cha kutufanya wana CHADEMA tushindwe kuyatwaa majimbo haya , moja ya mikakati ambayo CHADEMA wana jadili hivi karibuni watatoa ripoti yao ni juu ya majimbo ya...
Hivi umepewa ridhaa na wananchi ya kuongoza kwa miaka 50 halafu hakuna jipya huoni haya wala shangazi yake aibu wala mdogo wake soni kutaka muda mwingine wa kuwafukarisha watanzania?Hivi na hao...
Utawala wa kifisadi hapa Tanzania mlezi wake ni CCM. Ushindi wa CCM hutegemea sana ufisadi hivyo ni vigumu sana chama hiki kuondoa ufisadi Tanzania. Wakati wote wa kampeni hatukusikia wagombea wa...
Pole sana na hekaheka za uchaguzi na majukumu mazito ya kuliongoza Taifa letu.
Ni dhahiri kwamba kwa sasa utakuwa unaipanga serikali utakayofanya nayo kazi kwa miaka mitano ijayo.
Na hili ni...
Wadau kuna mtu yoyote anafahamu maana ya hili neno 'makandokando' maana naona ni msamiati mpya na kwa kuwa umetumika kwenye maswala ya kisiasa nimeona niulize hapa na sio kwenye jukwaa la lugha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.