Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
I have a strong feelings kuwa Marando anaweza kushinda uspeaker hasa kutokana na karata za CCM kwenda ndivyo sivyo why Makundi matatu yatampigia Marando 1.CHADEMA 2.CUF,TLP and NCCR 3.CCM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Siyo siri kwamba Mhe. Sita ameleta mapinduzi makubwa kwenye utendaji wa mojawapo ya mihimili ya uongozi hapa nchini. Chini ya uongozi wake wa bunge watanzania wengi wamepata mwamko wa kisiasa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuendeleza katika topic ya Jenerali ulimwengu kuwa CCM walishajifunga magoli matatu, yote yakifungwa na Makamba; (Hat trick), naona sasa Makamba anaongeza goli la nne kwa kusimamia kuondolewa kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sitta, Chenge watupwa Send to a friend Thursday, 11 November 2010 00:16 0diggsdigg Mr Samwel Sitta akiwa ameshika kichwa Habel Chidawali, DodomaKAMATI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kabla ya kufikiria namna ya kumkomboa mtanzania kwenye dimbwi hili la umasikini kimsingi lazima tuanishe STRENGTH NA WEAKNESS zetu hii ikiwa ni pamoja na kuangalia fursa zilizopo ambavyo zinaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka huu wataumwa matumbo ya kuharisha mpaka basi. Serikali haina hata wiki ilishaanza kusafisha mafisadi; na kuumbuliwa within the same week. PCCB wanaipaka mavi serikali ya JK just on the...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Duuuuuuuuuh kweli dunia tambara bovu, Kwa maoni yangu Sitta si mtu wa kunyimwa uspika katika bunge hili ila kwa kitendo cha Chenge kuandaa press conference ya kumponda sitta tena kwa taarifa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ule wakati niliokuwa nausubiri sana sasa umefika. Hoja ya Dr Slaa kuwa wabunge wana maslahi makubwa sasa ni wakati muafaka wa kuipigania. Natarajia wapo wabunge ambao watahakikisha na hata kususia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Uteuzi wa CCM kwenye kiti cha mkuu wa bunge unaweza kuwa ni nafuu kwa upinzani. Sisi hapa ni watu tunaofikiri beyond today, tuache kulalamika sana kuwa walioteuliwa watabana upinzani, what am...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Haya madudu ya sasa hivi ya CCM – yaani kujichanganya na kwa Mkuu wa kaya kuonekana kukaa kimya bila ya kauli yanaonyesha kwamba kuna vigogo wengine, mbali na Chenge na Dr Rashid waliopata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kutokana na PCCB kuonyesha dhahiri wanamfanyia nani kazi na kwa njia zipi baada ya Waingereza kuweka mambo peupe, ni wakati muafaka wajitokeze tena na kuwaomba watanzania msamaha, baada ya hapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Asiye na masikio aweke visoda! HABARI NDIO HII: AKIONEKANA kuguswa na mambo yanavyokwenda ndani ya CCM kuhusu upatikanaji wa mgombea uspika wa Bunge la Muungano, Mbunge mteule wa Maswa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
TUME ya Taifa ya Uchagzu (Nec) imetangaza kuwa uchaguzi wa wabunge katika majimbo saba ambayo haukufanyika Oktoba 31 mwaka huu, utafanyika Jumapili ijayo. Kwa mujibui wa taarifa iliyolewa na Nec...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau nimesikia hizi habari kitaa (not from a valid source) kuwa Kikwete kikatiba ana nafasi kumi za kuteua wabunge awatakao, kumbuka mwaka 2005 alimteua Kingunge Ngomable Mwiru kuwa mbunge. Kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wananchi tukiwa tayari mwaka huu tuwasaidie wanawake wakamilishe mapinduzi yao katika madaraka kwani uspika ndo huoooooooooo na wakaze kushinikiza jaji mkuu akiondoka mwakani basi na kti hicho...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napata hasira kusikia tumeteua majaji,wabunge na sasa wagombea uspeaker kwa misingi ya upendeleo kwa wanawake.hii haisaidii chochote kwa maslahi ya wanawake wenyewe na taifa kwa ujumla.serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwaka 1982 ndio nilijua CCM vizuri maana wakati huo mwalimu nyerere alikuja kijijini kwetu wakati ambao mwambao wa ziwa nyasa kulikuwa na dalili za kuingia njaa. mwaka 1985 nikawa chipukizi wa ccm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Wakuu, Dada yetu na mwanachama mwenzetu (hapa JF) Regia Mtema kapitishwa kama mbunge kupitia fursa za viti maalum kwa tiketi ya chama chake (CHADEMA). Nilisikitika ulivyopigana kupitia siasa za...
0 Reactions
117 Replies
10K Views
I wish this could be the combination.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa wanachedema, Umakini zaidi unahitajika kuongoza chama wakati huu mgumu na tete. Mgongano wa mawazo kati ya Zitto, Mbowe na hata kundi la wanachama wapya waliojiunga chama hivi karibuni ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom